HOJA Tuliovaa Jeans, T-shirt, raba tumezuiwa kufanya usaili katika ajira ya TRC, hii ni sawa?

HOJA Tuliovaa Jeans, T-shirt, raba tumezuiwa kufanya usaili katika ajira ya TRC, hii ni sawa?

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Ndio maana Kuna dressings code Kila pahala😁

Kua MPOLEEE
Haina maana yeyote wanapojitia wpo strictly na maadili kwenye mavazi hali ya kuwa hao hao wazee wanaovaa hizo wanaita nguo za heshima, ndio wezi, mafisadi ,matapeli, watekaji na wauaji..

Hii nchi imepwaya sana,ipo nyuma sana kwenye kila kitu nashangaa huo muda wa ku judge mavazi ya mtu tunatoa wapi...

Toka wameanza kuweka sheria za mavazi uchumi umepanda... ufisadi umeisha?

Wajikite kwenye mambo ya msingi.. waache vijana wavae jeans na t-shirt..

Wazungu huko mtu anaingia ofisini na bukta.. wapo mbali kimaendeleo.. walishaachana na huu ujinga..
 
Sasa mafundi umeme jinzi si ndio vazi bora kwao

Hi nchi Ina shida sana
Hizo ada wazazi wako wangefuga ngurue sasa hivi wangekua matajiri na wangekusaidia mtaji ufungue hata kibanda cha kuuza vifaa vya simu...
Okay sawa mfano wewe umesomea ufundi umeme au welding au ujenzi ila umeitwa kwenye interview ya Oral au Written kwahiyo utavaa T-shirt na Jeans au Suruali na shati au Ovaroli..? Nijibu kwa kutumia akili sio makalio.
Vijana tuache ujuaji na upumbavu, tutaendelea kukosa maisha tusingizie tunarogwa au watu wanatubania...
Kwa kukusaidia wewe na wenzako, next time soma maelekezo ya interview umeitwa kwenye aina gani ya interview na wewe umesomea nini na hiyo interview itakutaka uende umevaaje na ubebe vitu gani...
 
Haina maana yeyote wanapojitia wpo strictly na maadili kwenye mavazi hali ya kuwa hao hao wazee wanaovaa hizo wanaita nguo za heshima, ndio wezi, mafisadi ,matapeli, watekaji na wauaji..

Hii nchi imepwaya sana,ipo nyuma sana kwenye kila kitu nashangaa huo muda wa ku judge mavazi ya mtu tunatoa wapi...

Toka wameanza kuweka sheria za mavazi uchumi umepanda... ufisadi umeisha?

Wajikite kwenye mambo ya msingi.. waache vijana wavae jeans na t-shirt..

Wazungu huko mtu anaingia ofisini na bukta.. wapo mbali kimaendeleo.. walishaachana na huu ujinga..
Ukija na kikaputula chako migration unafukuzwa☺️

Ukija na jeans 👖 tena iliyo CHANIKA CHANIKA Mimi nakufukuza.. hakuna namna utafukuzwa sanaa ndugu
 
Mleta uzi walimu walipokuwa wanafundisha somo la mavazi wewe hukuhusika. Wa uraia ulchelewa, wa civics ulitoroka, wa GS ulikuwa unakomaa na combi, wa DS alikuwa msumbufu tu. Sasa ndio hayo..
 
mostly vijana wenye vijitabia vya aina hii, ni wale wanao toka familia bora...yani hata bila hiyo kazi, mama ake huwa anampa pesa za matumizi kila week/mwezi na anakaa nyumbani misosi bweleleeeee!!!!!! atawezaje kuwa serious kwenye maombi ya kazi?
Familia bora wengi wanafundisha watoto wao good manners

Tusi underestimate hizo qualities
 
Jero tu Mtaani taabu..jamaa anaongelea elfu 5...! Unafiki na kiburi Cha Kibarua alichonacho...
Hali ni ngumu.sana kitaa..Mtu anatembea kwa miguu na bahasha kusaka kazi hana hata mia ..
Huwezi kosa suruali na shati kwenye collection yako tuwe wakweli hata mbele za Mungu
 
Back
Top Bottom