We Mpumbavu usikute jeans yake na T. Shirt zina bei kuliko hata suruali na Shati ambazo Utumisi wana recommend avaethis is pure evil, vipi kama hauwezi kumudu kununua hayo mavazi wanayoyataka? sasa utapanda vipi daraja ktk chini ulipo kama unawekewa vizingiti vyote hivyo mpaka kwenye mavazi? hii nchi inatawaliwa na satanic people ...
angalia hawa watoto wakiwa darasani shuleni wakati wa Christians mwaka 1900 huko, kwa logic ya satanic tanzagiza leo (ambao wengi wao wasingesoma na kufikia kuvaa suti leo kama wangewekewa masharti na vizingiti wanaowawekea watoto wa masikini leo hii) hao watoto wa masikini wangezuiwa kusoma kwa sababu hawakuwa na uwezo wa kununua nguo, lkn cha muhimu ilikuwa ni elimu na ndio maana haikujalisha kama alikuwa ana nguo au hana lkn cha muhimu elimu ...
View attachment 3652964
Ni sawa kabisaNiliitwa kwenye usaili wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), nilipofika katika kituo nilichopangiwa nilikumbana na changamoto ambayo nimeona si sahihi.
Waombaji walikaguliwa vyeti pamoja na mavazi. Wale waliokuwa wamevaa jeans, T-shirt, raba au mavazi ambayo wasimamizi waliona hayakufaa, walipewa karatasi ya kuandika majina na namba zao za simu na wakaelekezwa kutofanya usaili.
Kilichonishangaza ni kwamba nilipouliza kwa nini hatukuona taarifa rasmi kuhusu aina ya mavazi yanayotakiwa, niliambiwa kuwa maelekezo hayo yalikuwa yamewekwa kwenye kurasa za mitandao ya kijamii wiki mbili zilizopita, na baadhi ya waombaji waliambiwa waangalie YouTube.
Kauli nyingine iliyotolewa ni kwamba kizazi cha vijana kimekuwa bize na TikTok. Swali langu ni: kwa nini taarifa muhimu kama hii isiambatishwe moja kwa moja kwenye ujumbe au taarifa ya mwaliko wa usaili?
Kwa kuwa waombaji waliitwa rasmi na kila mmoja akapangiwa kituo chake cha usaili, nadhani ingekuwa rahisi pia kutuma maelekezo yote muhimu, ikiwemo mavazi yanayotakiwa, kupitia njia hiyo hiyo.
Inadaiwa nafasi hiyo ya ufundi umeme ilikuwa na waombaji wengi, hivyo baadhi yetu tunajiuliza kama masharti kama haya yanaweza kuwa yanatumika kupunguza idadi ya wanaofanya usaili. Kama ndivyo, hilo si jambo sahihi na linahitaji ufafanuzi wa TRC ili mchakato wa ajira uwe wa haki, wazi na wenye usawa kwa waombaji wote.
Kazini ukishaingia unaweza kuvaa ila siyo kwenye Usailikabla hata sijamaliza kusoma comment za wadau, hiyo kitu mmefanyiwa ni sawa kabisa. kila nguo zina mahala pake bhana. unavaa tshirt na jinsi unaenda kushoot video ya hip hop au unaenda kazini? tena kwenye maombi ya kazi!!!!1
ni mpumbavu tu ndio anaangalia amani na nguo!!! Mwenye busara anaangalia dress codeWe Mpumbavu usikute jeans yake na T. Shirt zina bei kuliko hata suruali na Shati ambazo Utumisi wana recommend avae
mostly vijana wenye vijitabia vya aina hii, ni wale wanao toka familia bora...yani hata bila hiyo kazi, mama ake huwa anampa pesa za matumizi kila week/mwezi na anakaa nyumbani misosi bweleleeeee!!!!!! atawezaje kuwa serious kwenye maombi ya kazi?Pole Sana Mkuu
Kama Ungekuwa Mtoto Wangu Ningekuzaba Kofi Moja Matata Mpaka Uone 🔥
Upuuzi Mkubwa Mno
Unakwendaje Kusailiwa Kwa Mavazi Hayo
Teratibu Za Mavazi Zipo Wazi
Wakristo Wanapopata Komnio/Kipaimara Kwa Wanaume Unaona Suit, Suruali Nyeusi, Shati Jeupe, Tai
Kuna Siri Ya Mavazi
Ungevaa Simple Suaruali Ya Kitambaa Rangi Black, Dark Blue, Shati, Kiatu Cha Ngozi
Kima nyingine hiiKazini ukishaingia unaweza kuvaa ila siyo kwenye Usaili
watoto maisha bora hao mkuu, anakaa nyumbani kwao, ukutani flat kali la nchi 70...geto kwake mama ake kamuwekea ps5 kali, afu dogo akilia tu kidogo mama ake anamkunjia laki kadhaa za matumizi....ndani misosi bweleleee yani dogo hajui msoto wala njaa....unadhani atakua serious na usaili huyo!!!????Kazini ukishaingia unaweza kuvaa ila siyo kwenye Usaili
Siku moja, muuzaji ale kofi, itakuwa funzoHii tabia wanayo wauza nguo karibu wote😂
Ulitakiwa uchapwe bakora 3 za kwenye makalio kama adhabu siku ingine usinge rudia huo UJINGA.Niliitwa kwenye usaili wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), nilipofika katika kituo nilichopangiwa nilikumbana na changamoto ambayo nimeona si sahihi.
Waombaji walikaguliwa vyeti pamoja na mavazi. Wale waliokuwa wamevaa jeans, T-shirt, raba au mavazi ambayo wasimamizi waliona hayakufaa, walipewa karatasi ya kuandika majina na namba zao za simu na wakaelekezwa kutofanya usaili.
Kilichonishangaza ni kwamba nilipouliza kwa nini hatukuona taarifa rasmi kuhusu aina ya mavazi yanayotakiwa, niliambiwa kuwa maelekezo hayo yalikuwa yamewekwa kwenye kurasa za mitandao ya kijamii wiki mbili zilizopita, na baadhi ya waombaji waliambiwa waangalie YouTube.
Kauli nyingine iliyotolewa ni kwamba kizazi cha vijana kimekuwa bize na TikTok. Swali langu ni: kwa nini taarifa muhimu kama hii isiambatishwe moja kwa moja kwenye ujumbe au taarifa ya mwaliko wa usaili?
Kwa kuwa waombaji waliitwa rasmi na kila mmoja akapangiwa kituo chake cha usaili, nadhani ingekuwa rahisi pia kutuma maelekezo yote muhimu, ikiwemo mavazi yanayotakiwa, kupitia njia hiyo hiyo.
Inadaiwa nafasi hiyo ya ufundi umeme ilikuwa na waombaji wengi, hivyo baadhi yetu tunajiuliza kama masharti kama haya yanaweza kuwa yanatumika kupunguza idadi ya wanaofanya usaili. Kama ndivyo, hilo si jambo sahihi na linahitaji ufafanuzi wa TRC ili mchakato wa ajira uwe wa haki, wazi na wenye usawa kwa waombaji wote.
Azima nguo. Au hata majamaa huna?vipi kama siwezi ku-afford kununua nguo? nifanye nini sasa? ...
😁😂
Ila itakuwa ulijizima data tu.Niliitwa kwenye usaili wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), nilipofika katika kituo nilichopangiwa nilikumbana na changamoto ambayo nimeona si sahihi.
Waombaji walikaguliwa vyeti pamoja na mavazi. Wale waliokuwa wamevaa jeans, T-shirt, raba au mavazi ambayo wasimamizi waliona hayakufaa, walipewa karatasi ya kuandika majina na namba zao za simu na wakaelekezwa kutofanya usaili.
Kilichonishangaza ni kwamba nilipouliza kwa nini hatukuona taarifa rasmi kuhusu aina ya mavazi yanayotakiwa, niliambiwa kuwa maelekezo hayo yalikuwa yamewekwa kwenye kurasa za mitandao ya kijamii wiki mbili zilizopita, na baadhi ya waombaji waliambiwa waangalie YouTube.
Kauli nyingine iliyotolewa ni kwamba kizazi cha vijana kimekuwa bize na TikTok. Swali langu ni: kwa nini taarifa muhimu kama hii isiambatishwe moja kwa moja kwenye ujumbe au taarifa ya mwaliko wa usaili?
Kwa kuwa waombaji waliitwa rasmi na kila mmoja akapangiwa kituo chake cha usaili, nadhani ingekuwa rahisi pia kutuma maelekezo yote muhimu, ikiwemo mavazi yanayotakiwa, kupitia njia hiyo hiyo.
Inadaiwa nafasi hiyo ya ufundi umeme ilikuwa na waombaji wengi, hivyo baadhi yetu tunajiuliza kama masharti kama haya yanaweza kuwa yanatumika kupunguza idadi ya wanaofanya usaili. Kama ndivyo, hilo si jambo sahihi na linahitaji ufafanuzi wa TRC ili mchakato wa ajira uwe wa haki, wazi na wenye usawa kwa waombaji wote.
Ndio maana Kuna dressings code Kila pahala😁Huu ushamba na ukoloni wa kizamani kuaminishana suruali za vitambaa ni mavazi ya heshima, jeans na t-shirt ni uhuni ifike muda sasa waache huo ujinga...
Mambo yalishapitwa na wakati hayo..
Yeye alitaka kwenda na kikaputula kama vijana wa dar wanavyo pendeleaga kuvaajuu ungevaa ya Ccm ungeingia (jokes); anyway anyday ukiitwa interview ya aina yoyote ile vaa shati na suruali na kiatu cha kazi fresh; masaa mawili/tatu sio mbaya mkuu