Restless Hustler
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 5,150
- 20,025
- Thread starter
-
- #201
Hii comment naenda ku print na kuweka lamination kabisaaWanyakyusa hawana shida kabisa. Mimi ni mnyakyusa nafanya kazi kaskazini yaani natamani kurudi nyumbani tu maana hawa watu wa kaskazini especially wachaga wana roho chafu sana yaani itoshe tu kusema haya mashetani ni ma mbwa kabisa
asee yaani acha kabisaHii comment naenda ku print na kuweka lamination kabisaa
Hii ndio husdaKuna mmoja nafanya nae anachuki sana elim yake ndogo dili wakipiga wasomi anataka apate pasu pasu anaroho ya kukunja anajisifu alivo waharibia walio pita kabla
😅asee yaani acha kabisa
Haha wanyaki noma niliumwa wakati Niko mbeya nikaenda hospital Moja rungwe uko inaitwa makandana nikaona watu wanaudumiwa uku kinapigwa kilugha wewe ambae hujui utakaa kweny bench adi ukomeSio kweli hakuna watu wako peace kama wafipa,mm nafanya kazi unyakyusani Cha moto nakiona mm Nina upendo na Kila mtu lkn hii mijamaa imezidi ukabila na roho mbaya.
Hawa wapumbavu ni wabaguzi sijapata ona.
Kuna siku nitamuombea utelezi hizo mana sio kama sizitaki. Buku nne ujue bao Hilo maeneo yangu ya kujidaiUnazo za mchezo!
Kwa nnUsiwe unampa ana yake huyo au laa uwe unamtumia kwenye Hizi mobile money usitumie cash
Hasad mbaya sana anaweza kukufanyia uswahili hyo Pesa ukapata shidaKwa nn
Mchaga,mnyakyusa,mpare na mhaya ...Hawa watu Sio kabisaaWanyakyusa hawana shida kabisa. Mimi ni mnyakyusa nafanya kazi kaskazini yaani natamani kurudi nyumbani tu maana hawa watu wa kaskazini especially wachaga wana roho chafu sana yaani itoshe tu kusema haya mashetani ni ma mbwa kabisa
Dah kwamba sisi wachaga mbwa mkuu??Wanyakyusa hawana shida kabisa. Mimi ni mnyakyusa nafanya kazi kaskazini yaani natamani kurudi nyumbani tu maana hawa watu wa kaskazini especially wachaga wana roho chafu sana yaani itoshe tu kusema haya mashetani ni ma mbwa kabisa
Sasa shida ilikuwa ni nini bruh 😁Niliacha kazi yangu ya kwanza niliyoipenda sana kisa kumtia mimba mfanyakazi mwenzangu, yaani kila nikimuona akija kazini kitumbo kinachomoza ndio na hamu ya kua kazini inazidi kukata mpaka mwisho wa siku nikaamua ku resign.
Atueleze.Sasa shida ilikuwa ni nini bruh [emoji16]
Hilo reymage nakuona Kwa watu wa kwetu huku uswahilini. Wanatishia Amani sana Yani unapata hela Kwa shida then huambui kitu. Yani wanga kichizi. Na mwaka huu nataka kuhamia kaweHasad mbaya sana anaweza kukufanyia uswahili hyo Pesa ukapata shida
Nina imani hushikiwi mtutu au panga.Kuna siku nitamuombea utelezi hizo mana sio kama sizitaki. Buku nne ujue bao Hilo maeneo yangu ya kujidai
KitumboSasa shida ilikuwa ni nini bruh [emoji16]
Sasa si ndio anakuwa baba sasa au 😀Kitumbo
Wauswazi wengi Sio watu wazuri brother...jiulize why elf4 ,is it a coincidence???!!Hilo reymage nakuona Kwa watu wa kwetu huku uswahilini. Wanatishia Amani sana Yani unapata hela Kwa shida then huambui kitu. Yani wanga kichizi. Na mwaka huu nataka kuhamia kawe
[emoji1][emoji1787][emoji1787][emoji1]mimba ingempenda baba mtoto sasaa...ingekua shidaSasa si ndio anakuwa baba sasa au [emoji3]