Tulioacha wake zetu kwa sababu ya usaliti waliotufanyia tukutane hapa

Pole sana, umenifurahisha hujachukia wanawake wote sababu ya mwanamke mmoja asiyejitambua huo ndio uwanaume[emoji4]

Cc [mention]cocastic [/mention] uduguu hii story inafanana na ya jamaa yetu wa kibaha [emoji1787][emoji1787]
Huyo wa kibaha huna hata hadhi ya kupata japo hata salamu yake tu.

Tafuta wa hadhi yako. Nachomkubali huyo ni akili kubwa huwa hana time na magumegume
 
Huyo wa kibaha huna hata hadhi ya kupata japo hata salamu yake tu.

Tafuta wa hadhi yako. Nachomkubali huyo ni akili kubwa huwa hana time na magumegume

Wewe Ngosha unaanza kupatwa na mapepo[emoji1787][emoji1787] wa kibaha unamjua??!! Umeamka na hangover zako unaanza kelele km konda wa buza
 
Huja tutendea haki lete story kamili kwenye uzi wake.
 
Pumbavu
 
Ninawaza tu,ni ndoa ngapi zingevunjika kisa mwanaume kuzaa nje.Mrudie mkeo.Ina maana wewe hakuwahi kuzini?Ingetokea wewe ndo ungezaa nje,ndoa ingevunjika ?Kishakuambia ni bahati mbaya,amekuomba msamaha. Msamehe mrudiane.
Mwanamke aki-cheat, kunakiwa na changes kubwa mnooo ndani ya nyumba, wengi huanza kujibu hovyo waume zao, viburi huongezeka + dharau, hii hufanya maisha kuwa magumu zaidi kwa mume!

Wanaume tulio wengi hata tuki-cheat, home hapabadiliki kabisa,labda mtu arogwe, usiombe mwanamke azame kihisia kwa mwanaume mwingine, mume atajutaaaa!
 
Hakuna haja ya kutaka kumuonyesha x wako kua una mwanamke mwingine,kitendo cha kuwaza eti umringishie kina ashiria kua bado una umia kumuacha,wewe ishi maisha yako wala huna haja ya kuishi ili fulani eti akuone unaishije.
 
Ni Bora ukamrudia huyo mkeo ukute huyo mnyarwanda anakupiga matukio zaidi ya huyo mkeo, ni vile umeamua kujizima data tu.

Kama huwezi kurudiana nae usianzishe mahusiano serious this time. We fanya chapa ilale tu then fanya mambo mengine mkuu.
 
Kuwa karibu na mke sio guarantee ya kutopigwa tukio, hawajitambui tu.

Tumeshuhudia Mara kibao tu mume na mke Wana ofisi moja kariakoo wanatoka wote home wanashinda wote kwenye biashara zao na wanarudi wote home wakiwa kwenye range yao.

Siku mwanangu alivyoenda kufunga mzigo kariakoo jimama jeupe lenye mshape wake likamzimia mwana na kubadilishana namba.

Jimama Sasa hv Safari za mkoani haziishi linamzuga mmewake kuwa linakuja mkoa kutafuta wateja wapya wa bidhaa kumbe anaishia guest nzuri na kupakuliwa na mjeshi wangu.

Na kila likija linakuja na mizawadi na mapochopocho ya kila aina badi ni full mserereko.

Unajua nn? Mwana alimuuliza siku moja kwa nn unasaliti kambi jimama likamjibu " kijana kula maisha hizi ndoa zinakinaisha wkt mwingine, kwake anapata kila kitu isipokuwa kuna muda wanatamani kupata changamoto ya mjegeje sehemu nyingine"

Pia muda wote kushinda na husband wake inampotezea mood ya kumiss na kumuona mume wake Ni wakawaida hivyo hujihisi hayupo sawa kwa maelezo yake.

Hv tunapoongea mwana yupo kumalizia kupauwa nyumba yake kwa mshiko anaopewa na jimama Kama payback ya kumsugua vizuri.

Mume yy analinda frem kariakoo akiamini kweli jimama linatafuta wateja wapya huku mkoani.

Aisee dunia ina mambo mengi na hayaishi, usijiapize kabla halijakukuta.
 
Sijui mimi ni mjinga au sielewi! Hivi kuna kutaniko la mwanamke na mwanaume kwa wakati huu lisilo husisha condom?
Inakuwaje mtu mke wa mtu unaenda kavu na mtu?
Condom utaitumia weee ila ipo siku hutoitumia. Zinaa ndo ya kuikwepa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…