Maamuzi ya walio wengi yaheshimiwe. Wananchi ndio wametaka chama kimoja kitawale baada ya kugundua waliowaamini waliwageuka na kujali matumbo yao zaidi kuliko wao waliowachagua. Kwa mfano, ilifika mahali mbowe alijiona mungu mtu ndani ya CHADEMA ikifika kipindi kama hiki cha uchaguzi anajichagulia tu wanawake anawatumia kingono kama kigezo cha kuwapa viti maalum. Ruzuku ya chama alikua anaitafuna anavyotaka bila kuulizwa na mtu, ukihoji unaitwa msaliti unafukuzwa kwenye chama. Mpaka sasa chama hakijafanya jambo lolote la maendeleo kutokana na ruzuku waliyokua wanapokea. Sasa kiburi kitamuisha, hana ubunge, chama kimepoteza uwakilishi bungeni, ruzuku haipo tena au itapungua kwa kiasi kikubwa sana.Amewanyima tu hao wapinzani ajira ya ubunge, udiwani na hata huo Urais! Ila upinzani hauwezi kufa kamwe. Hata ndani ya hicho chama chake, upinzani na makundi yatendelea tu kushamiri.
Yaani tumerudishwa enzi za Mwalimu! Hovyo kabisa.
Nikiona comments kama hizi huwa sishangai maana ndiyo aina ya watanzania tulionao kwa sasa, hata pale ambapo jamaa zake, ndugu zake na jirani zake wameumizwa, kuuawa na kutiwa vilema, yeye kwake hamhusu na wala hajali kwa sababu yuko na walioshika mpini. Yuko tayari aweke kila aina ya uwongo, fitina na kejeli kwa watanzania wenzake eti tuu kwa sababu wao ni wapinzani.Mimi nilitenda haki na CHADEMA /upinzani wameshindwa kwa haki mf kwenye kituo changu kura za urais ccm kura171,CHADEMA kura 36,ubunge CCM kura 151,CHADEMA kura 67 na vituo vya majirani zangu pia CCM imeongoza kwa gape kubwa tu nadhani kuna kitu upinzani wajipange vzr kukifanyia kazi hasa vijijini, wenzao ccm wanamtaji mkubwa sana huko, ukijumlisha na mbwembwe zingine kama TASAF na ugawaji wa nguo za chama yaani huwaambii kitu vijijini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikikumbuka yale matusi ndio huwa nachoka kabisaa wamevuna walichopanda.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mkuu hukuwaona walivyokuwa wanatukana juzi kati hapa
Pole sana penicillin injection inauma vumilia.Mwisho wa dhalim haujawahi kuwa mzuri.
Usihangaike ndugu nilifanya hiviNa wewe tunafatilia kura yako ulimpigia nani! Ili tujuwe u-pamoja nasi au niaje!
Sawa huo ndio mtazamo wako,lakini nikuhakishie mimi nilipiga kura ya mbunge na Raisi kwa upinzani na nilichoandika hapo ni uhalisia na sijakingia kifua serikali wala tume,nilichoandika ni uhalisia wa kituo changu kama kuna uchakachuzi ulifanyika ni ngazi zingine, ambazo mimi sikubahatika kuona.Nikiona comments kama hizi huwa sishangai maana ndiyo aina ya watanzania tulionao kwa sasa, hata pale ambapo jamaa zake, ndugu zake na jirani zake wameumizwa, kuuawa na kutiwa vilema, yeye kwake hamhusu na wala hajali kwa sababu yuko na walioshika mpini. Yuko tayari aweke kila aina ya uwongo, fitina na kejeli kwa watanzania wenzake eti tuu kwa sababu wao ni wapinzani.
Hayo tutayajua baada ya kufatilia karatasi zako! au hukuona kuwa tumenakili namba za kitambulisho chako?Usihangaike ndugu nilifanya hivi
Urais CCM [emoji736]
Ubunge CCM [emoji736]
Udiwani CCM [emoji736]
Hivyo ndivyo nilivyofanya na kura zangu zote zimetiki.
Hongera CCM
Congratulations in advance President Magufuli
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Hujui kuwa hata kiti cha shetani ni mamlaka?Hata hivyo Biblia inahimiza kutii mamlaka pia.
Umeshapoa kwa maumivu kwanza maana isije ikawa bado unapovu la kugaragazwa vibaya. Kura ni kwenye box la kura jipangeni upyaaa then tukutane 2025.Hayo tutayajua baada ya kufatilia karatasi zako! au hukuona kuwa tumenakili namba za kitambulisho chako?
Umeandika vyema. Tatizo si katiba tatizo watu. Leo kuna braza mmoja aliniambia kwa mara ya kwanza kaipigia kura CCM maana walimpa Pesa.Pesa yenyewe sidhani kama inazidi elfu 20.Katiba iliyopo watu wameshindwa kuitumia.
Magufuli kapiga marufuku mikutqno kinyume na katiba.
Hiyo mpya mkipewa halafu akaivunja hivyo hivyo, mtafanya kipi cha tofauti?
Mimi naona katiba mpya ni muhimu, ila mara nyingi inafanywa kuwa kisingizio tu.
Katiba haileti mabadiliko. Watu ndiyo huleta mabadiliko.
Sasa kama watu hawana muamko, katiba mpya utasaidiaje?
Pole sana penicillin injection inauma vumilia.
Congratulations in advance President Magufuli
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Jinsi inavyoonyesha ni kama CCM ndiyo yenye hati miliki ya nchi hii, hivyo ni vigumu kushindana kati ya wananchi na wenye nchi. Lakini ukiondoa paka nyumbani, subiri uharibifu wa panya ndani.Walijipanga Sana isipokuwa kama mtoa mada alivyoonesha masikitiko yake, ilibidi watii mamlaka. Huenda kuna namna Ya maandalizi yanapaswa kuanza kufanyika sasa kuelekea 2025
Haahhahah hakuna povu! kwani mwenye kura nyingi asipotangazwa na tume huyo si mteule!! So haijalishi idadi ya kura ila atangazae ametimizaje maagizo toka juuUmeshapoa kwa maumivu kwanza maana isije ikawa bado unapovu la kugaragazwa vibaya. Kura ni kwenye box la kura jipangeni upyaaa then tukutane 2025.
Congratulations in advance President Magufuli
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Hatuna cha kueleza sisi tuliosimamia Uchaguzi tutabaki nafsi zikituuma lakini tulitii mamlaka zilizokuwa juu yetu.
Mkakati kuanzia juu mpaka chini kabisa kwenye ngazi ya mwisho mkakati ulitekelezwa na watendaji wakatimiza.
Narudia tena, ogopa mamlaka iliyoko juu yako. Tulifanya serikali za mitaa na tumemalizia uchaguzi mkuu.
Lazima kibaki chama kimoja kwa mujibu wa kauli za mamlaka, sasa wewe mtu mmoja unaanzaje kupinga?
Ili haya yote yaishe ni Katiba Mpya vingnevyo upinzani usahau kabisaaa uchaguzi huru.
Tanzania haijapotezaCCM mmeshinda, na Tanzania imepoteza vibaya mno.
Ngumu Sana kuvaa Viatu vyakeKuna jamaa yangu mmoja alikuwa ni msimamizi pia, wakati nazungumza nae alinieleza namna anavyojutia nafsi yake kwa dhuluma hii ila anaishia kusema "sasa ningefanyaje!?"
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni mtu mzuri nami namsihi mungu wangu akusameheMaafisa vipenyo walinikalia kooni nikakumbuka nina watoto wadogo bado wanamuhitaji baba yao ikabidi nibadilishe tarakaimu ya chini iende juu ya juu iende chini. Moyo unauma Ila hamna namna na nimefanya toba kwa Hilo.
Kwa hiyo kwio sasa wameshakuwa anasa?Naomba namba ya simu ya Mh. Hashim Rungwe aka mzee wa ubwabwa na kuku wa kienyeji nataka nimpongeze na nimchangie gunia moja la mpunga wa hapa Kyela. Alipotangaza wali na kuku wa kienyeji kasababisha kuku wa kienyeji wamepanda bei. Naombeni comedian mumshirikishe hata part moja tu katika filamu zenu.
Uko makini mkuu .kenya mwamko mkubwa balaa wanasiasa ndo wanaogopa wananchiKatiba iliyopo watu wameshindwa kuitumia.
Magufuli kapiga marufuku mikutqno kinyume na katiba.
Hiyo mpya mkipewa halafu akaivunja hivyo hivyo, mtafanya kipi cha tofauti?
Mimi naona katiba mpya ni muhimu, ila mara nyingi inafanywa kuwa kisingizio tu.
Katiba haileti mabadiliko. Watu ndiyo huleta mabadiliko.
Sasa kama watu hawana muamko, katiba mpya utasaidiaje?