Game la Mario nilikuwa na cartridge zake hadi mwaka 2007.View attachment 3006114
Hicho kijamaa kilinipagawisha sana pindi nikiwa sina majukumu bila kusahau balloons.
View attachment 3006114
Huo mwaka(2005) ndio namaliza elimu ya msingi,WTF!!
2005 watu tayari tushakuwa wakongwe wa mitandao kama bcstimes.com na Youngafrican.com.
2006 ndo tukahamia JF [JamboForums].
🤣🤣🤣Huo mwaka(2005) ndio namaliza elimu ya msingi,
Aisee UK 1984 watakuwa wamekutukana sana mtu mweusi, with the irony of the name222 Aldrich Road, Cutteslowe, Oxford, Oxfordshire.
Cutteslowe Primary school na Bishop Kirk Middle school.
Why 1984 and not 87,88, or 89?Aisee UK 1984 watakuwa wamekutukana sana mtu mweusi, with the irony of the name
Ilikuwa Department of Mathematics hiyo.Nakumbuka miaka ya kati ya 90, UDSM kulikuwa na computer lab moja tu.
Ilikuwa pale karibu na kituo cha basi mkabala na tawi la benki la NBC.
Hayo masharti ya kuingia humo yalikuwepo kweli.
Haha Bora umesema wewe na Nyani Ngabu,nilijua Maza anatupanga...Wakati nasoma high school kulikuwa na Comp Lab ya msaada.
Ulikuwa huingii na viatu wala kitu chochote utaleta vumbi utaua computer.
Au viatu vitaleta vumbi lenye virus kumbe computer virus ni software tu ..🤣🤣🤣🤣
Yup!Ilikuwa Department of Mathematics hiyo.
Tena walianza na punching cards kabla ya DOS na IS zingine.
Akina Dr.Ngoda wakongwe walikuwepo enzi hizo Kama sikosei.
Alipewa hilo jina miaka gani?Haha Bora umesema wewe na Nyani Ngabu,nilijua Maza anatupanga...
Swali,Sunday Manara Kacheza Mpira miaka ya 70-80,wabongo wakamuita Kompyuta,,waliona wapi computer??na inavyofanya kazi?? Nyani Ngabu
Mabaharia na wasomi ndiyo walileta taarifa za computer.Haha Bora umesema wewe na Nyani Ngabu,nilijua Maza anatupanga...
Swali,Sunday Manara Kacheza Mpira miaka ya 70-80,wabongo wakamuita Kompyuta,,waliona wapi computer??na inavyofanya kazi?? Nyani Ngabu
Sijajua ila wakati Bado anacheza MpiraAlipewa hilo jina miaka gani?
HIO siisahauView attachment 3006114
Hicho kijamaa kilinipagawisha sana pindi nikiwa sina majukumu bila kusahau balloons.
View attachment 3006114
Tulia mkongweWTF!!
2005 watu tayari tushakuwa wakongwe wa mitandao kama bcstimes.com na Youngafrican.com.
2006 ndo tukahamia JF [JamboForums].
😂 Noma yaan ukifanya ovyo tu imekwenda na majiDah mamb ya floppy disk,,,,,,,...unailinda kama dhahabu ukileta mbwembwe nyingi kuharibika fasta
Haha ningeshindwa,Leo tu internet inasumbua Gb 1 nimedownload kama 1hr,nilitukana matusi ya Kila rangi,Forest Hill umeulizia tuliokuwa tuna transfer vipi data na speed yake?
Unaijua SDL inatumia landline ya TTCL?
Speed mwendo wa kinyonga au konokono ...🤣 No hurry.
Kompyuta gani hiyo?Nimeanza kutumia computer 2008,unawasha mpaka ianze kufanya kazi inachukua dakika 29 mpaka 39