Tulimwambia achana na mambo ya kuoa, hakusikia cheki yaliyomkuta

Hivi ukubwa wa akili unaupima wewe au sisi third part?
Unaposema hawana akili we una uhakika unazo na kabla hujajibu tafadhali rudia sentensi ya kwanza.

#YNWA
Ndiyo ukubwa wa akili naupima Mimi ambaye Niko kwenye ndoa na najua matatizo ya wanawake kwa kunitokea Mimi au kusimuliwa na mwanandoa mwenzangu au kuyaona kwa watu wengine.

Imagine rafiki yako anataka kuoa na unajua anampenda Sana mwanamke fulani, lakini Yule mwanamke unagundua anatatizo kubwa na unamuambia mtu lakini analazimisha kumuoa. Baada ya muda mfupi anakuja kuachana naye kwa tatizo lilelile ulilomwambia.
Then anakuja huku na kuanza kuzitukana ndoa au kuwaaminisha watu kuwa ndoa Ni kitu kibaya, lakini kumbe yeye ndiye alikosea kwa sababu alioa mwanamke ambaye si sahihi kwake, NA ALIAMBIWA KABLA YA KUMUOA

Kwamfano kijana ambaye Ni decent anaamua kumuoa mwanamke ambaye Ni mtu wa ma disko vigodoro n.k kwa kujiaminisha kwamba atabadilika kwa kuwa atakuwa kashaolewa. Kesho wameachana kwa sababu ya tabia hizo anakuja kuzilaumu ndoa
HUYU ANAPASWA KUITWA HANA AKILI YA NDOA
Na ndiye niliyemzungumzia

Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
 
Hao unaowaona kwenye ndoa wanamachungu hasa moyoni.
Ni vile Wana watoto na mali nyingi hivyo HAWAWEZI ACHA NDOA japo ndoa zao zimekua balaa kwao.

#YNWA
Nano kakuambia, Kama watu wangekuwa na machungu kiasi hicho Basi ndoa zingekuwa chache kuliko sngles. Leo wewe jiangalie mtaani Ni watu wangapi ambao unaoishi nao wameoa na Ni wangapi hawajaoa

Kwangu Mimi, kazini, nyumba ninayoishi, marafiki, kanisani, ma school mates hasa wa chuo n.k karibia asilimia 80 wameoa na wengi ndoa zao Ni za muda mrefu Sasa hilo kuumia unakokuzungumzia Ni kupi?

Changamoto zipo tena nyingi kwa sababu kuishi watu wawili ambao mna mawazo tofauti, lazima mtapishana katika mambo fulani na mtagombana tu.


Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
 
Umeielewa hii paragraph....

"""Yaani mwana JF ununue kitanda laki 7+ gharama za usafirishaji halafu kwenye ile laki 7 yako unamkuta boya tuuu yaani boyaa kambinjua mkeo dog style..!!!""

#YNWA
 
yaani full kujichana bia na watoto saizi ata wakikufumania muhusika awe na cheti cha ndoa kwa iyo kufumaniwa kishamba marufuku
 
unapendekeza wahuni waoe katika umri upi?
 
Wenye ndoa wengi wanatuonea wivu sisi ma single.

Kwenye ndoa huko PAMOTOOO.

#YNWA
 
Mwamba is at risk.
 
Huyu ni mimi kabisaaaa.
 
Babuuu...
Wachungaji
Mashekhe
Walevi
Wastaarabu

Woteee wanalalamikia ndoa babuu...!!!

#YNWA
 
KUOA UKIWA BELOW 37 NI UOGA WA MAISHA.

UKIANZA TU KUMUELEWA MWANAMKE UJUE UNAKARIBIA KUFA.

noumer sana,,,,,at least ufike 45 hivi
Huo ni uduanzi umeandika mkuu unafika 55 mtoto ana 10 years yani anakuona babu kabisa akianza kukusumbua lawama zinaenda kwa mama ukifika 60 show inapungua wife anakazwa unaanza oooh! Mambo ya ndoa sio poa the best age ya kuoa ni 25+

Sent from my GT-I9500 using JamiiForums mobile app
 
Kuzaa hakuna uhusiano wowotee wa ndoa.
Nina Miaka 31 Nina watoto wawili (6Yrs + 2Yrs) na sasa nataka wa tatu.

Huyu wa kwanza nakaa nae nyumba moja wapili ndio nambembeleza mama ake aniachie.
Ndugu zake wameniambia kama sina mpango wa kumuoa mama mtoto basi nikamkomboeml mtoto.

Na mwakani nataka wa 3.
Kila mtu na mama ake, si unajua kuwa asilimia 60 ya akili ya mtoto anarithi kutoka kwa mama.
Hivyo nachanga akili tofauti tofauti..!!!

KUOA HAPANA.
KUZAA LAZIMA.
KULEA LAZIMA

#YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…