HOJA Tuliovaa Jeans, T-shirt, raba tumezuiwa kufanya usaili katika ajira ya TRC, hii ni sawa?

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Baba yako nani? Muulize baba kwanini hakukuambia, kama hauna basi nafasi yako bado haijatangazwa.
 
Tuwe wakweli, mavazi kama hijabu, kanzu, vilemba kwa wanaume na zile anazovaa mama, hayaruhusiwi ila sasa yanavaliwa, kisa udini umeingia serikalini kutokana na ujio wa viongozi wa juu.
Kwenye ajira kuna "white colar job" ofisini na "blue colar job" karakana(fundi mchundo).
 
Ulitakuwa uone aibu ht kulalamika, we ni mhuni hufai kuajiriwa
 
Tafahali rejea viambatisho husika hapa. Moderators mnaweza pandisha muongozo huu hapo juu kwa faida ya wengine.
 

Attachments

Dressing code ya kila idara huwa zinafahamika,kwa mfano kiwandani huruhusiwi kabisa kuingia na viatu vya wazi,ukirudishiwa getini utalaumu?
 
Ukishaitwa kwenye usaili ujue unaangaliwa kila kitu sio mavazi tu
Nikupe hii unaweza kwenda sehemu mkapewa vi pipi kisha unaangaliwa yale maganda utayafanyaje

Kama hujui zamani hapo kidogo hata Ile barua ya kuomba kazi ilikua inatakiwa uiandike kwa mkono wewe mwenyewe Kuna mtu wa kucheki tabia Yako kupitia mwandiko wako (wana amini muandiko wako unazungumza mengi sana kukuhusu)

Sema Gen Z ni wabishi sana

Siku ingine ukija kwenye usaili jua tunakuona kuanzia getini tumefunga camera better watch your steps
 
Nakubaliana na wewe! Lakini hii inaweza kuwa chai! Nani huenda interview na t-shirt?
Wajinga wajinga wako wengi, watu wanaweza kwenda na tshirt, kuna jamaa nilikuwa nae kwenye usaili mara mbili mfululizo anasema hana kitambulisho, sasa mtu kama huyu unajiuliza huna kitambulisho inamaana hata barua ya serikali ya utambukisho huna?
 
Gen Z kwenye 1 na 2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…