Tulilalamika sana siasa kuingilia Utendaji. Sasa tumeanza kuvuna matokeo yake

Watakuelewa Hawa wenye laana ya Mungu?
 
Anguko la Tanzania lilianza pale ambapo nchi iliingia kwenye mfumo wa chama kimoja,hili lilipelekea kadi ya chama kuwa qualification tosha kupata Kazi serikalini.

Mashirika ya umma na viwanda vilikufa kwa sababu ya makada kupata nafasi nyeti kwa kuangalia maslahi ya chama na sio nchi na mbaya zaidi kasumba hii bado ipo mpaka sasa.
 
Huu ni ukweli mchungu lakini utabaki kuwa ukweli tu, nakumbuka wakati ule CDF alipoonya kuhusu wahamiaji haramu kujipenyeza hadi kuwa kwenye nafasi za juu za maamuzi katika serikali yetu wengi waliponda na kumkejeli. Ukicheka na nyani utavuna mabua.
Alisema Hilo katika kipindi ambacho jambo hili lilikuwepo
 
Una hoja usikilizwe. Tuna watawala wabovu, wenye upeo mdogo.
 
Tanzania ishakuwa kama kongo
Tu....
Tunachoweza ni kukatika mauno tu

Ova
 
Mfumo wa Maamuzi wa Tanzania umeshakuwa fully penetrated na Majasusi wa Bahima Empire. Inasemwa sehemu nyeti zote zimeshakuwa Penetrated. Hadi sasa Naibu PM wa TZ ni product wa Bahima Empire. Na onasemwa BOT, Hazina, Mipango kote wamejaa wao.🥺🥺🥺😭😭😭
 
Swala la Bahima lisitujengee kuhisiana vibaya, watu wote wa wilaya ya Karagwe Wana asili ya kitusi, hivyo ni Bahima, waha wa kigoma wamechanganyika nusu ni Bahima nusu ni wengine, Ngala pia ni mchanganyiko. Je hao wote sio watanzania? Wafukuzwe?

Makabila ya mipakani Yana mchanganyiko mkubwa na watu wa nchi jirani
 
CCM ni LAANA Kwa taifa hili
Ndo umelijua leo??

Alafu saivi kuna mijinga pale Tume ya Uchaguzi inapoteza pesa za walipakodi kufanya maigizo sijui ya kuandikisha wapiga kura na kutoa masemima wakati wameshajipanga kuwapa hao CCM kura zote za Urais bila kujua hiyo hiyo CCM ndo inaenda kulizika kabisa Taifa letu
 
Na wanalipana posho kubwa mfano waandikishaji wa daftari la kudumu la wapiga kura wanalipwa 60,000/= Kwa siku
 
Amen
 
Watu wanakalili Maisha.

Tunaweza kua weak, lkn sio kwa level ya kua na viongozi puppets kutoka Uganda na Rwanda, Japo wapo ambao sio Raia lakini kama ni puppets ni swala la muda tu Bwana atajitwalia
 
Huu ni ukweli mchungu lakini utabaki kuwa ukweli tu, nakumbuka wakati ule CDF alipoonya kuhusu wahamiaji haramu kujipenyeza hadi kuwa kwenye nafasi za juu za maamuzi katika serikali yetu wengi waliponda na kumkejeli. Ukicheka na nyani utavuna mabua.
Udhaifu mmojawapo wa CCM ni kupenda kusifiwa na kutokuwa na mechanism ya kupata wanachama. Wanasombasomba tu. Ndio maana hata wahamiaji haram kwa kutambua hilo wakiingia tu nchini wanajiunga na CCM na kuanza kuwa machawa. Matokeo yake wanapatiwa nafasi na wanapanda hadi ngazi za maamuzi.
 
Chawa wote watachomoza mapangoni na watafurika hapa wakiwa wamefura kama wameumwa na nyuki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…