Tuliotoka na shemeji zetu

Sasaaa baada ya kuonekana mjinga ulipungukiwa nini?

Wacha hizo bana.

Tamaa tu, unatakiwa kuhakikisha hakuna ukaribu wa namna hiyo, na kama mwamamke au mwanume anajipendekeza utamjua tu, wewe unaweka ukauzu, yeye mwenyewe atakimbia. Mbona inatokea kila siku.
 

ulifanya vyema kaka...hawa wanawake ni wa kwetu kugegeda tuu...na kwa vile amekupa ujue nae anapenda
 
Tena ukiingiza unaonba pesa ya maana kwa mfano kuna kiwanja nimepungukiwa milioni kumi

Duh.,, hayo yanageuka kuwa manyanyaso sasa.,, Kama ni mimi sikupi Ng'o na kumwambia umwambie lkn sio kwa kunitoboa mifuko huko....!! Unifilisi kisa siri ya kukutongoza,, weeeeeww haipo hiyo...

Na daima kuficha siri ni gharama kubwa.,, lkn mwisho wa siku inavumburuka tuuu... Wew nae usimnyanyase mwenzio ivyo., Shetani anaranda muda wote unaweza pitiwa pia.,
 
Sio rahisi umgundue mwanzoni bali utamjua undani wake tayari na mtoto mmejaaliwa, utafanyaje eti!
Ujue vitu kama hivyo ni ngumu kujua utafanya nini wakati haijatokea.

Huenda nikamsamehe au hata ikibidi naweza nikawachoma moto [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Ujue vitu kama hivyo ni ngumu kujua utafanya nini wakati haijatokea.

Huenda nikamsamehe au hata nikawachoma moto [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Uchome moto baba wa mwanao!
 
Msilaumu upande mmoja tu mbona mashemeji wa Kike nao wanatongoza mashem wao? Wote hawana akili
 
Uchome moto baba wa mwanao!
Kama ndio maamuzi yaliyokuja mda huo hakuna jinsi majuto baadae.

Ila kiukweli ni jambo la kumuomba mungu kwa baadhi ya vitu vingine visitokee mana maamuzi yake ni ya papo hapo.
 
Tamaa tu, unatakiwa kuhakikisha hakuna ukaribu wa namna hiyo, na kama mwamamke au mwanume anajipendekeza utamjua tu, wewe unaweka ukauzu, yeye mwenyewe atakimbia. Mbona inatokea kila siku.

Hiyo kweli mkuu na ukiangalia wale wenye mazoea mara wakumbatiane mara wataniane tena matani yasiyo na kichwa wala miguu mwisho wao ndio huo ila ukiwa kauzu lazima akae mbali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…