chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Uchaguzi inabidi usimamiwe na watu wanaoaminika. Kama hawa wengine wanapotosha mambo ya kawaida, ndio uwakabidhi uchaguzi, wanaweza kuanza kujirekodi na kutangaza matokeo feki yakazua taharuki mitandaoni na kwenye jamii
Tanzania hatu-beti kwenye mambo ya msingi kama wanavyofanya kenya
Tanzania hatu-beti kwenye mambo ya msingi kama wanavyofanya kenya