min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Inaendelea ...... mkuu😁😁😁Itaendelea... au ndo mwisho😁😁😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inaendelea ...... mkuu😁😁😁Itaendelea... au ndo mwisho😁😁😁
KudadeqMiaka kumi nyuma nimemaliza zangu shule naingia mtaani sina ramani ya kipi kifanyike nitoboe kimaisha
Nikaanza harakati za hapa na pale kuchimba vyoo nipo, ukuli nipo, nk piga kazi kwa nguvu zote kila mchongo ukitokea nipo
Lakini kila nikitazama malengo na kazi ninazofanya imani ya kutoboa inagoma
Nikaamua kwenda machimbo ya dhahabu asee kule nikakutana na miamba yenye bahati zao yaani yeye lengo lake kushika milion mia tano ile akipata milioni kumi ni kula bata siku tatu imekata anarudi tena job
Nikamwambia Mungu nisaidie na mimi nipate japo m5 tu nikaanzishe japo ka biashara
Basi nikaanza kupambana sana miez 8 ikakata nakuja ambulia laki 5 hapo familia inaitaji pesa ikabidi nigawe laki 3 niwatumie
hapo sina nguo na mademu sikuwagusa kitambo niko na haam hatari miez nane kwa mwanaume acha tu
Nikajikuta pesa imekata nikaanza upya nakumbuka nimesota chimbo kalibu miaka miwili
Nikawaza umri nao unaenda nikisema ni base kwenye jambo moja nitafeli nakumbuka nilikuwa na shilingi milioni moja
Nikarudi kitaa kuja kulima msimu umefika nikapata Junia za mahind kama 30
enzi zile ndio anajitokeza yule tajiri wa mkako basi nikapeleka kuuza kilichofuata hakuna mtanzania asiye jua yule mwamba alitufanya nini wakulima
Ikanipasa kuanza upya naingia wapi sielewi nikajikuta napanda gari naelekea mkoa x nimefika ule mkoa baada ya wiki kama tatu nikapata kazi ya kufyatua matofali ya block nikapiga
Hadi msimu unakata nikajikuta nina laki 8 nikarudi kufanya biashara ya mbao nimepambana, nikajikuta nimejenga kanyumba kakimtindo nikanunua na kapikipik nikasema asante Mungu
Nikakopa bank kama milioni 8 hivi ili kubusti mtaji kujazia mtaji kwenye mbao ile pesa ndani ya miezi 6 ikakua mpaka ikafikia milion 30
Nikasema kwa kuwa nimekuwa ngoja nitafute soko la nje ya mkoa
Nikapatana na mfanya biashara mwenzangu tukapata mteja dar es lam
Asee ile siku sitoi sahau picha linaanza tumewasili dar majila ya saa moja jioni tukiwa na mzigo wa mbao kama scania mbili hivi
Tukazishusha nikapewa shlng m1 kwaajili ya hapa na pale asubuhi tuje tupige hesabu tulipane
Ile nakuja asubuhi kwenye lile eneo hakuna kitu yaani tulipo shusha zile mbao ni peupe hata ubao hakuna
Pigia simu kwa wale jamaa hawapatikani kumbe dili lilishasukwa kitambo na yule jamaa ambaye nilifanya nae biashara mwanzo
asee nakumbuka natoka pale napanda gari hadi nafika home sijielewi na sielewi nini nifanye nikawa nusu mtu nusu chizi
Na vile sikumwambia mtu yoyote kilichonitokea baada ya muda watu wakahisi nimekosea masharti ya mganga
Miezi 7 imepita bank wakaja tangaza kuuza nyumba mana nilikopa tena kama m20
Hapo kila mtu kanitenga wakijua nimefilisika sababu ya hela za manyoka
Nikawaza kujiua roho ikaniambia hapana jiue kwa faida hapo ndipo nikaanza kuingia kwenye michongo hatari ...............nakuja endelea
Hizi hadithi naona siku hizi zimataradadi hapa jukwaani. Na kila msimuliaji anasema ni true story... Well and Good, iwe true isiwe true bado tunawashukuru waletaji, it's too inspirational.Miaka kumi nyuma nimemaliza zangu shule naingia mtaani sina ramani ya kipi kifanyike nitoboe kimaisha
Nikaanza harakati za hapa na pale kuchimba vyoo nipo, ukuli nipo, nk piga kazi kwa nguvu zote kila mchongo ukitokea nipo
Lakini kila nikitazama malengo na kazi ninazofanya imani ya kutoboa inagoma
Nikaamua kwenda machimbo ya dhahabu asee kule nikakutana na miamba yenye bahati zao yaani yeye lengo lake kushika milion mia tano ile akipata milioni kumi ni kula bata siku tatu imekata anarudi tena job
Nikamwambia Mungu nisaidie na mimi nipate japo m5 tu nikaanzishe japo ka biashara
Basi nikaanza kupambana sana miezi 8 ikakata nakuja ambulia laki 5 hapo familia inaitaji pesa ikabidi nigawe laki 3 niwatumie
Hapo sina nguo na mademu sikuwagusa kitambo niko na haam hatari miezi nane kwa mwanaume acha tu!
Nikajikuta pesa imekata nikaanza upya nakumbuka nimesota chimbo kalibu miaka miwili
Nikawaza umri nao unaenda nikisema ni base kwenye jambo moja nitafeli nakumbuka nilikuwa na shilingi milioni moja
Nikarudi kitaa kuja kulima msimu umefika nikapata Junia za mahindi kama 30
Enzi zile ndio anajitokeza yule tajiri wa mkako basi nikapeleka kuuza kilichofuata hakuna mtanzania asiye jua yule mwamba alitufanya nini wakulima
Ikanipasa kuanza upya naingia wapi sielewi nikajikuta napanda gari naelekea mkoa x nimefika ule mkoa baada ya wiki kama tatu nikapata kazi ya kufyatua matofali ya block nikapiga
Hadi msimu unakata nikajikuta nina laki 8 nikarudi kufanya biashara ya mbao nimepambana, nikajikuta nimejenga kanyumba kakimtindo nikanunua na kapikipiki nikasema asante Mungu
Nikakopa bank kama milioni 8 hivi ili kubusti mtaji kujazia mtaji kwenye mbao ile pesa ndani ya miezi 6 ikakua mpaka ikafikia milion 30
Nikasema kwa kuwa nimekuwa ngoja nitafute soko la nje ya mkoa
Nikapatana na mfanyabiashara mwenzangu tukapata mteja Dar es Salaam
Asee ile siku sitoisahau picha linaanza tumewasili dar majira ya saa moja jioni tukiwa na mzigo wa mbao kama gari Scania mbili hivi
Tukazishusha nikapewa shilingi milioni 1 kwa ajili ya hapa na pale asubuhi tuje tupige hesabu tulipane
Ile nakuja asubuhi kwenye lile eneo hakuna kitu yaani tulipo shusha zile mbao ni peupe hata ubao hakuna
Pigia simu kwa wale jamaa hawapatikani kumbe dili lilishasukwa kitambo na yule jamaa ambaye nilifanya nae biashara mwanzo
Aisee nakumbuka natoka pale napanda gari hadi nafika home sijielewi na sielewi nini nifanye nikawa nusu mtu nusu chizi
Na vile sikumwambia mtu yoyote kilichonitokea baada ya muda watu wakahisi nimekosea masharti ya mganga
Miezi 7 imepita bank wakaja tangaza kuuza nyumba maana nilikopa tena kama m20
Hapo kila mtu kanitenga wakijua nimefilisika sababu ya hela za manyoka
Nikawaza kujiua roho ikaniambia hapana jiue kwa faida hapo ndipo nikaanza kuingia kwenye michongo hatari ...............nakuja endelea
Nimekumbuka mkuu, wewe ndio yule mfupi mwenye kitambi ulikua umevaa t-shirt fupi na kaptula ya chelsea ,mmlikua na bikapu ina nguruwe na machicha ya mbege?Nakukumbuka vizuri raia wema tulikuokota ulikua umebeba miraha kwenye tranka
Ile siyo kaptula ilikua bukta ya Liverpool 😂Nimekumbuka mkuu, wewe ndio yule mfupi mwenye kitambi ulikua umevaa t-shirt fupi na kaptula ya chelsea ,mmlikua na bikapu ina nguruwe na machicha ya mbege?
Sio bukta mkuu ni kaptula 😁😁😁😁Ile siyo kaptula ilikua bukta ya Liverpool 😂
Huyo mama alikupa mchongo gani? Hujaeleza kwa kina hapo.Tunaendelea.................👇👇👇
Nikawaza kujiua ila nafsi ukasema nijiue kwa faida
Kumbuka benk wameuza nyumba cha juu kikabaki kama milion 3 hivi
Nikawatafutia wananngu na wife nyumba ya kupanga nikalipia miez 9 milioni moja nikampa wife apambane
mfukoni nikabaki na m1 huwa mambo yakiwa magumu huwa naamini kwenda kwenye mkoa au sehem wasipo nifaham
Baada ya kuiweka sawa familia ni huyo nikakwea roli hadi mkoa x nikalipia gest siku ya pili nikatafuta wenyeji uzuri wa mi ni mcheshi nikazama vilabu vya pombe za machicha aka komon
Nikawaagizia watu pombe uzuri hazina bei basi nikaanza tafuta data za huo mkoa kwa watu nikapata siku ya tatu wakanitafuta chumba nikalipa
Nikanunua jamvi na shuka nikatandika chini tayari kwa maisha mapya
Zangu jion ilikuwa kwenda vilabu vya pombe japo umri haukuendana na hizo mambo ila nilisha jizila lengo na nia ni maisha
Na yote ili kupata data wapi nianzie
Nimekaa kama wiki nikapata kazi ya kubebelea kifusi kwenetololi kujaza kwenye msingi wa nyumba kuna miamba ilini unganisha niwale wa vilabu
nikapiga kama siku tano nikajipatia laki tatu
nikanunua jiko na mazaga ya ndani kama ya mwezi hivi
Sijakaa sawa nikapata dili la kupasua mawe kwaajili ya kujengea msingi nikapiga
Kuna siku narud toka job nakutana na mama mmoja hivi alikuwa amepata ajali ya gari yaani alikosa njia akaingia mtaroni kilikuwa kifuku
haikuwa ajari kubwa ila kwa wamama ni kubwa nikawa nimeitoa wana tukamsaidia kutoa gari mtalon
And the day yule mama tulizoeana sana na anatokea nikubali siku moja nilipo mpa story yangu akanionea huruma ndipo alipo nipa mchongo wa pesa haramu dili la pesa bandia
Kwa vile sikuwa na chaguo nikazama
Akanipa masharti na kunionesha kazi inavyofanyika so ulinivutia sana nikasema kuliko kuua watu ngoja nipambane na serikali nikifa ndio kifo ambacho nimekichagua cha faida
Akaniahid kunipa m3 za mtaji na sio kwamba anafanya yeye hapana ila yeye ana watu huko na mbele na wapo kikazi yaan ipo hivi ukiwa njiani a m7 ukiipeleka wale miamba wanakutolea m21 ile saba og yakwao
Asee nikajikuta ndani ya mwezi nina milioni 45 mana ni mwendo wa kuiweka kwa wakala au bank kisha. Kutoa kurudi tena kwa mainjinia
So nikajikuta
Nikaingia kulima bangeeee na heka 8 uzuri connection ikiwepo tena ya matajiri wakubwa nikavuna nikapata kama m150
Sikuishia hapo na hakuna mchongo nilio utosa ni mwendo wa bulu bulu
Kuja piga hesabu miaka miwili nikawa na m345 nikasema ningejiua ingekuwaje
Katika hayo mambo sio kwamba sikukutana na sheria nimefungwa sana mpaka polisi wanaamua wakugeuze kitega uchumi so unachopaswa kujua ogopa
Sana mtu ambaye amejikatia tamaa ya kuishi au mtu ambaye kajiambia liwalo na liwe huyo ni sikio la kufa labda mumuue
nakumbuka nilifanya hizi misheni
Miaka mitano then nikahamia rasmi kwenye uuzaji wa mbao na ualimu wa shule za msingi
saivi napiga kelele na watoto wa shule ndoto zangu zimetimia nimetulia so kifikra nina maadili makubwa kibao kimwili nimeacha yote
Kwa sasa sioni la maana hapa duniani coz vyote nimefanya siwezi ijua kesho yangu ila nimejifunza mengi kupitia haya maisha
usikate tamaa
Haijalishi huna gar mtoto wala nyumba
Pamba ukiona hapa panizingua hamia pangine kulala njaa sio ishu ishu je inatimiza vipi ndoto zako nimemaliza
Nb sihamasishi uvunjwaji wa sheria hiyo ni story yangu tu
Karibu njombe tupigwe baridi ni mimi mwalimu mr pipa✋✋✋✋
Mkuu ungelala pale pale mpaka AsubuhiMiaka kumi nyuma nimemaliza zangu shule naingia mtaani sina ramani ya kipi kifanyike nitoboe kimaisha
Nikaanza harakati za hapa na pale kuchimba vyoo nipo, ukuli nipo, nk piga kazi kwa nguvu zote kila mchongo ukitokea nipo
Lakini kila nikitazama malengo na kazi ninazofanya imani ya kutoboa inagoma
Nikaamua kwenda machimbo ya dhahabu asee kule nikakutana na miamba yenye bahati zao yaani yeye lengo lake kushika milion mia tano ile akipata milioni kumi ni kula bata siku tatu imekata anarudi tena job
Nikamwambia Mungu nisaidie na mimi nipate japo m5 tu nikaanzishe japo ka biashara
Basi nikaanza kupambana sana miezi 8 ikakata nakuja ambulia laki 5 hapo familia inaitaji pesa ikabidi nigawe laki 3 niwatumie
Hapo sina nguo na mademu sikuwagusa kitambo niko na haam hatari miezi nane kwa mwanaume acha tu!
Nikajikuta pesa imekata nikaanza upya nakumbuka nimesota chimbo kalibu miaka miwili
Nikawaza umri nao unaenda nikisema ni base kwenye jambo moja nitafeli nakumbuka nilikuwa na shilingi milioni moja
Nikarudi kitaa kuja kulima msimu umefika nikapata Junia za mahindi kama 30
Enzi zile ndio anajitokeza yule tajiri wa mkako basi nikapeleka kuuza kilichofuata hakuna mtanzania asiye jua yule mwamba alitufanya nini wakulima
Ikanipasa kuanza upya naingia wapi sielewi nikajikuta napanda gari naelekea mkoa x nimefika ule mkoa baada ya wiki kama tatu nikapata kazi ya kufyatua matofali ya block nikapiga
Hadi msimu unakata nikajikuta nina laki 8 nikarudi kufanya biashara ya mbao nimepambana, nikajikuta nimejenga kanyumba kakimtindo nikanunua na kapikipiki nikasema asante Mungu
Nikakopa bank kama milioni 8 hivi ili kubusti mtaji kujazia mtaji kwenye mbao ile pesa ndani ya miezi 6 ikakua mpaka ikafikia milion 30
Nikasema kwa kuwa nimekuwa ngoja nitafute soko la nje ya mkoa
Nikapatana na mfanyabiashara mwenzangu tukapata mteja Dar es Salaam
Asee ile siku sitoisahau picha linaanza tumewasili dar majira ya saa moja jioni tukiwa na mzigo wa mbao kama gari Scania mbili hivi
Tukazishusha nikapewa shilingi milioni 1 kwa ajili ya hapa na pale asubuhi tuje tupige hesabu tulipane
Ile nakuja asubuhi kwenye lile eneo hakuna kitu yaani tulipo shusha zile mbao ni peupe hata ubao hakuna
Pigia simu kwa wale jamaa hawapatikani kumbe dili lilishasukwa kitambo na yule jamaa ambaye nilifanya nae biashara mwanzo
Aisee nakumbuka natoka pale napanda gari hadi nafika home sijielewi na sielewi nini nifanye nikawa nusu mtu nusu chizi
Na vile sikumwambia mtu yoyote kilichonitokea baada ya muda watu wakahisi nimekosea masharti ya mganga
Miezi 7 imepita bank wakaja tangaza kuuza nyumba maana nilikopa tena kama m20
Hapo kila mtu kanitenga wakijua nimefilisika sababu ya hela za manyoka
Nikawaza kujiua roho ikaniambia hapana jiue kwa faida hapo ndipo nikaanza kuingia kwenye michongo hatari ........ Mwendelezo nauweka hapo kwenye comment mana ni dili haramu haramu so asanten
Dah!!!Nilishawamba msalabani na askari Vishoka wa huko boda ya kenya na tanzania baada ya kukutwa na furushi la mirungi , wakanimenya visigino vya miguu wakaniachia katikati ya pori lina wanyama wakali , kwa kukosa kitu kinaitwa kipande na 1000 ksh .
Nikajiburuza na tumbo mpaka nikatokea upande wa tanzania rombo, nikabubujikwa na machozi ya furaha, ndio hiyo siku nikajua ukitaka kujua wewe ni mzalendo wa taifa lako utiwe nguvuni kwenye nchi za watu , halafu uponee chupuchupu ukanyage ardhi ya Tz ndio utaona jinsi ulivyo mzalendo wa kweli .🤣🤣🤣🤣🤣
Mtoto wa shule nini tatizo?Dah!!!
nimewa wekezea watoto mashamban mana nimepanda miti ya mbao heka 30 nikajena nyumba ya kisasa na tufrem twa kupangisha then mia nikajenga geust vyumb 20 na hela ikakata uwezo wa kuingiza b 1 kwa mwaka nilikuwa nao ila halikuwa lengo languHiyo 345M uliipeleka wapi?