Tulia Ackson: Wanaoamini nguvu ya dola ilitumika uchaguzi 2020 ni imani tu, hamna mtu ameona mahali. Auliza mbona hawakwenda mahakamani!

Usituku
Usitukumbushie maumivu na madudu ya uchaguzi wa 2020 we mama. Bado tuna hasira na uchafu ule. Haiwezekani mtumie mabilioni ya kodi za watanzania maskini kisha mvuruge na kupora haki Yao ya kuchagua viongozi wao. Na kibaya kukiuka katiba ya nchi ambayo mlishika biblia takatifu mkaapa kwa Mungu kwamba mtailinda na kuifuata. Ee Mungu Mwenyezi ikupendeze kutoa hukumu za haki kwa wote wanaotufanya watanzania kuwa watoto na wajinga. Tupo tayari kuomboleza Ee Mungu tunakuomba utujibu kwa haki kwasababu Wamelinajisi agano lako nawe Mungu.
 
Anajitekenya
 
Kuandamana na uwezo wa mahakama kutenda kwa wakati ni mambo mawili tofauti. Kwa umri wako ulipaswa kujua tofauti hiyo.
Kutenda kwa wakati kuna maana gani kama uamuzi huo ulifanywa kwa wakati umepelekea Nchi kuingia kwny ghasia ?

'Justice shouldn't not only be done but must be seen to be done'
 
Wakati ule wala isingesikilizwa au ingetupiliwa mbali na kuzushiwa zengwe.
 
Ni wajinga sana wako kama Tulia ambaye anajua wazi alibebwa na dola lakini leo anakana kwamba hakubebwa na dola...wenye dola wamemsikia
Kubebwa alibebwa mchana kweupe, kwa tunaoishi Mbeya na tusio na ushabiki wa kisiasa tunajua Tulia asingetoboa hata kwa dawa. Kaamua tu kujitoa ufahamu.
 
Kipindi kile hata ukienda mahakamani ilikuwa sawa na bule
 
Waende mahakama zipi, hizi hizi zinazoendesha kesi ya Covid 19 mwaka wa pili huu? Kenya hapo kulikuwa na kesi ya uchaguzi nafasi ya urais imeisha ndani ya muda mfupi, iweje hii ya Covid 19 ichukue zaidi ya mwaka?!
Unapoongelea kesi ya Urais ina maslahi mapana kwa nchi siyo ya Ubunge.
 
Kubebwa alibebwa mchana kweupe, kwa tunaoishi Mbeya na tusio na ushabiki wa kisiasa tunajua Tulia asingetoboa hata kwa dawa. Kaamua tu kujitoa ufahamu.
Itamgharimu sana maana kwa asili si m-ccm aliingizwa tu na magu
 
Betina utuache yaani hukuona nini kiliendelea kwenye ule uchaguzi kweli
 
Tulia ni mjinga sana na nyie sukuma Gang ni mataahira kabisa
Yaani ni dokta wa kipuuzi sana. Mahakamani gani ingetoa hukumu za haki enzi za mwendazake? Kama waliengua 95% ya wagombea wa upinzani na wabunge 38 walipita bila kupingwa, Mkurugenzi gani alikua tayari kupoteza kazi yake kwa kumpitisha mpinzani? Yeye akae atulie mpaka muda wake umalize 2025 aachie kiti cha ubunge!
 
Kwanini hawakuenda mahakamani baada ya Magufuli kufariki
Hilo swali unapaswa kujiuliza wewe na huyo Tulia. Kwa nini nchi nzima hapakutokea aliyekwenda mahakamani hata mmoja?
Hiyo haijawahi kutokea tangia chaguzi za vyama vingi zianze jee ni kwa vile uchaguzi ulikuwa haki sana sehemu zote?
Hapo ndio akili zenu zitatambua JPM na timu yake ilifanya nini katika uchafuzi huo na hakuna alikuwa na imani na mahakama.
 
Tumbili bwana!
 
Kutenda kwa wakati kuna maana gani kama uamuzi huo ulifanywa kwa wakati umepelekea Nchi kuingia kwny ghasia ?

'Justice shouldn't not only be done but must be seen to be done'

Hakuna uhusiano wa ghasia na mahakama kutoa hukumu kwa wakati. Kwahiyo hii kesi ya Covid 19 hapa nchini inacheleweshwa kwa kuhofia maamuzi yakitolewa kutatokea ghasia ama?
 
Kweli nimeamini "Kichwa kisicho na akili ni mzigo kwa shingo" Tulia hajatulia hata kidogo ...
 
Cha kumuambia tulia yy atulie tu muda ni dawa itafahamika 25 sio mbali
 
Kumbe kuna madactare wapumbafu namna hii, huku ni kuitweza level ya elimu ya udactare.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…