Tuliokuwa tunamponda Magufuli akiwa hai, sasa tutamtetea akiwa Amekufa!

Hakuna kupumzika, JPM lazima anangwe tu na Mtanzania anayeipenda Nchi yake. Yule baradhuli alikuwa anatuharibia nchi vibaya sana. Tushukuru Mungu tu aliiingilia kati akamchukua kumpeleka jehanam
 
Hakuna kupumzika, JPM lazima anangwe tu na Mtanzania anayeipenda Nchi yake. Yule baradhuli alikuwa anatuharibia nchi vibaya sana. Tushukuru Mungu tu aliiingilia kati akamchukua kumpeleka jehanam

Kila mtu atatetea kundi lake Mkuu, sio Dhambi
 
Mtoa mada ROBERT HERIEL uliwahi kuleta mada ukihusisha "umasikini na shetani" kwamba masikini ni mashetani yanayoishi, huku ukisema "matajiri ni wa Mungu maana Mungu naye ni tajiri.

Na ukasema utajiri ni Siri maana hata Mungu hajawahi kuonekana japo anamiliki mbingu na ardhi.

Sasa basi, kwa kuwa masikini ni shetani (kwa mujibu wako) je, jiwe alikuwa anayatetea mashetani (masikini) na kuwasulubu matajiri (Mungu)?, And aftermath, ni kipi kimejiri?

Sasa kwa kuwa Zitto hapati faida kwa kukosoa mtetezi wa shetani, je, jiwe alipata ni nini kwa kuwatetea masikini dhidi ya matajiri?
 
Ukiipiga maiti, unaonekana unaionea kwa sababu haiwezi kujitetea.

Ndiyo maana Kiswahili kwa utamaduni tumekubaliana marehemu hasemwi vibaya.

Hata kama ni Idi Amin.

Achana na Magufuli.

Idi Amin anatetewa leo. Wanasema aliwezesha Waganda wengi, alikuwa Mzalendo, alipenda watu wake.

Watu wanasema hata vita kiukweli alianzisha Nyerere!

Kuna mtu alikuwa anamtetea Mobutu kwamba kafanya kazi nzuri sana Congo.

Sasa, kama Idi Amin na Mobutu wanaweza kutetewa, Magufuli kafanya kipi kibaya zaidi ya Idi Amin na Mobutu asitetewe?

Hata waliompinga kwa kijuujuu wanapata nostalgia ya rais aliyefia madarakani ambaye hawezi kurudi tena.

But Magufuli was a country bumpkin.
 
Nenda kazikwe naye Chato, huyo alikuwa muuwaji, fisadi, na dikteta kuliko Sani Abacha na Mobutu Sese Seko
AFYA Yako ya AKILI inazidi kuzorota ndugu yangu kila unapomtukana alielala. Umepita mwaka sasa jambo Hilo Hilo. Naamini hata ndoto zako ni MAUZAUZA tu unaona. MSAMEHE Ili upone ukichaa unaokunyemelea Kwa Kasi.
 
Angekuwa mlinzi wa Raslimali za Taifa asingefanya UHAYAWANI wa kujenga Airport yenye runway ya kimataifa kijijini kwake Chato na Hospitali ya Rufaa.

Wewe ni mhanga wa propaganda za Magufuli ambaye mtaji wake mkubwa ulikuwa ni watanzania wasio na elimu
 
AFYA Yako ya AKILI inazidi kuzorota ndugu yangu kila unapomtukana alielala. Umepita mwaka sasa jambo Hilo Hilo. Naamini hata ndoto zako ni MAUZAUZA tu unaona. MSAMEHE Ili upone ukichaa unaokunyemelea Kwa Kasi.
Tunaweka kumbukumbu na historia sawasawa, alikuwa mwizi, fisadi,mkabila,muuwaji, mwizi wa Mali ya umma, mwongo mkubwa akipanua Domo lake mbele ya wananchi (the biggest liar ever witnessed in Africa's history)
 

Shida ni pale viongozi kumnanga mtu ambaye wafuasi wake ni wengi zaidi
 
Mkuu umetema madini🙏🙏🙏
 
Shida ni pale viongozi kumnanga mtu ambaye wafuasi wake ni wengi zaidi
Kama mtu kakosea, asemwe tu.

Bila kujali wafuasi wake ni wengi ama la.

Bila kujali mzima ana kafa.

Huo ndio uongozi.

Uongozi ni kuonesha watu hapa mlikosea, bila kujali kama utaudhi wengi ama wachache.

Ukianza kuangalia nani ana wafuasi wachache ili umnange, unachanganya siasa na uongozi.

Tatizo ninaloliona ni huu ujinga wa mtu leo akiwa Tanzania anasema "Mimi na Magufuli ni kitu kimoja", akienda Marekani anasema "Tulitofautiana sana na Magufuli"
 
Chatto ni Kenya? Au Algeria?

Watu wa Chatto hawahitaji huduma bora za afya? Au wao siyo Watanzania?
 
Kwa hiyo wewe unaamini mwaka 2015 au 2020 Magufuli alishinda kihalali kwenye uchaguzi?

Pole sana ndugu.
Kwa mujibu wenu na twaweza CCM na Magufuli wanapendwa na watu Masikini, wasio na elimu na wanawake na upinzani Wanapendwa na wasomi sasa nikuulize kwenye hayo makundi kundi lipi linawatu wengi zaidi? Kea namna hiyo unaona hoja yako ina nguvu?
 
Nasisitiza na naomba mnielewe kwamba huu ni msimamo wangu rasmi..

Mwendazake lazima asimangwe na kuwaonyesha watu upande wake wa pili Kwa sababu alipokuwa hai hakutoa nafasi ya watu kuonyeshwa upande wake wa pili..

Tusipofanya hivi , Mwendazake ataonekana ni shujaa wakati sio kweli..

Mwalimu Nyerere ni marehemu na tunamsifu kwa mema mengi aliyowafanyia Taifa hili na anasimama kama mfano mwema..

Kinyume chake ni kwa Mwendazake ambae watetezi wake walitaka kuaminisha watu kwamba anastahili hadhi ya baba wa Taifa wa pili na Shujaa wa Afrika..

Sasa ndio tunasema hizo sifa hana kwa sababu alikuwa muovu na fisadi kupindukia.

Mwendazake aliwatumia maskini wasiojitambua kuhalalisha ushenzi wake..

Kwa hiyo tunaonyesha kwamba ni mfano mbaya ..

Tuna Marais wengi wamelala walikuwa na mema na maovu ila yule alizidi,na lengo tusirudie kule.

We must mark a clear demarcation here..
 

Hao watu wa chini wengi ni watu wa kuburuzwa tu hawana uelewa wowote. Wengi Magufuli aliwapata maana aliua Uhuru wa vyombo vya habari, na kubaki kuwatangazia alichokitaka. Lakini watu hao hao wa chini wakipata upande wa pili wa shilingi watabadilika na watajiuliza waliwezaje kuongozwa na mtu muovu na mwizi wa aina hiyo. Kama kweli Magufuli alikuwa anakubalika na hao watu wa chini angeheshimu box la kura. Kwakuwa mikutano ya wazi imezuiliwa ndio maana unaamini kuna kundi la chini kubwa tiifu kwa Magufuli. Watu watakapoanza kwenda kwenye mikutano ndio utajua hawana msimamo wowote.
 
kiama cha hao wazandiki kinakuja watakoma kubwabwaja hali yakuwa mazuri yake wanayajua...
 
Lisu alikuwa mpigaji wa nini?Ben Saanane alikuwa mpigaji wa nini?Mbowe alikuwa mpigaji wa nini?Acheni upimbi nyie.******** alikuwa mnywa damu za watu.Halafu;Miundo mbinu aliyoijenga ******** ni ipi?Mradi gani aliuanzisha na kuumaliza?Acheni kuendeleza propaganda,Sasa hivi nchi haiendeshwi kwa propaganda,inaendeshwa kwa uhalisia .Kiuhalisia Mama Samia kwa muda mchache tu amejenga miundombinu mingi kuliko ******** wenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…