Tukuyu, Rungwe Mbeya wilaya ya kipekee sijaona Tanzania

Kule kasoro pesa

mkuu mboga Kama mchicha,maboga,maharage,

zinaota zenyewe upenuni mtaji mafuta ya mawese

Ukienda huko busokelo hau ruhusiwi kufunga bomba la maji ukifunga unafungwa nikosa

Hakika ni blessed land
 
Tukuyu ni kutamu sana.
Ubaya tu ni kua mzunguko wa mshiko hauko njema.
Ila kama huna ndoto za kua milionea, uishi kawaida tu aisee kule kunakufaa sana.

Waajiriwa wa kule hasa walimu mnaowapondea sana humu jf kule bado wana heshima maana hawana shida ndogondogo wala madeni kwa mangi!!
Wengi wana njenge zao, ndinga za kudumbukia, na biashara za hapa na pale.

Ukiwa muajiriwa hata ukilipwa 250k asa takehome per month inakutosha sana ukiwa tukuyu.
 
Tumuulize yule mdada aliyemtoroka mumewe ambae ni tajiri, ila ujue ndege wazuri hawafugiki.
 
Kama unataka sehemu nzuri ya kuretire mkoa wa Mbeya wilaya ya rungwe makao makuu Tukuyu ni the best place.
Hoteli Kali ya kitalii ipo landamark ya ubungo Wana hotel Kali ya ghorofa tatu au nne tukuyu bomani.
Yes mkuu ukijenga vema wageni watakuja kulala, pale Lushoto nilishuhudia Geust House kwa nite rate yao almost 300,000.00na ilikua full booked!,ni ele inayosemekana ni mali ya Mr.Clean
 
Vyote ulivyo itaja c
Vinapatikana Ngara kwa ubora zaidi.
 
Karibu sana Lushoto, moja Kati ya maeneo mazuri ya kuishi japokuwa mzunguko wa hela sio mkubwa.
Mkuu dreamland yangu ni huko. Nataman niishi huko naomba unipe range ya bei za viwanja huko mjini na pembeni ya mji kama utakua unafaham nijidundulize
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…