Tuliofanikiwa kwa michongo hatari baada ya kuona hakuna njia ya kutoboa

Attachments

  • FB_IMG_1732873161525.jpg
    FB_IMG_1732873161525.jpg
    18.9 KB · Views: 5
Miaka kumi nyuma nimemaliza zangu shule naingia mtaani sina ramani ya kipi kifanyike nitoboe kimaisha

Nikaanza harakati za hapa na pale kuchimba vyoo nipo, ukuli nipo, nk piga kazi kwa nguvu zote kila mchongo ukitokea nipo

Lakini kila nikitazama malengo na kazi ninazofanya imani ya kutoboa inagoma

Nikaamua kwenda machimbo ya dhahabu asee kule nikakutana na miamba yenye bahati zao yaani yeye lengo lake kushika milion mia tano ile akipata milioni kumi ni kula bata siku tatu imekata anarudi tena job

Nikamwambia Mungu nisaidie na mimi nipate japo m5 tu nikaanzishe japo ka biashara

Basi nikaanza kupambana sana miez 8 ikakata nakuja ambulia laki 5 hapo familia inaitaji pesa ikabidi nigawe laki 3 niwatumie

hapo sina nguo na mademu sikuwagusa kitambo niko na haam hatari miez nane kwa mwanaume acha tu

Nikajikuta pesa imekata nikaanza upya nakumbuka nimesota chimbo kalibu miaka miwili

Nikawaza umri nao unaenda nikisema ni base kwenye jambo moja nitafeli nakumbuka nilikuwa na shilingi milioni moja

Nikarudi kitaa kuja kulima msimu umefika nikapata Junia za mahind kama 30

enzi zile ndio anajitokeza yule tajiri wa mkako basi nikapeleka kuuza kilichofuata hakuna mtanzania asiye jua yule mwamba alitufanya nini wakulima

Ikanipasa kuanza upya naingia wapi sielewi nikajikuta napanda gari naelekea mkoa x nimefika ule mkoa baada ya wiki kama tatu nikapata kazi ya kufyatua matofali ya block nikapiga

Hadi msimu unakata nikajikuta nina laki 8 nikarudi kufanya biashara ya mbao nimepambana, nikajikuta nimejenga kanyumba kakimtindo nikanunua na kapikipik nikasema asante Mungu

Nikakopa bank kama milioni 8 hivi ili kubusti mtaji kujazia mtaji kwenye mbao ile pesa ndani ya miezi 6 ikakua mpaka ikafikia milion 30

Nikasema kwa kuwa nimekuwa ngoja nitafute soko la nje ya mkoa
Nikapatana na mfanya biashara mwenzangu tukapata mteja dar es lam

Asee ile siku sitoi sahau picha linaanza tumewasili dar majila ya saa moja jioni tukiwa na mzigo wa mbao kama scania mbili hivi

Tukazishusha nikapewa shlng m1 kwaajili ya hapa na pale asubuhi tuje tupige hesabu tulipane

Ile nakuja asubuhi kwenye lile eneo hakuna kitu yaani tulipo shusha zile mbao ni peupe hata ubao hakuna

Pigia simu kwa wale jamaa hawapatikani kumbe dili lilishasukwa kitambo na yule jamaa ambaye nilifanya nae biashara mwanzo

asee nakumbuka natoka pale napanda gari hadi nafika home sijielewi na sielewi nini nifanye nikawa nusu mtu nusu chizi

Na vile sikumwambia mtu yoyote kilichonitokea baada ya muda watu wakahisi nimekosea masharti ya mganga

Miezi 7 imepita bank wakaja tangaza kuuza nyumba mana nilikopa tena kama m20

Hapo kila mtu kanitenga wakijua nimefilisika sababu ya hela za manyoka

Nikawaza kujiua roho ikaniambia hapana jiue kwa faida hapo ndipo nikaanza kuingia kwenye michongo hatari ...............nakuja endelea
Simulia michongo hiyo ya hatari, but I'm warning you to never trust the internet. Social media patrols are real.
 
Haya ya kuja kuendelea huwa mnazingua. Shusha story mwanzo mwisho. Kama muda ni mchache andika kidogo kidogo then ukikamilisha shusha yote ili na wengine tuelezee kwenye comment section
 
Miaka kumi nyuma nimemaliza zangu shule naingia mtaani sina ramani ya kipi kifanyike nitoboe kimaisha

Nikaanza harakati za hapa na pale kuchimba vyoo nipo, ukuli nipo, nk piga kazi kwa nguvu zote kila mchongo ukitokea nipo

Lakini kila nikitazama malengo na kazi ninazofanya imani ya kutoboa inagoma

Nikaamua kwenda machimbo ya dhahabu asee kule nikakutana na miamba yenye bahati zao yaani yeye lengo lake kushika milion mia tano ile akipata milioni kumi ni kula bata siku tatu imekata anarudi tena job

Nikamwambia Mungu nisaidie na mimi nipate japo m5 tu nikaanzishe japo ka biashara

Basi nikaanza kupambana sana miez 8 ikakata nakuja ambulia laki 5 hapo familia inaitaji pesa ikabidi nigawe laki 3 niwatumie

hapo sina nguo na mademu sikuwagusa kitambo niko na haam hatari miez nane kwa mwanaume acha tu

Nikajikuta pesa imekata nikaanza upya nakumbuka nimesota chimbo kalibu miaka miwili

Nikawaza umri nao unaenda nikisema ni base kwenye jambo moja nitafeli nakumbuka nilikuwa na shilingi milioni moja

Nikarudi kitaa kuja kulima msimu umefika nikapata Junia za mahind kama 30

enzi zile ndio anajitokeza yule tajiri wa mkako basi nikapeleka kuuza kilichofuata hakuna mtanzania asiye jua yule mwamba alitufanya nini wakulima

Ikanipasa kuanza upya naingia wapi sielewi nikajikuta napanda gari naelekea mkoa x nimefika ule mkoa baada ya wiki kama tatu nikapata kazi ya kufyatua matofali ya block nikapiga

Hadi msimu unakata nikajikuta nina laki 8 nikarudi kufanya biashara ya mbao nimepambana, nikajikuta nimejenga kanyumba kakimtindo nikanunua na kapikipik nikasema asante Mungu

Nikakopa bank kama milioni 8 hivi ili kubusti mtaji kujazia mtaji kwenye mbao ile pesa ndani ya miezi 6 ikakua mpaka ikafikia milion 30

Nikasema kwa kuwa nimekuwa ngoja nitafute soko la nje ya mkoa
Nikapatana na mfanya biashara mwenzangu tukapata mteja dar es lam

Asee ile siku sitoi sahau picha linaanza tumewasili dar majila ya saa moja jioni tukiwa na mzigo wa mbao kama scania mbili hivi

Tukazishusha nikapewa shlng m1 kwaajili ya hapa na pale asubuhi tuje tupige hesabu tulipane

Ile nakuja asubuhi kwenye lile eneo hakuna kitu yaani tulipo shusha zile mbao ni peupe hata ubao hakuna

Pigia simu kwa wale jamaa hawapatikani kumbe dili lilishasukwa kitambo na yule jamaa ambaye nilifanya nae biashara mwanzo

asee nakumbuka natoka pale napanda gari hadi nafika home sijielewi na sielewi nini nifanye nikawa nusu mtu nusu chizi

Na vile sikumwambia mtu yoyote kilichonitokea baada ya muda watu wakahisi nimekosea masharti ya mganga

Miezi 7 imepita bank wakaja tangaza kuuza nyumba mana nilikopa tena kama m20

Hapo kila mtu kanitenga wakijua nimefilisika sababu ya hela za manyoka

Nikawaza kujiua roho ikaniambia hapana jiue kwa faida hapo ndipo nikaanza kuingia kwenye michongo hatari ...............nakuja endelea
Aisee funguka jomba
 
Nikaamua kwenda machimbo ya dhahabu asee kule nikakutana na miamba yenye bahati zao yaani yeye lengo lake kushika milion mia tano ile akipata milioni kumi ni kula bata siku tatu imekata anarudi tena job

Nikamwambia Mungu nisaidie na mimi nipate japo m5 tu nikaanzishe japo ka biashara

Basi nikaanza kupambana sana miez 8 ikakata nakuja ambulia laki 5 hapo familia inaitaji pesa ikabidi nigawe laki 3 niwatumie

View: https://www.facebook.com/reel/907372474644167
 
Kulia Ibn Unuq kushoto mr pipa ni mwendo wa wiki ya story za magendo....wanangu wa Republic leteni story za kubeba mirungi na magendo mengine kutoka Kenya

ephen_ sogea huku
Nilishawamba msalabani na askari Vishoka wa huko boda ya kenya na tanzania baada ya kukutwa na furushi la mirungi , wakanimenya visigino vya miguu wakaniachia katikati ya pori lina wanyama wakali , kwa kukosa kitu kinaitwa kipande na 1000 ksh .

Nikajiburuza na tumbo mpaka nikatokea upande wa tanzania rombo, nikabubujikwa na machozi ya furaha, ndio hiyo siku nikajua ukitaka kujua wewe ni mzalendo wa taifa lako utiwe nguvuni kwenye nchi za watu , halafu uponee chupuchupu ukanyage ardhi ya Tz ndio utaona jinsi ulivyo mzalendo wa kweli .🤣🤣🤣🤣🤣
 
Nilishawamba msalabani na askari Vishoka wa huko boda ya kenya na tanzania baada ya kukutwa na furushi la mirungi , wakanimenye visigino vya miguu wakaniachia katikati ya pori lina wanyama wakali , kwa kukosa kitu kinaitwa kipandae na shi 1000 ya ksh .

Nikajiburuza na tumbo mpaka nikatokea upande wa tanzania rombo, nikabubujikwa na majozi ya ndio hiyo siku nikajua ukitaka kujua wewe ni mzalendo wa taifa lako utiwe nguvuni kwenye nchi za watu , halafu uponee chupuchupu ukanyage ardhi ya Tz ndio utaona jinsi ulivyo mzalendo wa kweli .🤣🤣🤣🤣🤣
Nakukumbuka vizuri raia wema tulikuokota ulikua umebeba miraha kwenye tranka
 
Nilishawamba msalabani na askari Vishoka wa huko boda ya kenya na tanzania baada ya kukutwa na furushi la mirungi , wakanimenye visigino vya miguu wakaniachia katikati ya pori lina wanyama wakali , kwa kukosa kitu kinaitwa kipandae na shi 1000 ya ksh .

Nikajiburuza na tumbo mpaka nikatokea upande wa tanzania rombo, nikabubujikwa na majozi ya ndio hiyo siku nikajua ukitaka kujua wewe ni mzalendo wa taifa lako utiwe nguvuni kwenye nchi za watu , halafu uponee chupuchupu ukanyage ardhi ya Tz ndio utaona jinsi ulivyo mzalendo wa kweli .🤣🤣🤣🤣🤣
Itaendelea... au ndo mwisho😁😁😁
 
Back
Top Bottom