econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Bora Chadema wajinga kuliko CCM wapumbavu.Chadema ni wajinga sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora Chadema wajinga kuliko CCM wapumbavu.Chadema ni wajinga sana
Huyu mama nimekosa neno la kumpa kwa kweli.Amesema nchi hii ina utaratibu wa kwenda mahakamani kuonesha imani yako inaposimamia na maeneo mengi watu wanafunguliwa kesi za ubunge na wapo walioondolewa huko nyuma.
Bora Chadema wafa maji kuliko CCM maiti.chadema ni wafa maji
Mchezo uliisha alipokufa. Wamletee amekuwa Nani?. Aende huko.Nakumbuka kulikuwa na maneno makuu matatu tu kutoka kwa jemedari;
1. Nipeni huyu mtu sitawaangusha akiwazingua ninammudu.
2. Nipeni koneksheni.
3. Msichanganye betri na gunzi tochi haitawaka.
Mchezo uliishia hapo.
Mahakama zipi? Hizi zinazoendeshwa na Samia, kesi ya akina mdee inachukua miaka kumi kusikilizwa?. Hakuna mahakama hapo ni uzushi tu.Kwanini hawakuenda mahakamani baada ya Magufuli kufariki
Makonda yupi? Aliyempigia magoti Mbowe amsamehe?. Acha zako.Huu ushahidi unaupeleka lini mahakamani? Mnajua mlimnenea mangapi Makonda na sasa hamna ushahidi hata mmoja?
Kwani kesi ya akina Halima Mdee na wenzake vs Chadema ni ya Uchaguzi?Waende mahakama zipi, hizi hizi zinazoendesha kesi ya Covid 19 mwaka wa pili huu? Kenya hapo kulikuwa na kesi ya uchaguzi nafasi ya urais imeisha ndani ya muda mfupi, iweje hii ya Covid 19 ichukue zaidi ya mwaka?!
Aache kuhangaika kuomba jimbo ligawanywe sasaSpika Tulia amesema wanaoamini nguvu ya dola ilitumika 2020 kuwaingiza wabunge wa CCM bungeni ni imani tu na hakuna mtu ameona mahali. Amesema nchi hii ina utaratibu wa kwenda mahakamani kuonesha imani yako inaposimamia na maeneo mengi watu wanafunguliwa kesi za ubunge na wapo walioondolewa huko nyuma.
Amesema kuhusu yeye na jimbo la Mbeya, amewataka waandishi waende Mbeya waone mpango wa wananchi wa Mbeya mjini.
Usisahau na huu wendawazimu wa yule marehemu wenuNakumbuka kulikuwa na maneno makuu matatu tu kutoka kwa jemedari;
1. Nipeni huyu mtu sitawaangusha akiwazingua ninammudu.
2. Nipeni koneksheni.
3. Msichanganye betri na gunzi tochi haitawaka.
Mchezo uliishia hapo.
Kenya kesi zimeisha ndani ya muda mfupi na matokeo yake sasa hivi hadi Rais Mstaafu anashiriki vurugu mtaani kupinga hukumu ya kuhalalisha ushindi wa RutoWaende mahakama zipi, hizi hizi zinazoendesha kesi ya Covid 19 mwaka wa pili huu? Kenya hapo kulikuwa na kesi ya uchaguzi nafasi ya urais imeisha ndani ya muda mfupi, iweje hii ya Covid 19 ichukue zaidi ya mwaka?!
Ongeza na ujuha huuUsisahau na huu wendawazimu wa yule marehemu wenu
Waandishi wa Habari wa Tanzania buana! Utadhani uandishi wao wa Habari wamesomea Urusi kwa Putin. Kwenye Clip hii Spika Tulia kawaita nyumbani kwake waulize Maswali ya Kipropaganda tu.Spika Tulia amesema wanaoamini nguvu ya dola ilitumika 2020 kuwaingiza wabunge wa CCM bungeni ni imani tu na hakuna mtu ameona mahali. Amesema nchi hii ina utaratibu wa kwenda mahakamani kuonesha imani yako inaposimamia na maeneo mengi watu wanafunguliwa kesi za ubunge na wapo walioondolewa huko nyuma.
Amesema kuhusu yeye na jimbo la Mbeya, amewataka waandishi waende Mbeya waone mpango wa wananchi wa Mbeya mjini.
Kumbe alikuwa hawara wa mwendazake loh.usione Kobe mtini kumbe kapandishwaHata yeye mwenyewe Tulia Ackson anajuwa kuwa alitoa Tsh 100,000 kwa wajumbe wote 800 wa Mkutano wa Jimbo la Mbeya Mjini ambao ndiyo waliompitisha kugombea kwa Tiketi ya CCM.
Pamoja na kuwekewa kinda na hawara yake Magufuli bado alitumia kama Tsh 100 Milioni kupita kura za maoni za CCM
Kuhusu kwenda Mahakamani jibu ni kwamba kipindi cha Magufuli ilikuwa ni vigumu kwa vile Majaji na Mahakimu kwa kesi kama hiyo ingekuwa ni vigumu kushinda. Mahakama zilikuwa zinatishiwa na kufuata maelekezo ya mwendazake
Mwisho wa kuwa speaker ni 2025 huyuTulia anapoelekea yatamkuta ya Ndugai.
Mbona Africa tuna safari ndefu hiviKenya kesi zimeisha ndani ya muda mfupi na matokeo yake sasa hivi hadi Rais Mstaafu anashiriki vurugu mtaani kupinga hukumu ya kuhalalisha ushindi wa Ruto