Tripple MM
JF-Expert Member
- May 31, 2023
- 610
- 890
wewe ndo lipuuzi promax! unaleta habari ya suti za komonio kwani aliomba kz kanisani? hovyo kbs!Pole Sana Mkuu
Kama Ungekuwa Mtoto Wangu Ningekuzaba Kofi Moja Matata Mpaka Uone 🔥
Upuuzi Mkubwa Mno
Unakwendaje Kusailiwa Kwa Mavazi Hayo
Teratibu Za Mavazi Zipo Wazi
Wakristo Wanapopata Komnio/Kipaimara Kwa Wanaume Unaona Suit, Suruali Nyeusi, Shati Jeupe, Tai
Kuna Siri Ya Mavazi
Ungevaa Simple Suaruali Ya Kitambaa Rangi Black, Dark Blue, Shati, Kiatu Cha Ngozi
Maelekezo ya mavazi na namna ya kuvaa kwenye usahili hua wanatoa kila mara wala siwatetei but next time unavyoenda kwenye usahili em jarib kuuliza au kutembelea page ya sekretariet utaona kila kitu kinacho hitajikaNiliitwa kwenye usaili wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), nilipofika katika kituo nilichopangiwa nilikumbana na changamoto ambayo nimeona si sahihi.
Waombaji walikaguliwa vyeti pamoja na mavazi. Wale waliokuwa wamevaa jeans, T-shirt, raba au mavazi ambayo wasimamizi waliona hayakufaa, walipewa karatasi ya kuandika majina na namba zao za simu na wakaelekezwa kutofanya usaili.
Kilichonishangaza ni kwamba nilipouliza kwa nini hatukuona taarifa rasmi kuhusu aina ya mavazi yanayotakiwa, niliambiwa kuwa maelekezo hayo yalikuwa yamewekwa kwenye kurasa za mitandao ya kijamii wiki mbili zilizopita, na baadhi ya waombaji waliambiwa waangalie YouTube.
Kauli nyingine iliyotolewa ni kwamba kizazi cha vijana kimekuwa bize na TikTok. Swali langu ni: kwa nini taarifa muhimu kama hii isiambatishwe moja kwa moja kwenye ujumbe au taarifa ya mwaliko wa usaili?
Kwa kuwa waombaji waliitwa rasmi na kila mmoja akapangiwa kituo chake cha usaili, nadhani ingekuwa rahisi pia kutuma maelekezo yote muhimu, ikiwemo mavazi yanayotakiwa, kupitia njia hiyo hiyo.
Inadaiwa nafasi hiyo ya ufundi umeme ilikuwa na waombaji wengi, hivyo baadhi yetu tunajiuliza kama masharti kama haya yanaweza kuwa yanatumika kupunguza idadi ya wanaofanya usaili. Kama ndivyo, hilo si jambo sahihi na linahitaji ufafanuzi wa TRC ili mchakato wa ajira uwe wa haki, wazi na wenye usawa kwa waombaji wote.
wakati wa christians ndio upi huo wewe mbululawatoto wakiwa darasani shuleni wakati wa Christians mwaka 1900
Hasira zote za juani zitakuishia🤣Siku moja, muuzaji ale kofi, itakuwa funzo
Pombe ikakugawia confidence sio? Siku ingine utapigwa dokta🤣😁😂
Juzi kati nimepiga zangu konyagi ile nimetoka natembea
Njia nyembamba kwa mbele jamaa kasimama katikati ya barabara anachati anachati Hana habari kabisa na jezi ya Simba na kitumbo tumbo chake
Nikatembea nikampiga kikumbo ki makusudii aka Anza kulalamika nikamwambia njia nyembamba kama unataka kuchati au kuchezea simu simama pembeni TULIA maliza jambo lako endelea na mishe zakoo
Tukakoromeana tuka achana kimjini mjinii
Hujitambui Wewewewe ndo lipuuzi promax! unaleta habari ya suti za komonio kwani aliomba kz kanisani? hovyo kbs!
Kwani yeye ni mtumishi wa umma?Mkuu pole kwa kukosa usaili. Next time zingatia kuwa hizi kazi za Serikali zinakua governed na sheria, kanuni na miongozo mbali mbali ikiwemo Mwongozo wa Mavazi kwa Watumishi wa Umma ambao kama umesoma Elimu ya Juu hapa nchini na umefanya field work kwenye ofisi mbali mbali inatakiwa uwe tayari unalifahamu hilo. NeXT time jiandae vizuri na usisahau kuvaa “official”
Unaruhusiwa kupinga mchakato wa usaili, kama unaamini haukupew taarifa ya kutosha. Usiishie kulalamika tu, nitafute twende mahakamani upate haki yako ya kufanyiwa usahiliNiliitwa kwenye usaili wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), nilipofika katika kituo nilichopangiwa nilikumbana na changamoto ambayo nimeona si sahihi.
Waombaji walikaguliwa vyeti pamoja na mavazi. Wale waliokuwa wamevaa jeans, T-shirt, raba au mavazi ambayo wasimamizi waliona hayakufaa, walipewa karatasi ya kuandika majina na namba zao za simu na wakaelekezwa kutofanya usaili.
Kilichonishangaza ni kwamba nilipouliza kwa nini hatukuona taarifa rasmi kuhusu aina ya mavazi yanayotakiwa, niliambiwa kuwa maelekezo hayo yalikuwa yamewekwa kwenye kurasa za mitandao ya kijamii wiki mbili zilizopita, na baadhi ya waombaji waliambiwa waangalie YouTube.
Kauli nyingine iliyotolewa ni kwamba kizazi cha vijana kimekuwa bize na TikTok. Swali langu ni: kwa nini taarifa muhimu kama hii isiambatishwe moja kwa moja kwenye ujumbe au taarifa ya mwaliko wa usaili?
Kwa kuwa waombaji waliitwa rasmi na kila mmoja akapangiwa kituo chake cha usaili, nadhani ingekuwa rahisi pia kutuma maelekezo yote muhimu, ikiwemo mavazi yanayotakiwa, kupitia njia hiyo hiyo.
Inadaiwa nafasi hiyo ya ufundi umeme ilikuwa na waombaji wengi, hivyo baadhi yetu tunajiuliza kama masharti kama haya yanaweza kuwa yanatumika kupunguza idadi ya wanaofanya usaili. Kama ndivyo, hilo si jambo sahihi na linahitaji ufafanuzi wa TRC ili mchakato wa ajira uwe wa haki, wazi na wenye usawa kwa waombaji wote.
Ni sawa mlivyorudishwa, kwanza ilitakiwa mfutwe kabisa , Mtaendaje kwenye interview na jeans na raba??? Hata kwa kutumia common sense tu hayo sio mavazi ya interview popote pale duniani. Mkome.Niliitwa kwenye usaili wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), nilipofika katika kituo nilichopangiwa nilikumbana na changamoto ambayo nimeona si sahihi.
Waombaji walikaguliwa vyeti pamoja na mavazi. Wale waliokuwa wamevaa jeans, T-shirt, raba au mavazi ambayo wasimamizi waliona hayakufaa, walipewa karatasi ya kuandika majina na namba zao za simu na wakaelekezwa kutofanya usaili.
Kilichonishangaza ni kwamba nilipouliza kwa nini hatukuona taarifa rasmi kuhusu aina ya mavazi yanayotakiwa, niliambiwa kuwa maelekezo hayo yalikuwa yamewekwa kwenye kurasa za mitandao ya kijamii wiki mbili zilizopita, na baadhi ya waombaji waliambiwa waangalie YouTube.
Kauli nyingine iliyotolewa ni kwamba kizazi cha vijana kimekuwa bize na TikTok. Swali langu ni: kwa nini taarifa muhimu kama hii isiambatishwe moja kwa moja kwenye ujumbe au taarifa ya mwaliko wa usaili?
Kwa kuwa waombaji waliitwa rasmi na kila mmoja akapangiwa kituo chake cha usaili, nadhani ingekuwa rahisi pia kutuma maelekezo yote muhimu, ikiwemo mavazi yanayotakiwa, kupitia njia hiyo hiyo.
Inadaiwa nafasi hiyo ya ufundi umeme ilikuwa na waombaji wengi, hivyo baadhi yetu tunajiuliza kama masharti kama haya yanaweza kuwa yanatumika kupunguza idadi ya wanaofanya usaili. Kama ndivyo, hilo si jambo sahihi na linahitaji ufafanuzi wa TRC ili mchakato wa ajira uwe wa haki, wazi na wenye usawa kwa waombaji wote.
Mimi Huwa naogopwa nikipiga Tungi nakulaga na macho makali eee unaniogopa maana nipogo very seriouslyPombe ikakugawia confidence sio? Siku ingine utapigwa dokta🤣