Tukutane wanaume tuliowahi kupata “wife material” mpaka leo tunajuta baada ya kuleta wenge

Yolanda hii pisi kali kwao yakisua sana . In bmw x 1 kwa sasa
 
Kongole mkuu

Unani inspire
 
Yaani badala ya kukuonea huruma, nimecheka sana ulivoandika mnara wa Voda😂
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dah, we fala umenichekesha balaa
 
😂😂😂 umepata anayejua kukata mauno sasa?
 
Basi usimalizie kusoma....moyo wangu unauchoma
 
Dah Acha tu Kaka unapata bonge la demu ana upendo wa dhati kabisa na umemkuta bado anakupenda anakujali anakufanyia mengi mazuri lakini mnajikuta dini tofauti yani dah unakosa ata la kufanya
Ee bhana we
 
Hapa kuna kitu kimoja nimeona hao mnaowasifu ni kwa sababu hamkuanza nao maisha halisi ya ndoa mume na mke na watoto na hekaheka za maisha ya kila siku na changamoto nyingine za ndoa

Kipindi cha urafiki na uchumba huwa kinapumbaza sana wakati mahaba yanakuwa yamenoga na kaunafiki fulani kanakuwepo

Sasa hivi mnakabili changamoto za maisha halisi ya ndoa mnakumbuka kipindi cha urafiki na uchumba na hao wa zamani mnaanza kuona the good old days

Ishi na mwenza wako ndani miaka 5 au 10 ndo utajua kama yaliyomo yamo au la

Hatukatai kuwa wapo waliowapoteza watu muhimu
 
Mhhh....

Kumbe hawa viumbe bado wapo eti?

Liverpool VPN vp hawa tunaweza oa ama kanuni tukufu iko palepale
 
Mara nyingi naonaga unaandika pumba ila huu ni mchele ule mmoja mmoja kabisa.

Wengi wameishia uchumba tu. Wenge la mwanamke mpe ndo ndo utajua haujui chcht khs yeye.

Kuna rafiki yangu m-south aliwahi nambia "Dating a nymphomaniac is not a problem, but marrying one is. Coz when u marry a nymphomaniac the 'nympho' part quits and u remain with a 'maniac'"

Toka nijue hilo nazalisha tu tunabaki hivohvo sweethearts, kosa la kuoa sitaki kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…