Msela Baharia
JF-Expert Member
- Jun 12, 2016
- 766
- 1,104
Sio mindset ya dharau ni ukweli mtupu wallah, mbona hata shule za kata zipo, ni sawa ulinganishe MIT, Oxford na vyuo vya uchochoroni huko, duniani vitu havijawahi kuwa sawa kamwe.
Shukran carihaNaskia zimeshuka kidogo Sasa hivi sijui exactly figure, I think mpaka umalize it's like 6 millions depending na course utakayochagua.
Undergraduate gani hiyo yenye kipindi kimoja cha lisaa limoja a week.
Nasema unaweza kulinganisha MIT, Oxford, Harvard na vyuo vya uchochoroni, ujue tu duniani vitu haviko sawa na Wala sio ulimbukeni, ndio maana wengine warefu, weusi, weupe huwezi sema eti ukitofautisha ni mawazo mgando ingawa wote ni watu.Bado una ulimbukeni Wa vyuo, unaweza ukamchukua mtu wa udsm na DIT wa udsm akachemka. Japokuwa kwa mawazo yako mgando utaamini DIT ni chuo cha kata.
Ndio uone Sasa hzo group assignment hyo moja na individual yenye page nyingiNdo hiyo ya udsm. Assignment page 3? Aisee sijawahi kuona alaf tena group assignment
Upige mluzi tu..na mimi mwenye 2.3 nifanyeje?
TCU wameweka uwe tutorial assistance uwe na 3.5 Ila pale wameweka 3.8 ndio hapo sasaKuna vigezo vya TCU (kwa ajili ya vyuo vyote nchini) na vya UDSM
Lakini vya UDSM haviwezi kukinzana na vya TCU, UDSM hawawezi kuweka standards za chini lakini wanaweka standards kubwa zaidi
Nasema unaweza kulinganisha MIT, Oxford, Harvard na vyuo vya uchochoroni, ujue tu duniani vitu haviko sawa na Wala sio ulimbukeni, ndio maana wengine warefu, weusi, weupe huwezi sema eti ukitofautisha ni mawazo mgando ingawa wote ni watu.
Wengi hucheza mkuu undergraduate ukifika postgraduate wengi hufaulu vizuri kuliko nyuma I mean waliounga shule tofauti na waliotoka makazini nawaofata elimu wapande cheoMara nyingi watu wanapata undergraduate GPA kubwa kuliko Masters
Hahaaa udsm kukamatwa kawaida tu hasa Kuna optional za lazima kule huwa Kuna wanoko usipokamatwa utaondoka na karai lako Safi kabisaMimi niliwahi kukamatwa somo la option hahaha yaliyonikuta sitayasahau...
Undugulization upo mwingi Sana hasa walimu ni ka miungu watuNi kweli maana kuna mmoja nilishangaa amepataje nafasi ya kufundisha wakati ufaulu wake ni wa kawaida
Inashangaza sana katika kusoma kwangu nimefanya group assignments kwenye seminar tu na zenyewe siyo hizo za page 3 anazosema Cariha.Ndo hiyo ya udsm. Assignment page 3? Aisee sijawahi kuona alaf tena group assignment
Course optional halafu ya lazima ?Hahaaa udsm kukamatwa kawaida tu hasa Kuna optional za lazima kule huwa Kuna wanoko usipokamatwa utaondoka na karai lako Safi kabisa
Kama sababu inaweza kua hiyo sidhani kama ni sababu toshelezi sana. Vp wameshawapima pia output zao kama wanatoa matokeo chanya sana baada ya kumaliza?
Nadhani kuna tatizo hapo UDSM make siyo masomo tu bali adi kazi naona kujuana kumekua kwingi sana. Mimi nadhani kwasababu ya kuacha watu waliosoma pamoja kurundikwa sehemu moja kama wahadhiri hapo UD then wanakosa challange sana.
Tokea wamnyime jamaa yangu aliyesoma degree ya kwanza Michigan..Masters Newcastle na PhD Michigan bila ya kumwita ata kwenye usaili kisa wanamtaka ndugu wa mhadhiri wa hapo.
Sio inategemea na chuo hivo vitu vipo Sana kwa course almost zote na wengine kutega wanatoa hela ya ku print kazi, Tena huko education ndo usiseme hyo kitu ipo Sana.Inashangaza sana katika kusoma kwangu nimefanya group assignments kwenye seminar tu na zenyewe siyo hizo za page 3 anazosema Cariha.
Labda inategemea na chuo pamoja na course aliyosoma mwenzetu.
Ndio zipo hizo ni option out of ur course na huwezi kuikimbiaCourse optional halafu ya lazima ?
Kazi kweli labda alipata scholarship na ka alipata asingerudi kuhangaika na udsmHiyo naona chai.. university of michigana ada yake ya undergraduate ni zaidi ya milioni 100 kwa mwaka... na degree za miaka michache michigan ni miaka minne. Sasa mtu alipe ada yote hiyo kisha aje kuomba kazi udsm... hapo sijaweka ada zake za masters na hiyo phd tena ya Michigan university
Kazi kweli labda alipata scholarship na ka alipata asingerudi kuhangaika na udsm
Wengi hucheza mkuu undergraduate ukifika postgraduate wengi hufaulu vizuri kuliko nyuma I mean waliounga shule tofauti na waliotoka makazini nawaofata elimu wapande cheo
Kumbe sikujui kuhusu hicho chuo na condition's zake Mimi mwenyewe siwezi vvyuo vikubwa nirudi kutafta kazi bongo hayo yanakuwa matumizi mabaya ya Rasilimali, maana kusoma tu hicho chuo huwezi teseka kabisa kuhusu fursa kwanza ubongo wako unajua mengi na high exposure hata ukirudi bongo nikufsnya tu project zako.University of michigan ni state university.. haitoi scholarships kwa international student kabisa maana hawaruhusiwi... huwa wanatoa athletic scholarships ambayo chuo kinapokea ada kutoka bodi ya michezo ya vyuo vikuu vya marekani inaitwa NCAA.. kama unakumbuka hasheem Thabeet alisoma university of connecticut kwa kulipiwa ada na NCAA .. state university haziruhusiwi kutoa scholarships kwa international students kabisa mpaka kuwe na sababu ya kimichezo.. awe mchezaji under NCAA athletic scholarship...
Huyu jamaa analeta chai.. mwambie aweke ushahidi jina la huyo jamaa tum google.. maana marekani hakuna siri.. kila kitu wanaweka wazi
Hiyo university ni kubwa sana duniani, level za top 10 university in the world haizidiani sana na kina havard, oxford, yale, uc Berkeley. halafu usome huko mpaka phd uje kuomba kazi udsm.. halafu na hao hao udsm ikunyime kazi