Tuliotoka Chuo na GPA ya 2.0-2.6, tufanyeje ili tusome Masters?

Mpaka vikue ubora ndio Mana Kuna ligi kuu, na ligi daraja la kwanza

perhaps it seems you're less than average according to you're comments you need to improve, and kama ni research bas we ni sample unae wakilisha udsm hahahahahahah, fake product, from fake .........ty
 
Vyuo vya kata ndio vipi hivyo?
Wengine wageni hapa mjini
 
Hapo mm ndo hua wananchanganya. Tumemaliza pale mob ya watu lkn karibia kila mmoja ana HONOURS.
Honours inapatikana kwa ambao wanapiga GPA kwa ascending order.

Graph yako isome kwa style hii: 3.5 , 3.7, 3.8, 4.0, 4.2,4.3! hapa unakula jiwe kwa heshima.

Sio: 4.5, 4.1, 4.2, 3.4, 3.1, 3.6, 3.5!
Hapa unaonekana mzinguaji! Hupewi honors.
 
Freshman a.k.a first year kwanini unamuwekea mwenzako goti shingoni ?[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kwann mkisikia neno KATA mnahamaki sana. Tatizo huwa nini ?
 
Kama huwezi kuona au kutambua mchango wa UDSM kwa nchi yetu na Afrika kwa ujumla, unatakiwa kumuona Daktari wa tiba ya akili ASAP
 
paher

perhaps it seems you're less than average according to you're comments you need to improve, and kama ni research bas we ni sample unae wakilisha udsm hahahahahahah, fake product, from fake .........ty
Bwana wewe jiamini na chuo chako tu, chuo chetu Cha jalalani utaishia kukiona kwenye tv.
 
u

unavyo sema wasomi wameongeza mengi ktk taifa je vyuo ivyo vya kata avitaongeza ?
Kama hujui. Vichwa wa Udsm ndio wameenda kuweka misingi ya kuamsha vyuo vya kata kama Udom et al.

Kuna neno baya zaidi ambalo Magufuli anapenda kulitumia anapowa address graduates wa vyuo vya kata. Nisngependa kulitumia
 
Honours inapatikana kwa ambao wanapiga GPA kwa ascending order.

Graph yako isome kwa style hii: 3.5 , 3.7, 3.8, 4.0, 4.2,4.3! hapa unakula jiwe kwa heshima.

Sio: 4.5, 4.1, 4.2, 3.4, 3.1, 3.6, 3.5!
Hapa unaonekana mzinguaji! Hupewi honors.
Sio kweli.
Kuna watu ambao GPA ilikuwa inashuka na Honours wameipata kama kawa
 
Watu wanachukuliani Mambo serious, ud yenyewe chuo Cha jalalani pale
Udsm ilipoitwa jalalani , alumni wa udsm hawakuhamaki ila jamaa zetu wakiambiwa wanatoka vyuo vya Kata watalalamika kila mahali[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…