Tukuyu, Rungwe Mbeya wilaya ya kipekee sijaona Tanzania

Sehemu ninayotamani kuishi siku 1. Ni oazuri bro, kwa sisi wakulima kila kitu kinaenda sawa na safi kabisa. Lushoto napo nasikia pazuri sana sawa na kule Dabaga Kilolo Iringa au kule Machame.
 
Huu mji sikuamini nilinunua ndizi za buku nikapewa fuko zima.! Nikamwambia muuzaji nataka ndizi za buku sio za elfu saba ! Abiria wakanicheka sana wakasema hizo mbona kakupunja amaekuona mtu WA dar
Hahaaaaaa, nilinunua parachichi pale KK. Hatari hiyo bro. Kuna rafiki yangu Dingi la mishe David Newton yupo huko anapambana.
 
Kusauziii
When Mwinyi sat his gaze on the magnificence of Rungwe boulevards, the old chap got hysterical and thought he was traversing the hallowed valleys of paradise.

We told him Relax old son! You still alive, so don't blaspheme yet! This is Tukuyu, the bread basket of the South.

Hahahahahaha, Tukuyuuuuuu!
 
Tukuyu, Lushoto, baadhi ya maeneo ya Muheza specifically Amani, hizo sehemu ukifika nafsi inatulia.. kijani almost throughout a year.

Ukitaka Stress nenda Kanda ya ziwa hasa simiyu, Kati kati ya mwaka hivi.., unaweza urudi asubuhi.., ukikuta mmea uliohai basi ni miba.
 
Umeshafika Ukanda wa Dabaga kule Kilolo. Ile nayo ni Paradise nyingine.
 
U speak English I speak Nyakyusa...,,ikyindii.,isopoo...,,Tukuyuuuu
 
Wanakimbia uchawi kwao na wengi wanakwenda mikoa mingine ili watahiriwe
 
Uliinjoy Sana Mkuu, Mpuguso au msasani bill Shaka. Tanzania nzuri jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…