Tulikuwa wapi kumsaidia Mdude mpaka tunasubiri siku ya hukumu? Huu ni uzembe mkubwa


Kesi yake ni kutukana uongozi au ni madawa ya kulevya?

Kwenye kesi kama hiyo ana nini cha kujifunza kwa Mbowe? Au Mbowe anafanya biashara hizo?

Mbona hueleweki mkuu?
 
Unafiki mbaya sana kwa wanasiasa miaka 5 hakuwahi hata kumtaja kinywani mwake isingekua hiyo ziara ya kuzindua mavazi na vitambulisho vya saccos angehudhuria lini!
Angesaidiwaje nawakati kulikuwa na jabali dictator liloangamiza wenzake bila huruma, limetwaliwa Sasa...ndo haki inatokea tena
 
Selfishness at its best!!
Ingekuwa kila mtu alikuwa na mawazo kama ya kwako. Tusinge pata uhuru 1961!!
Wakati una enjoy freedom leo. Elewa kuna wana harakati walipoteza maisha yao wakipigania uhuru!!!
Hata hizo biashara anazofanya leo kuna watu walisacrifice maisha yao ili kuwa na uhuru wa kufanya biashara kwa kila mtu.

Utawala wa kina Mkapa na Kikwete ulizalisha watu wajinga wengi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…