Tulioacha wake zetu kwa sababu ya usaliti waliotufanyia tukutane hapa

Tulioacha wake zetu kwa sababu ya usaliti waliotufanyia tukutane hapa

Nimekuja mshauri huyu mdau asimwache mke wa ujana wake,manake hata bibilia imekataza Hilo🙏
Kwa hiyo unachosema ni kuwa ata wewe mumeo utamcheat na unatarajia akisamee?
Ila jamani kama mnacheat hakikisheni haichomoki alafu mkairudisha ndani kwa mikono yenu....hicho ndicho kinakujaga akilini kwanza
 
NIKUTIE MOYO, ENDELEA KUSEMA NOOO!!.

MKEO ni mjinga , anakuja kwako baada ya wewe kuzaa, akidhan kwamba Sasa Nawewe utaona, Umezaa mtoto mwingine, na yeye ana mwingine Kwa hiyo ngoma droo.

Ni mjinga ila mjanja kama shetan ni mwerevu sana sanaaaa.


Ila wewe shikilia hapohapo, ,Sisi wanaume kuzaa hata nje ,sio inshu, KAMWE UKIGINDUA MKEO KAZAA NJE, FUKUZA MARA MOJA.
Asante , mume kuzaa nje wote watajua mtoto huyu si wa hapo.
Ila mke akizaa nje mume unadanganya, wazazi wako wanadanganywa, jamii inadanganya, hasa kama akiwa mtoto wa kiume kama mimi ilivyonitokea , wanaume tunapenda watoto wa kiume sana hata kwenye kulishisha mali tunapenda kuwapendelea watoto kiume sana.
Sasa kama si wako si unampa mali kama zote.
Ni hatali sana.
 
Vipi kugawana mali mkuu Johnson12345 ilikuwaje hakudai mgawane
Halikuwa hana kitu kwangu, baada ya kufunga ndoa alikuja kwangu na begi la nguo lake tuu.
Kwank mshahara wa watu wa benki ni ngapi?
Mshahara wake ni kama 500,000.
Alikuwa na cheo kidogo sa
Kama unataka umringishie inaonekana bado hujawa na maamuzi magumu "Uanaume"
Nafanya hivi coz ananisumbua hata kutuma watu anatuma,
Nataka ahache kabisa
 
Halikuwa hana kitu kwangu, baada ya kufunga ndoa alikuja kwangu na begi la nguo lake tuu.
Kwank mshahara wa watu wa benki ni ngapi?
Mshahara wake ni kama 500,000.
Alikuwa na cheo kidogo sana.
Na mshahara wake mlikua hamshirikiani Alf kingne kwa mda huo mlio ishi hakushawishika kwenda kuomba talaka mgawane kwa ajili ya huyo mtoto mlio zaa naye maan sheria ndo zinangalia hicho kitu
 
Kwa hiyo unachosema ni kuwa ata wewe mumeo utamcheat na unatarajia akisamee?
Ila jamani kama mnacheat hakikisheni haichomoki alafu mkairudisha ndani kwa mikono yenu....hicho ndicho kinakujaga akilini kwanza
Yania acha tuu yani sisi wanaume tunawaza mengi ukute mkeo.
Jamaa kipindi Anasugua dushe akichomoa mkeo anasema kabisa imechomoka dear, afu anachukua mkono wake anarudisha ndani ,
Daaaaa
 
Alf kingne kwa mda huo mlio ishi hakushawishika kwenda kuomba talaka mgawane kwa ajili ya huyo mtoto mlio zaa naye maan sheria ndo zinangalia hicho kitu
Sijawahi kumshilikusha kwenye mambo yangu alikuwa anajua tuu sehemu zangu za kazi na mambo yangu nayofanya , na kuja kutembelea tuu.
Afu sheria inaruhusu kuwa na mali binafsi kwa wanandoa
 
Yania acha tuu yani sisi wanaume tunawaza mengi ukute mkeo.
Jamaa kipindi Anasugua dushe akichomoa mkeo anasema kabisa imechomoka dear, afu anachukua mkono wake anarudisha ndani ,
Daaaaa
Mzee inauma hiyo acha tuu.
Mie kuna mrembo wangu freaky kweli kweli. aisee nilitomber siku hiyo alafu akaniambia bby cum in my mouth aisee niliburudika.

Sasa kimbembe siku tunasimuliana mizangamuano aise alinisumulia jinsi alivyogegedana na njemba nyingine bwana bwana niliwaza kwanza so na jamaa nae alimimina cum mdomoni like me. Aisee tulikuwa tunakula kitimoto mbona niona nyama chungu. Wiki nzime image ya yeye kukojolewa mdomoni kept replaying in my head. Acha tuu wanaume tuna imagine vingi sana pala demu wako ujue kagegedwa. 😭😭😭😭😭
 
Hakuna haja ya kutaka kumuonyesha x wako kua una mwanamke mwingine,kitendo cha kuwaza eti umringishie kina ashiria kua bado una umia kumuacha,wewe ishi maisha yako wala huna haja ya kuishi ili fulani eti akuone unaishije.
Ananisumbua sana nataka Aache kunitafuta.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Binti mlokole alikuwa analiwa na mlokole mwenzie,wewe Roman alikuona jau,mimi pia wakati nikiwa chuo nilikuwa nahudhuria Sana mikesha ya walokole ilhal mie mroma,nilikuwa napenda vibe lao.

Tulikuwa tunaishi hostel na shost angu cecy,saivi injinia[emoji1787]cha ajabu tuko mwaka wa 4,cecy ananambia mjamzito,wakati alikuwa full mlokole,wa kuniombea mie [emoji1787][emoji1787]mie wa mataifa nimetoka chuo na clean sheet[emoji120][emoji848] anyways ilikuwa sehemu ya growth.
[emoji23][emoji23][emoji23] et clean sheet
 
Ni Bora ukamrudia huyo mkeo ukute huyo mnyarwanda anakupiga matukio zaidi ya huyo mkeo, ni vile umeamua kujizima data tu
Huyu mnyarwanda mali nilizokuwa nazo kanisaidia sana kimawazo.
Na kuna chochote alichoniomba huyu mrembo.

Kwa sasa anapenda kushe langu balaa.
 
Back
Top Bottom