Uchaguzi 2020 Tulia uliambiwa hukusikia, ukalazimisha kugombea Mbeya

Uchaguzi 2020 Tulia uliambiwa hukusikia, ukalazimisha kugombea Mbeya

Kwa taarifa tu, kama kuna sehemu damu itamwagika kwa Serikali kulazimisha wabunge wao basi Mbeya na Tarime zitakuwa ndiyo za kwanza kwa Tanzania bara.

Watu wa Mbeya hawatakubali kamwe Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Mbeya Mjini apindue matokeo. Damu itamwagika, ni damu ya nani mimi sijui. Kimsingi Mbeya tunajitambua hatutaki dharau
Nawakubali sana watu wa Mbeya
 
Hao vibaka ndio wanawapa kichwa hata kujiandikisha hawajenda hao ila kazi kushabikia matukio. Kampeni za kisayansi unazijua? Subiri uone matokeo.
 
Kidumu chama cha mapinduzi
images.jpg
FB_IMG_1598247657309.jpg
 
Sugu anatakiwa kushinda, hii nchi bila upinzani hakika hatutasogea na hili ni ombi kwa Rais wetu Magufuli, hakikisha unapata wabunge makini hata 50 tu bungeni ili waweze kuwaamsha wabunge wa CCM. Bila hvyo miaka 5...Rais wetu mpendwa itakuwa kikongwe zaidi ya sasa. Hakuna mbunge atakusaidia zaidi ya kuitikia ndiyo mzee.
 
CCM ilifanya makosa ya wazi kulazimisha Tulia Ackson agombee Mbeya ili kumtoa Sugu. Kuna sababu 4:-

1. Siyo mzawa wa Mbeya kwa kuwa anatokea Rungwe. Hata ukisema Tanzania hakuna ukabila lakini Wasafwa ambao ndiyo wengi hawawezi kumpa kura Tulia Mnyakyusa, bora wampe Mpangwa Sugu.

2. Mfumo dume. Hata kwao Rungwe wasingempa mwanamke kutokana na mila zao.

3. Taswira ya Tulia kama Naibu Spika. Ametumika sana kuwakandamiza wapinzani kwa kuwanyima nafasi ya kuongea, kuwafukuza kwenye vikao na kupuuza hoja zao

4. Kura 100,000 za Sugu za mwaka 2015. Hawa watu waliomfanya Sugu awe the most voted MP bado wapo na Sugu hajawakwaza.

Sioni namna Tulia atapata hata 20% ya kura za Mbeya Mjini.
Mbona huko Rungwe Sophia Mwakagenda anachanja mbuga tu?

Mbeya na Songwe Chadema wameimarika sana
 
Back
Top Bottom