Tuliofanikiwa kwa michongo hatari baada ya kuona hakuna njia ya kutoboa

Simulia michongo hiyo ya hatari, but I'm warning you to never trust the internet. Social media patrols are real.
 
Haya ya kuja kuendelea huwa mnazingua. Shusha story mwanzo mwisho. Kama muda ni mchache andika kidogo kidogo then ukikamilisha shusha yote ili na wengine tuelezee kwenye comment section
 
Aisee funguka jomba
 
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/reel/907372474644167
 
Kulia Ibn Unuq kushoto mr pipa ni mwendo wa wiki ya story za magendo....wanangu wa Republic leteni story za kubeba mirungi na magendo mengine kutoka Kenya

ephen_ sogea huku
Nilishawamba msalabani na askari Vishoka wa huko boda ya kenya na tanzania baada ya kukutwa na furushi la mirungi , wakanimenya visigino vya miguu wakaniachia katikati ya pori lina wanyama wakali , kwa kukosa kitu kinaitwa kipande na 1000 ksh .

Nikajiburuza na tumbo mpaka nikatokea upande wa tanzania rombo, nikabubujikwa na machozi ya furaha, ndio hiyo siku nikajua ukitaka kujua wewe ni mzalendo wa taifa lako utiwe nguvuni kwenye nchi za watu , halafu uponee chupuchupu ukanyage ardhi ya Tz ndio utaona jinsi ulivyo mzalendo wa kweli .🀣🀣🀣🀣🀣
 
Nakukumbuka vizuri raia wema tulikuokota ulikua umebeba miraha kwenye tranka
 
Itaendelea... au ndo mwisho😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…