Kwa hiyo unachosema ni kuwa ata wewe mumeo utamcheat na unatarajia akisamee?Nimekuja mshauri huyu mdau asimwache mke wa ujana wake,manake hata bibilia imekataza Hilo🙏
KabisaNdio keshaachwa hivyo. Wewe kama umebahatika kupata ka "bushoke" kako, mshukuru Mungu. Sisi wengine hatujui hiyo habari ya "kitanda hakizai haramu".
Asante , mume kuzaa nje wote watajua mtoto huyu si wa hapo.NIKUTIE MOYO, ENDELEA KUSEMA NOOO!!.
MKEO ni mjinga , anakuja kwako baada ya wewe kuzaa, akidhan kwamba Sasa Nawewe utaona, Umezaa mtoto mwingine, na yeye ana mwingine Kwa hiyo ngoma droo.
Ni mjinga ila mjanja kama shetan ni mwerevu sana sanaaaa.
Ila wewe shikilia hapohapo, ,Sisi wanaume kuzaa hata nje ,sio inshu, KAMWE UKIGINDUA MKEO KAZAA NJE, FUKUZA MARA MOJA.
Halikuwa hana kitu kwangu, baada ya kufunga ndoa alikuja kwangu na begi la nguo lake tuu.Vipi kugawana mali mkuu Johnson12345 ilikuwaje hakudai mgawane
Halikuwa hana kitu kwangu, baada ya kufunga ndoa alikuja kwangu na begi la nguo lake tuu.Vipi kugawana mali mkuu Johnson12345 ilikuwaje hakudai mgawane
Nafanya hivi coz ananisumbua hata kutuma watu anatuma,Kama unataka umringishie inaonekana bado hujawa na maamuzi magumu "Uanaume"
Sina mpango wa kumuoa kabisa napita tuuHuko rwanda unajua kuwa analiwa na meddy??[emoji1787][emoji1787]we sasahv tomber tu achana na ndoa utakuja kujiua mzee wangu.
Na mshahara wake mlikua hamshirikiani Alf kingne kwa mda huo mlio ishi hakushawishika kwenda kuomba talaka mgawane kwa ajili ya huyo mtoto mlio zaa naye maan sheria ndo zinangalia hicho kituHalikuwa hana kitu kwangu, baada ya kufunga ndoa alikuja kwangu na begi la nguo lake tuu.
Kwank mshahara wa watu wa benki ni ngapi?
Mshahara wake ni kama 500,000.
Alikuwa na cheo kidogo sana.
Bahati mbaya mbaya manaake ni nini.Huyo anayetetea huu upuuzi ni juha tu,mwanamke akiamua kumbebea mtu mimba huwa ina maana kampenda huyo mtu sana tu,sjui hiyo bahati mbaya hapo iko wapi??
Yania acha tuu yani sisi wanaume tunawaza mengi ukute mkeo.Kwa hiyo unachosema ni kuwa ata wewe mumeo utamcheat na unatarajia akisamee?
Ila jamani kama mnacheat hakikisheni haichomoki alafu mkairudisha ndani kwa mikono yenu....hicho ndicho kinakujaga akilini kwanza
Hili nalo neno.....isije ikawa kamtoa kafara kweliHuyo mkeo wa pili alivyofariki hawakusema umemtoa kafara?
SikumuoaHuyo mkeo wa pili alivyofariki hawakusema umemtoa kafara?
Nini maana ya haramu?Kitanda hakizai haramu.
Hivi kweli unamuacha mke kisa kuchepuka tuuu!! Hebu kuweni serious na maisha.
Ya sijawahi kuchukua mshahara wake mimiNa mshahara wake mlikua hamshirikiani
Sijawahi kumshilikusha kwenye mambo yangu alikuwa anajua tuu sehemu zangu za kazi na mambo yangu nayofanya , na kuja kutembelea tuu.Alf kingne kwa mda huo mlio ishi hakushawishika kwenda kuomba talaka mgawane kwa ajili ya huyo mtoto mlio zaa naye maan sheria ndo zinangalia hicho kitu
Mzee inauma hiyo acha tuu.Yania acha tuu yani sisi wanaume tunawaza mengi ukute mkeo.
Jamaa kipindi Anasugua dushe akichomoa mkeo anasema kabisa imechomoka dear, afu anachukua mkono wake anarudisha ndani ,
Daaaaa
Aisee wee ulilogwa sio bureYa sijawahi kuchukua mshahara wake mimi
Ananisumbua sana nataka Aache kunitafuta.Hakuna haja ya kutaka kumuonyesha x wako kua una mwanamke mwingine,kitendo cha kuwaza eti umringishie kina ashiria kua bado una umia kumuacha,wewe ishi maisha yako wala huna haja ya kuishi ili fulani eti akuone unaishije.
[emoji23][emoji23][emoji23] et clean sheet[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Binti mlokole alikuwa analiwa na mlokole mwenzie,wewe Roman alikuona jau,mimi pia wakati nikiwa chuo nilikuwa nahudhuria Sana mikesha ya walokole ilhal mie mroma,nilikuwa napenda vibe lao.
Tulikuwa tunaishi hostel na shost angu cecy,saivi injinia[emoji1787]cha ajabu tuko mwaka wa 4,cecy ananambia mjamzito,wakati alikuwa full mlokole,wa kuniombea mie [emoji1787][emoji1787]mie wa mataifa nimetoka chuo na clean sheet[emoji120][emoji848] anyways ilikuwa sehemu ya growth.
Huyu mnyarwanda mali nilizokuwa nazo kanisaidia sana kimawazo.Ni Bora ukamrudia huyo mkeo ukute huyo mnyarwanda anakupiga matukio zaidi ya huyo mkeo, ni vile umeamua kujizima data tu