Tulikuwa wapi kumsaidia Mdude mpaka tunasubiri siku ya hukumu? Huu ni uzembe mkubwa

Wazee wa hashtag wa twitter wakamtoe, ufipa mnajazanaga ujinga mkiongozwa na mbowe tapeli
Nani anawaongonza kubambikia watu kesi za uongo hapa ndiyo utajua kwanini Yesu alisema watoto wa ibilisi Ni dhahiri na watoto wa Mungu Ni dhahiri. Mtawambikizia watu kesi mpaka lini enyi Wana wa ibilisi?.Yesu kasema Msiwashitaki watu kwa uongo lakini bado mnashitaki watu kwa uongo.
 
Kesi Haina uthibitisho usio acha shaka, waliobumba hii kessi wameshindwa kuithibitishia mahakama kuwa mdude ndiye muhusuka wa hizo drugs

So kesho mdude anaenda kuachiwa na kuendelea na life lake kama kawaida.
Akitoka ajirekebishe
 
Huyo kilaza ale mvua ya kutosha kama sio maisha kabisa hata nyundo 30 ajifunze na hizo harakati zake za kishamba bila shule, kuropoka na kutukana wakubwa wa nchi kana kwamba sheria za nchi hazijui.
Kumbe anashtakiwa kwa kutukana wakubwa?
 
Unafiki mbaya sana kwa wanasiasa miaka 5 hakuwahi hata kumtaja kinywani mwake isingekua hiyo ziara ya kuzindua mavazi na vitambulisho vya saccos angehudhuria lini!
mhh! kwa swala la kutomtaja miaka 5 wasema ULOOONGO..
 
upumbavu wa vijana wachache wanaolewa ushabiki huyu kijana atakuwa amejifunza mnaomhurumia mngekuwaga mnakujana maandiko aliyokuwaga anaandika niaibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…