Lamborgini
JF-Expert Member
- Nov 28, 2024
- 954
- 1,617
Dogo umeshindwa hata kuazima suruali ya shemeji yako, gaddemit.
Ulichokiweka bado hakikidhi hoja.Tafahali rejea viambatisho husika hapa. Moderators mnaweza pandisha muongozo huu hapo juu kwa faida ya wengine.
Kwani mavazi nadhifu ni suti tu? Huwezi kuvaa suluari na shati za kawaida na ukaonekana nadhifu?Huku kuiga ng'ambo ya zamani kumezidi. Yaani eti mtu avae suti na kujinyonga na tai ndo mheshimiwa. Walounda suti wanaishi nchi za baridi, sisi bado tumeingia mkumbo... joto sasa, uwe umeivaa Dzm, kwa mfano.
Kitu kikubwa nilichoshangaa binafsi, ni vile wamesahau wewe ni mteja si mfanyakazi wao, wanafikiaje kumwambia mteja cha kuvaa?
anyway, kama jeans na t-shirt hazikuwa hood style, na ziling'ara usagi - basi sioni mlikosea nini.
this is pure evil, vipi kama hauwezi kumudu kununua hayo mavazi wanayoyataka? sasa utapanda vipi daraja ktk
Naunga mkono, tena ilitakiwa apigwe mtungo 😎Mtoa mada anastahili kubakwa kabsa
Madogo wa hivyo ndo wale kutwa vizinga vya teni mara dasi kumbe wanatupa fursa chooniIla wanangu mmemshambulia sana mtoa mada, sidhani kama amepitia comment zote za uzi wake 😂
Jamaa ni zaidi ya mpumbavuMadogo wa hivyo ndo wale kutwa vizinga vya teni mara dasi kumbe wanatupa fursa chooni
Ni taifa la wajinga linalompima mtu kwenye suala la kitaaluma kwa muonekano. Ajabu air Tanzania ilipokatwa South Africa, wakili wao (serikali ya Tanzania) akawa ni mwenye rasta kichwani na hereni sikioni na wakashinda kesi😂😆, hawajifunzi tu?Eeh hapo umegusa jambo la watu wengi mkuu, mimi nikienda usaili huwa najaribu kufuata mavazi yao ingawa wakati mwingine inakera, lakini ndio mfumo wetu hivi, unakuta wengine wanaweza kuwa na uwezo zaidi lakini wamezuiwa kwa sura.
Basi kuna siku mshikaji wangu alikuwa ananisimulia siku hizi ukinda huko kwenye usahili wa vitendo ukizingua unarekodiwa kabisa wakati wa vitendo! Usijekusema nilifanya vizuri nikakatwa au nimeonewa.Usiende kwenye usaili mana hata ukienda hutofanya huo usaili
Watu wa usaili wanatakiwa kuwa na viboko kwa ajili ya wapuuzi kama huyu mtoa madaBasi kuna siku mshikaji wangu alikuwa ananisimulia siku hizi ukinda huko kwenye usahili wa vitendo ukizingua unarekodiwa kabisa wakati wa vitendo! Usijekusema nilifanya vizuri nikakatwa au nimeonewa.
So hata hawa wadau wa tshirt na jinsi wangerekodiwa kabisa.
Ili kupunguza lawama za baadae...
Nimechekeka sana
Kabisa na viboko kama havitoshi waongezee na mamba kabisa, 😂Watu wa usaili wanatakiwa kuwa na viboko kwa ajili ya wapuuzi kama huyu mtoa mada
Vijana wa kitanzania wamekuwa kama manguruwe siku hizi. Sisi miaka ya 70 kabla ya kwenda kwenye interviewNiliitwa kwenye usaili wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), nilipofika katika kituo nilichopangiwa nilikumbana na changamoto ambayo nimeona si sahihi.
Waombaji walikaguliwa vyeti pamoja na mavazi. Wale waliokuwa wamevaa jeans, T-shirt, raba au mavazi ambayo wasimamizi waliona hayakufaa, walipewa karatasi ya kuandika majina na namba zao za simu na wakaelekezwa kutofanya usaili.
Kilichonishangaza ni kwamba nilipouliza kwa nini hatukuona taarifa rasmi kuhusu aina ya mavazi yanayotakiwa, niliambiwa kuwa maelekezo hayo yalikuwa yamewekwa kwenye kurasa za mitandao ya kijamii wiki mbili zilizopita, na baadhi ya waombaji waliambiwa waangalie YouTube.
Kauli nyingine iliyotolewa ni kwamba kizazi cha vijana kimekuwa bize na TikTok. Swali langu ni: kwa nini taarifa muhimu kama hii isiambatishwe moja kwa moja kwenye ujumbe au taarifa ya mwaliko wa usaili?
Kwa kuwa waombaji waliitwa rasmi na kila mmoja akapangiwa kituo chake cha usaili, nadhani ingekuwa rahisi pia kutuma maelekezo yote muhimu, ikiwemo mavazi yanayotakiwa, kupitia njia hiyo hiyo.
Inadaiwa nafasi hiyo ya ufundi umeme ilikuwa na waombaji wengi, hivyo baadhi yetu tunajiuliza kama masharti kama haya yanaweza kuwa yanatumika kupunguza idadi ya wanaofanya usaili. Kama ndivyo, hilo si jambo sahihi na linahitaji ufafanuzi wa TRC ili mchakato wa ajira uwe wa haki, wazi na wenye usawa kwa waombaji wote.