Uchaguzi 2020 Tulia uliambiwa hukusikia, ukalazimisha kugombea Mbeya

Nawakubali sana watu wa Mbeya
 
Hao vibaka ndio wanawapa kichwa hata kujiandikisha hawajenda hao ila kazi kushabikia matukio. Kampeni za kisayansi unazijua? Subiri uone matokeo.
 
Sugu anatakiwa kushinda, hii nchi bila upinzani hakika hatutasogea na hili ni ombi kwa Rais wetu Magufuli, hakikisha unapata wabunge makini hata 50 tu bungeni ili waweze kuwaamsha wabunge wa CCM. Bila hvyo miaka 5...Rais wetu mpendwa itakuwa kikongwe zaidi ya sasa. Hakuna mbunge atakusaidia zaidi ya kuitikia ndiyo mzee.
 
Mbona huko Rungwe Sophia Mwakagenda anachanja mbuga tu?

Mbeya na Songwe Chadema wameimarika sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…