Tukutane wanaume tuliowahi kupata “wife material” mpaka leo tunajuta baada ya kuleta wenge

Rika langu wote ni vicheche tu ila kipindi cha ujana mademu walionizidi umri wakikuwa ni wife materials sana ila sasa nani wa kuoa wazee .

Dah Aneth , Eliza , Diana i always remember you ila nitafanyaje sasa wacha muolewe tu
Hahahahaha umenifurahisha sana mkuu, wale mademu wa dhamani wengi walikuwa royal sana.
 
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Pole sana mzee baba. Kama nakuona sahizi unateseka kulinda penzi kwa hongo 🤣🤣🤣
 
Unakumbusha madonda yaliopona,nilipataga wanawake wawili yani walinipenda sana,basi mimi kwa ungexe wangu nikawa nawapelekesha vibaya sana,bado wakanipenda nilikuja kuachana nao kwa sababu za kijinga sana eti hawajui kukata mauno yani wale ndo walikuwa wake zangu wa kweli popote ulipo Christina na evaline daima nitaendelea kuwapenda
 
Huyu ni yolanda lyimo??
 
Daaaaah JF waongeze emoji ya kucheka saaaana

Kiongozi umejua kunisaidia kuondoa stress,Yaan mm mwenyewe kuna kiumbe nmewah kumpoteza huwa naomba msamaha kwa MUNGU kila mara.Maana kuonana nae ni kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…