Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi zile ndizi zenye rangi ya purple bado zipo hapo Tukuyu?,ni muda mrefu sijaziona hizi ndizi ,ni ndizi nene hivi na zinaliwa zikiwa mbivuHuu mji sikuamini nilinunua ndizi za buku nikapewa fuko zima.! Nikamwambia muuzaji nataka ndizi za buku sio za elfu saba ! Abiria wakanicheka sana wakasema hizo mbona kakupunja amaekuona mtu WA dar
Picha mkuu muhimu sanaaaaNilibahatika kufika Tukuyu Mbeya ule mji Ni moja ya wilaya zilizobarikiwa kwa kuwa na mandhari ya kipekee Sana, Hali ya hewa ya kule uko cool mda wote. Vyakula Sasa ushindwe wewe na tumbo lako.
Zaidi maji Safi ya mito na bomba yasiyo na Mita. Lita ya maziwa 600, wapenzi wa kitimoto, kilo 6000, mkungu wa ndizi 5000. Sijui wanyakyusa wanaokimbia kwao wanashida gani???????? Wanyakyusa majibu tafadhali.........................
Wewe kwenu kukoje? Usiogope nyumbani ni nyumbani.
Ukuti fiti mwanafyale?Sijui wanyakyusa wanaokimbia kwao wanashida gani????????
Daah ilo baridi la hapo inaonekana si la kitotoMkeka wa Tukuyu ni Moja ya mikeka imara ndani ya mipaka ya Tanzania.
View attachment 2886204
View attachment 2886205
Utalii wa NgonoIla sio wachoyo!! Ni wakarimu sana kwa wageni.
Fanya mpango ufike na hapa kwetu Kyela, huku mademu ushindwe wewe tu, kila sampuli inapatikana.
Mkuuu ushawai kufika Karagwe Mkuu
Kuna muda vumbi linakuwepo vizuri tu,enzi hizo tunatoroka rungwe boys tunaenda mnadan kiwila,halafu Kuna utofauti mkubwa sana wa wanyakyusa wa tukuyu na kyelaTukuyu ni green mwaka mzima hawajui vumbi,maji utiririka mwaka mzima.
Wanyakyusa wao na dini tu wamestaaraabika hawana mambo ya kishenzi.
Wa Rungwe ni wastaarabuKuna muda vumbi linakuwepo vizuri tu,enzi hizo tunatoroka rungwe boys tunaenda mnadan kiwila,halafu Kuna utofauti mkubwa sana wa wanyakyusa wa tukuyu na kyela
Sent from my Infinix X693 using JamiiForums mobile app
Ni kweli halafu wanapenda shule,ila wa kyela ni wajanjawajanja afu wanapenda zaid biasharaWa Rungwe ni wastaarabu
Tumezaliwa hospital mojaNilizaliwa Makandana niliondoka huko nikiwa mdogo bado... Nadhani nikiludi mbeya Break ya kwanza ni huko kumbukumbu pekee niliyonayo ni kuwa nilikuwa nakaa sehemu inaitwa Bagamoyo kama sijakosea...
😃Kumbe tupo wengiTumezaliwa hospital moja