Tuliotoka Chuo na GPA ya 2.0-2.6, tufanyeje ili tusome Masters?

Tuliotoka Chuo na GPA ya 2.0-2.6, tufanyeje ili tusome Masters?

Shukran cariha.

Hivi ada ya masters udsm sh ngp vile kama unajua mkuu?
Naskia zimeshuka kidogo Sasa hivi sijui exactly figure, I think mpaka umalize it's like 6 millions depending na course utakayochagua.
 
Mimi nilishasahau Ila Kuna namna ya kutafta maana Kuna course nyingine Zina unit kubwa nyingine unit sio kubwa Sana. Mimi sikuhangaika nilisubiria transcript yangu maana wengine hesabu tulipata fa fa fa fa.

kwaiyo apo GPA mnayozungumzia ni ya mwaka wa mwisho au ni overall ya semista zote
 
Naskia zimeshuka kidogo Sasa hivi sijui exactly figure, I think mpaka umalize it's like 6 millions depending na course utakayochagua.
hahah hiyo ada ya wapi hahaha
 
Engineering na course za CoICT ni 4.5m zingine ni chini ya hapo
Umesema engineering na hapo zimeshuka Mimi Art's pale Ada milion Saba kasoro hivi hata risiti naweza kukupostia awamu hii ada ndo zimeshuka mzee baba.
 
Ukijoin master's pale ukiwa na GPA ya 3.8 unaanza ka tutorial assistance Sasa hao wengine hata assignment za kawaida huwa zinawashinda wengine kupata supplementary kabisa, na wengi ufaulu huwa below so hawachukuliwi next step maana GPA haijafika na sio kuonewa huwa fair.

Pia chuoni huwa Kuna ukabila flani na kubebana GPA kwa watu wanaowataka hata kufaulishwa Kuna department unakuta wahaya tu, au Kanda flani basi watafaulisha watu wachache kiupendeleo ili wabaki.

Nadhani huyo wa MIT wivu tu uliwasumbua wakaamua kumchinjia baharini, in short udsm Kuna Mambo yawapasa kubadilika sio kukumbatia conservative tu siku zote.
Katika soma yangu, hakuna sehemu ambayo naichukia kama UDSM.
 
Kwanini unaichukia? Shule ya pale Napo huwa stress tupu.
Ujuaji mwingi halafu ukija mtaani unaanza upya. Ingekuwa ni uwezi wangu kwanza tungebadilisha mitaala yote.

Nakumbuka mwaka wa tatu tulisomeshwa hesabu na Prof. mmoja Mkorea aisee hana hiyana yule mzee, kisha unakuja kujiuliza hawa ambao wametuzidi kila kitu mbona mambo wanayafanya kuwa mepesu halafu sisi ambao tuko nyuma kwa kila kitu tunafanya mambo yanakuwa magumu sana.

Sasa ukiritimba na kujifaragua kwa mataaluma ya uongo na kukariri wao ndiyo wanaona wajuaji.
 
Na hyo ndo shida wengi hujisifia Mimi Niko vizuri Sana mwanafunzi huwezi nizidi na ukitofautiana mtazamo jiandae hata ku Disco vitu simple lazima wakutese, na ukikutana na prof mzungu mwenye CV na ma project mbalimbali duniani walah hawana shida kukufundisha na kukusikiliza, bwana wewe ukutane na Hawa wakwetu walikotoka huko vijijini wamefaulu wawili wilaya nzima kwanza hawajui kitu zaidi ya ku cremisha na roho mbaya, na hata project zake hazieleweki au research tu yenyewe.
 
Huenda hii inategemea na course unayosoma. Au huenda inategemea na chuo ulichosoma.
Mziki wa three year's wasoma in one year unafikiri ni kazi ndogo undergraduate hicho kitu wakuta ulisoma as a topic, post graduate Hiyo ni course nzima inaenda deep zaidi.
 
Mara nyingi watu wanapata undergraduate GPA kubwa kuliko Masters
Kwa udsm ni 2.6 Tena kwa waliosoma hapo waliosoma nje ya udsm huwa GPA kubwa zaidi. Hapo labda vyuo vingine
 
Kuna vigezo vya TCU (kwa ajili ya vyuo vyote nchini) na vya UDSM

Lakini vya UDSM haviwezi kukinzana na vya TCU, UDSM hawawezi kuweka standards za chini lakini wanaweka standards kubwa zaidi
Hyo new GPA hyo according to prospectus na hyo ilikuwa kwa waliosoma undergraduate the rest vyuo vingine GPA walichukuliwa kubwa zaidi vile hawajasoma hapo. Udsm Wana guideline yao hyo ya tcu ndo naona hata GPA ili uwe lecturer chuo Kikuu ni 3.5 Ila pale hawakuchui hata Kama una first class vyuo vya kata pale hawakuchukui so there is difference
 
Back
Top Bottom