Tulioacha wake zetu kwa sababu ya usaliti waliotufanyia tukutane hapa

Tena utakuta , binti anang'ang'ania mali kabisa za mdogo wenu kisingizio cha mtoto watafanya nn
Kapeace
Kama ndo hivyo sio kweli unataka kuchangamsha uzi tuu
 
wasiwasi wangu huenda kukatokea maafa ktk malumbano kuhusu huyo mtoto,,, nilishaongea sana inatosha Ivan, wakiuana tutazika🙌🙌wanaume mko wajinga sana mlisisitizwa mtumie akili kuishi na mwanamke, huwa hamzingatii hiyo sentensi
Kama ulishamwambia anakogoma basi sawa.
 
Tena utakuta , binti anang'ang'ania mali kabisa za mdogo wenu kisingizio cha mtoto watafanya nn
Kapeace
Kama ndo hivyo sio kweli unataka kuchangamsha uzi tuu
Siletagi story za abunuwasi, wanaume nyie ni wajinga mnaviona viashiria ila mnapuuza, ndg zenu wa karibu wanawaonesheni lkn mnafumba macho yakiwakuta ndo mnaanza kujiliza liza, komeni
 
No kurudiana nae, kashazaaa ni usaliti mkubwa sana
 
Mimi nashangaa sana,
Kuna jamaa mmoja aliambukizwa HIV na mkewe.
Hivi mtu unaenda kuzini na mtu ambaye hakuusu, ujali kama ana HIV wala nini
Daaa
Mie niseme ukweli tuu...wengi wetu wenye hiv tuna roho ya visasi yaani tunajua kabisa huyu namuambukiza makusudi. Acha tuu tukachomwe motoni maana kama mie ndio kabisaaa
 
Mwanamke akikufanyia kitu kibaya afu ukasamehe anakuona kama boya hivi.
 
Kuna wanawake washenzi ila na mwanaume anakuwa poyoyo zaidi ni kama tahira tu asiyetema udenda, mi navojua mwanaume inabidi ukae chonjo shtua mara moja kawapime watoto, na ukisoma wengi humu walipata dalili lkn wakapuuzia
Ni kweli asee ni vyema wanaume wakaenda kulima watoto wao ili wajue kama ni wao au la.
 
Siku akilambwa risasi uje kutoa ushuhuda
 
Kukaza kote huko kumbe bado unampenda hujamove on, akiongeza kasi ya kuomba msamaha unamsamehe huyo.

Sasa umringishie ili iweje, nae akipata kibopa aje akuringishie uanze wew kuomba misamaha, maisha ya kipuuzi kabisa hayo..

Kama umemuacha for good unaweza hata kumpa mtaji ajiendeleze, huna hisia nae unamtafuta ili umuumize halafu wewe unafaidika nini??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…