Tuliowahi kuchapiwa tukutane hapa.. ulichukua maamuzi gani? Binafsi yule jamaa aliyenichapia hatokaa asahau

Thank you wise man 🙏🏿🧎🏿‍♂️
 
Hii sio KAOLE kweli
 
Hii safi sana inapaswa tuheshimu wake za watu kinyume na hapo yaweza kukukuta yaliyomkuta mwamba hapo juu
 
Dah mkuu una visasi vikali sana jamani! Unalipiza as if dunia nzima wewe ndio yanakutokea? Kwani huyo mwanamke ndio ticket yaww kwenda ahera au? Duhh mtu akizingua si unaoiga chini mara moja tu!
Maneno yatakuwa mengi, jamaa kagongewa yupo kama fala..

Mimi huwa nalipa mara kumi ya ubaya.

Bidada ashukuru sana. Nilikuwa tayari kupoteza vyote. Ningefanya tukio ambalo taifa lingeshusha bendera nusu mlingoti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…