Tulia Ackson: Wanaoamini nguvu ya dola ilitumika uchaguzi 2020 ni imani tu, hamna mtu ameona mahali. Auliza mbona hawakwenda mahakamani!

Amesema nchi hii ina utaratibu wa kwenda mahakamani kuonesha imani yako inaposimamia na maeneo mengi watu wanafunguliwa kesi za ubunge na wapo walioondolewa huko nyuma.
Huyu mama nimekosa neno la kumpa kwa kweli.
 
chadema ni wafa maji
Bora Chadema wafa maji kuliko CCM maiti.
Nakumbuka kulikuwa na maneno makuu matatu tu kutoka kwa jemedari;
1. Nipeni huyu mtu sitawaangusha akiwazingua ninammudu.
2. Nipeni koneksheni.
3. Msichanganye betri na gunzi tochi haitawaka.

Mchezo uliishia hapo.
Mchezo uliisha alipokufa. Wamletee amekuwa Nani?. Aende huko.
 
Kuna siku JIWE alikasirika na akawaambia wabunge live kwamba aliyeshinda Ubunge kwa uwezo wake ASIMAME HAPA - wote kimyaaa dadeq.

Tulia watanzaia wanajua kila kitu, kunyamaza ni busara pia.
 
Waende mahakama zipi, hizi hizi zinazoendesha kesi ya Covid 19 mwaka wa pili huu? Kenya hapo kulikuwa na kesi ya uchaguzi nafasi ya urais imeisha ndani ya muda mfupi, iweje hii ya Covid 19 ichukue zaidi ya mwaka?!
Kwani kesi ya akina Halima Mdee na wenzake vs Chadema ni ya Uchaguzi?
 
Aache kuhangaika kuomba jimbo ligawanywe sasa
 
Nakumbuka kulikuwa na maneno makuu matatu tu kutoka kwa jemedari;
1. Nipeni huyu mtu sitawaangusha akiwazingua ninammudu.
2. Nipeni koneksheni.
3. Msichanganye betri na gunzi tochi haitawaka.

Mchezo uliishia hapo.
Usisahau na huu wendawazimu wa yule marehemu wenu
 
Attachments

  • IMG-20230406-WA0001.jpg
    23.4 KB · Views: 3
Waende mahakama zipi, hizi hizi zinazoendesha kesi ya Covid 19 mwaka wa pili huu? Kenya hapo kulikuwa na kesi ya uchaguzi nafasi ya urais imeisha ndani ya muda mfupi, iweje hii ya Covid 19 ichukue zaidi ya mwaka?!
Kenya kesi zimeisha ndani ya muda mfupi na matokeo yake sasa hivi hadi Rais Mstaafu anashiriki vurugu mtaani kupinga hukumu ya kuhalalisha ushindi wa Ruto
 
Waandishi wa Habari wa Tanzania buana! Utadhani uandishi wao wa Habari wamesomea Urusi kwa Putin. Kwenye Clip hii Spika Tulia kawaita nyumbani kwake waulize Maswali ya Kipropaganda tu.
 
Anajitoa ufahamu Huku akijua fika Nini kilitokea kwenye uchafuzi ule
 
Kumbe alikuwa hawara wa mwendazake loh.usione Kobe mtini kumbe kapandishwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…