Tuliowahi kuchapiwa tukutane hapa.. ulichukua maamuzi gani? Binafsi yule jamaa aliyenichapia hatokaa asahau

Kuna viumbe vimevurugwa sana katika hii dunia.
Ukijikuta wewe ni muhuni unakutana na wahuni zaidi yako.
Inachekesha na kuhuzunisha at the same time.
 
Acha kupangia watu maisha. Unapaniki kama ulishawahi kuzibuliwa chemba. Kama na wewe una hizo tabia anza kutembea na mukwano.

Ukitubu wewe inatosha
 
Tabia za kiarabu?
Kijakazi
 
Acha kupangia watu maisha. Unapaniki kama ulishawahi kuzibuliwa chemba. Kama na wewe una hizo tabia anza kutembea na mukwano.

Ukitubu wewe inatosha
aisee umefika mbali au na mi nikushushie matus ili tushindane nani zaid hahaha

Mkuu maana yangu ni kwamba kila mmoja akisema ajichukulie sheria au maamuz kama yako itafikia hatua tutaishia jera na ref watu wanaua wanawake zao wengine wanaua waume zao asa kwann tufikie huko au we huoni athari zake
 
Wewe ni mpumbavu sana. Ulitakiwa kudili ma mke wako na wala sio huyo jamaa
 
Ah sasa wee badalanya kumla tigo mkeo unamla tigo mwanaume mwenzio....aisee kweli wew shetani kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…