BreakingNews
Member
- Jun 6, 2016
- 30
- 56
Umeshatajirika sasa unajifanya kuja kujuta, eff you.Majuto ni mjukuu. Sasa mmeturudisha kwenye utawala wa Chama Kimoja. Sio peke yenu. Hata mawakala wa vyama vya upinzani wamechangia haya
Magufuli atasema ameshinda ila CCM na TANZANIA kwa ujumla tumepoteza
Maafisa vipenyo walinikalia kooni nikakumbuka Nina watoto wadogo bado wanamuhitaji baba yao ikabidi nibadilishe tarakaimu ya chini iende juu ya juu iende chini. Moyo unauma Ila hamna namna na nimefanya toba kwa Hilo.
Uwe unasoma na kuelewa. Eff you too 2000 timesUmeshatajirika sasa unajifanya kuja kujuta, eff you.
Mkuu uko serious hauchangamshi genge?Maafisa vipenyo walinikalia kooni nikakumbuka Nina watoto wadogo bado wanamuhitaji baba yao ikabidi nibadilishe tarakaimu ya chini iende juu ya juu iende chini. Moyo unauma Ila hamna namna na nimefanya toba kwa Hilo.
CCM mmeshinda, na Tanzania imepoteza vibaya mno.Majuto ni mjukuu. Sasa mmeturudisha kwenye utawala wa Chama Kimoja. Sio peke yenu. Hata mawakala wa vyama vya upinzani wamechangia haya
Magufuli atasema ameshinda ila CCM na TANZANIA kwa ujumla tumepoteza
Nina taarifa za mwalimu mmoja huko kanda ya ziwa aliyekataa kupinduwa matokeo, akapigwa vibaya kisha wakaondoka naye.Mkuu uko serious hauchangamshi genge??
Naomba usinielewe vibaya mkuu!!
Mkuu ulichosema ndiyo kauli ya wasimamizi wengi wa uchaguzi na iliwalazimu wengine kuzila kupiga kura baada ya kuona mauzauza ya jinsi kura zilivyoletwa zikiwa zimeshapigwa.Hatuna cha kueleza sisi tuliosimamia Uchaguzi tutabaki nafsi zikituuma lakini tulitii mamlaka zilizokuwa juu yetu.
Mkakati kuanzia juu mpaka chini kabisaa kwenye ngazi ya mwisho mkakati ulitekelezwa na watendaji wakatimiza...
watatubu mkuu.Wala hatulalamiki, tumeacha kulalamika sababu haisaidii, ila malipo ya dhulma ni Laana na KIFO
Umefanya toba kwa nani ?, nyinyi si mlikula kiapo na mkalipwa hela kwa ajili ya kula kiapo hicho? mlikuwa mnaapishwa nini ?, mnatakiwa wote mtoke hadharani muite vyombo vya habari mtangazie Umma kwamba mlilazimishwa kusaini matokeo bila kuhesabu kura na mengine mengi kinyume na utaratibu, vinginevyo hiyo dhambi itaendelea kuwafuata popote muendakoMaafisa vipenyo walinikalia kooni nikakumbuka Nina watoto wadogo bado wanamuhitaji baba yao ikabidi nibadilishe tarakaimu ya chini iende juu ya juu iende chini. Moyo unauma Ila hamna namna na nimefanya toba kwa Hilo.
#UsimamiziUchaguzi: Mkuu, sina hakika kama umechangia kwenye uzi huu ukiwa mtu halisi au ni hisia hasi ulizonazo kwa muda mrefu dhidi ya mamlaka unayodai ilikuamuru kutii maelekezo yao.Hatuna cha kueleza sisi tuliosimamia Uchaguzi tutabaki nafsi zikituuma lakini tulitii mamlaka zilizokuwa juu yetu.
Mkakati kuanzia juu mpaka chini kabisaa kwenye ngazi ya mwisho mkakati ulitekelezwa na watendaji wakatimiza...
Ni wazi kabisa kuwa kuna maeneo CHADEMA wasingeweza kushinda hata iweje. Lakini sio vituo vyote nchini washindwe tena kwa kiwango hicho. Ingesaidia zaidi kama ungetaja jimbo lako maana wenzako ndio waliofanya wasimamizi wote muonekane hamfai.Mimi nilitenda haki na CHADEMA /upinzani wameshindwa kwa haki mf kwenye kituo changu kura za urais ccm kura171,CHADEMA kura 36,ubunge CCM kura 151,CHADEMA kura 67 na vituo vya majirani zangu pia CCM imeongoza kwa gape kubwa tu nadhani kuna kitu upinzani wajipange vzr kukifanyia kazi hasa vijijini, wenzao ccm wanamtaji mkubwa sana huko, ukijumlisha na mbwembwe zingine kama TASAF na ugawaji wa nguo za chama yaani huwaambii kitu vijijini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ya ziwa hii chai,huko Magufuli anapendwa hatari,rumours sio poa.Nina taarifa za mwalimu mmoja huko kanda ya ziwa aliyekataa kupinduwa matokeo, akapigwa vibaya kisha wakaondoka naye.
Mkuu mungu atakusamehe tu maadamu umelichukia hilo jambo hukufanya kwa kupenda.Maafisa vipenyo walinikalia kooni nikakumbuka Nina watoto wadogo bado wanamuhitaji baba yao ikabidi nibadilishe tarakaimu ya chini iende juu ya juu iende chini. Moyo unauma Ila hamna namna na nimefanya toba kwa Hilo.