Tuliotoka na shemeji zetu

Kweli kabisa mana sio kila chakula lazima ule. [emoji2] [emoji2]
Nakumbuka kuna kipindi nilishi Kijiji kimoja wilaya ya Handeni,basi yupo dada mmoja alikuwa mke wa teacher yaani sijui hata nisemaje,asubuhi mume wake akiwa ameenda kazini lzm aje kuniamsha na kuniuliza why nachelewa kuamka mambo ya msosi ndio usiseme mpaka mumewe akanihisi vibaya,mm kwakweli nilimheshimu yule dada na vilevile niliogopa mazingira ya pale,ila mwisho wa siku yule dada alinichukia mpaka kunisema Kwa watu vibaya nikajuta nikasema Wema wangu umeniponza
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] Hapo wema haujakuponza bana ila umekuepusha na majuto yasiyo na ulazima
 
Ivi mfano nikuulize swali.,, Kwa nini wanawake mkijipendekeza mkakuta hampendekeziki kwa mtu, mnajazaga maneno, dharau yan lengo lenu huwa ni kumfanya mtu aliyekukataa aonekane Nnya...!!!

Kwa nini...?? Na tusivyojuaga kujitetea ndo kabisaaa...!!
 
[emoji12]
 
Sina jibu aisee kwa sababu sijawahi kujaribu hiyo kitu.

Ila watakuwa na sababu zao sio bure
 
Ndio sababu mm nasema yeyote akijipendeza ss hivi ni kutafuna tuu hamna namna
 
Sina jibu aisee kwa sababu sijawahi kujaribu hiyo kitu.

Ila watakuwa na sababu zao sio bure

Muwe mnashaurianapo huko mnakosukana..!! Mnaweza mkawatupia lawama zote wanaume kumbe nyie ndo vyanzo vikuu..!! Mi naona waaaiii kwan bei gani kumbwinya akati nikimkataa atanipaka kashfa 100 kidogo...!!! Napita tu huku nimefumba macho
 
Siku zote huwa ni jambo jepesi kuzungumza ila ukishafanya ndio utaona nafsi inavyokusuta.

Bora kashfa aisee zitakuwa za msimu lakini sio majuto mana yatakuwa ya kudumu.
 
Unashangaa nini sasa. Si ndio nawewe unakokutaka huko [emoji124] [emoji124]
Nimemshangaa jamaa coz ambae ndio dem wake hajatafuna lkn Mdogo mtu kala ss hapo hapo nimeshindwa kuelewa mpaka sasa hivi anasubiria nin,au ndio wanachunguzana tabia[emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…