Restless Hustler
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 5,150
- 20,025
- Thread starter
- #141
Ok. Eleza yaliyokukutaUnapoenda officin kumbuka wale ni work mates sio friends. Nilijifunza hiki kitu mapema mno maana yalinikuta
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ok. Eleza yaliyokukutaUnapoenda officin kumbuka wale ni work mates sio friends. Nilijifunza hiki kitu mapema mno maana yalinikuta
Utajuaje nani wa kumtreat vipi? Mzee kazini wabaya wabaya tu na wapo. Ili kujua yupi wa kuishi naye kwa style ipi lazima uwe na information. Kazini information ndo survival yako ili uchange karata zako vizuri. Kuna ofisi watu wa chini ndo wanaiformation zote maana wao huwai na kuchelewa kutoka kazini na hujua matukio mengi zaidi. Hata barua za application wao ndiyo mara nyingi wanaipokea. Tena akikupenda anaweza hata kukwambia kuwa badilisha hadi title ya ombi la kazi. Au akakwambia kuwa barua yako kampe nani.Mkuu,unapoenda kufanya kazi kwenye ofisi yeyote ile,sikiliza tu maneno ya kuambiwa kua nani mbaya na nani mwema hapo kazini ila usichukulie serious au kumuhukumu mtu mpaka mtu huyo atakapokufanyia ubaya wewe au wema,sio rahisi kwa mtu kua mbaya kwa watu wote au kua mwema kwa watu wote,
Muhukumu mtu kwa jinsi atakavyo kutreat wewe kama wewe na sio kwa kusikia tu,mtu mbaya kwa wengine anaweza kua mwema kwako au mwema anaweza kua mbaya kwako,
Find the good in people and ignore the bad in them coz no one is perfect.
Unatakiwa uwatreat wote vizuri tu,usimchukie mtu bila sababu au kwa maneno yakusikia "Hearsay" mtu mzuri na mbaya kwako utakuja kuona wewe mwenyewe.Utajuaje nani wa kumtreat vipi? Mzee kazini wabaya wabaya tu na wapo. Ili kujua yupi wa kuishi naye kwa style ipi lazima uwe na information. Kazini information ndo survival yako ili uchange karata zako vizuri. Kuna ofisi watu wa chini ndo wanaiformation zote maana wao huwai na kuchelewa kutoka kazini na hujua matukio mengi zaidi. Hata barua za application wao ndiyo mara nyingi wanaipokea. Tena akikupenda anaweza hata kukwambia kuwa badilisha hadi title ya ombi la kazi. Au akakwambia kuwa barua yako kampe nani.
Mzee tembea uone. Kuna wengine makazini hawakosolewi wala hawabishiwi yaani siyo bosi lakini usimkosoe mbele za watu au ktk kikao chochote yaani ni bora umuache amalize kuongea halafu wewe usifanye au kuamini alichosema lakini siyo kumkata moto mbele za zatu. Kwanini? Kwanza umri wake umeenda elimu yake ndogo ashamaliza mapambano. Wewe kijana bado una nguvu za kuoambana, ukimkosoa unatishia usalama wa kazi yake. Hiyo kazi imebeba wengi nyuma yake. So unaweza ukajifanya una mtreat mtu kama anavyokuja ukafanya formidable mistake kwa watu kama hao. Anaweza kuundia zengwe la hatari.Mkuu,unapoenda kufanya kazi kwenye ofisi yeyote ile,sikiliza tu maneno ya kuambiwa kua nani mbaya na nani mwema hapo kazini ila usichukulie serious au kumuhukumu mtu mpaka mtu huyo atakapokufanyia ubaya wewe au wema,sio rahisi kwa mtu kua mbaya kwa watu wote au kua mwema kwa watu wote,
Muhukumu mtu kwa jinsi atakavyo kutreat wewe kama wewe na sio kwa kusikia tu,mtu mbaya kwa wengine anaweza kua mwema kwako au mwema anaweza kua mbaya kwako,
Find the good in people and ignore the bad in them coz no one is perfect.
Uko sahihi pia.Unatakiwa uwatreat wote vizuri tu,usimchukie mtu bila sababu au kwa maneno yakusikia "Hearsay" mtu mzuri na mbaya kwako utakuja kuona wewe mwenyewe.
Nilifanya kazi na "WAPALE" kwenye ofisi Moja
Aiseee Hawa watu ni noma sana aisee
Sitakuja kusahau jamaa ni wanafki sana
Yaani ni hatari...Wana majungu sijwahi ona...
Ni hatariMzee tembea uone. Kuna wengine makazini hawakosolewi wala hawabishiwi yaani siyo bosi lakini usimkosoe mbele za watu au ktk kikao chochote yaani ni bora umuache amalize kuongea halafu wewe usifanye au kuamini alichosema lakini siyo kumkata moto mbele za zatu. Kwanini? Kwanza umri wake umeenda elimu yake ndogo ashamaliza mapambano. Wewe kijana bado una nguvu za kuoambana, ukimkosoa unatishia usalama wa kazi yake. Hiyo kazi imebeba wengi nyuma yake. So unaweza ukajifanya una mtreat mtu kama anavyokuja ukafanya formidable mistake kwa watu kama hao. Anaweza kuundia zengwe la hatari.
Ngoja nikupe mfano uliopo ktk familia. Kuna mwamba alikuwa ktk tawi la ofisi nyanda za juu kusini. Sasa kafanya kazi vizuri sana kwa miaka mingi. Kapata promotion. Kapelekwa dar, kala nyumba, usafiri, dereva na ofisi. Siku anatambulishwa ofisini na kukaa tu ktk kiti hapo hapo maluwe luwe yakaanza mpaka tunavyoongea saa hizi amerudi alipotoka. Ila angesanuliwa either angekataa au angejiandaa. Information ni nzuri makazini
Kashakula sh ngapi mpaka sasa.Kuna bidada hapa ofisin Kila wiki lazima aniazime buku nne na kudai atarudiaha ila harudishi. Kwa sasa nimemuwekea bajeti ya elfu kumi na sita Kila mshahara mambo yasiwe mengi
Siku nyingine msanue kuwa huna inshu na kitengo chake na hata ukipewa hautakikubali. Mchane serious. Huwa Wana woga. Ila ukimchana kama mwelewa anakuelewa. Kuna mmoja alichanwa akawa mshkaji kinoma.Kazi yangu ya kwanza natoka chuo nilipigwa spana mpaka nikasarenda.
Ilikua hivi nilipata kwa njia ya kujuana R.I.P mzee cosmas ndio alinifanyia mpango kwa kaburu.
Kwa sababu pande lilitoka kwa CEO mwenyewe kuanzia HR alinipa uzito.
Sina uzoefu wowote japokua ni kitu nimekisomea kwelii niliteseka balaaa ( Ili uelewe ofisi kuu zipo mjini ila kazini ni ngorongoro)nikawa naamishwa vitengo tuu kila wiki kitengo kipya na bdo naonekana sijui kitu ilhali nilikua napambana nisiwe mzigo.
Mwisho wa siku nikanyoosha mikono juu nikaandika barua kwa amani nikaondoka.
Sisahaugiiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nyie mnasema wahindi wanatesa hamjakutana na wabongo elimu ndogo cheo kikubwa kila saa anaona nafasi yake inaenda ilhali we huna habari nae kabisa.
1. Upo sahihi kabisa.1.Usiwe na rafiki wa kazini...
2.Usiwe na mpenzi kazini...
3.Usiwe mmbea...
Hiyo hali inaumiza sana. unasikia kabisa wanapiga story ukiingia tu watu kimya halafu wanaangaliana, wanatoka mmoja mmoja wanakuacha.We acha tu mkuu. Yaani unafikia wakati ukiingia Ofisini watu wote kimyaa utafikiri ni gaidi ameingia
Hakuna rafiki sehemu ya kazi. ..wote nimadui zako ishi nao kwa akili1.Usiwe na rafiki wa kazini...
2.Usiwe na mpenzi kazini...
3.Usiwe mmbea...
Usiombe ofc iwe na hao wawili... mmoja lazima ang'oke!!Unasema wapare Wana majungu, unawajuwa waha wa Kigoma?
Sawa sawa! You are now mature!Jambo la Msingi nililojifunza ni PRIVACY& CONFIDENTIALITY Ni muhimu Sana wakati wa kujumuika na workmates. Lingine ni KUTOKUMUAMINI YEYOTE KWA WAKATI WOWOTE kwani sehemu kubwa ya Chuki na vita makazini husababishwa na mtu kuwa na DETAILS zako.