Tuliowahi kuchapiwa tukutane hapa.. ulichukua maamuzi gani? Binafsi yule jamaa aliyenichapia hatokaa asahau

Huu ni utamaduni, kama hutamani mke wa mtu kamwe huwezi shawishika..ila Kuna watu wanapenda wake za watu mpk unajiuliza shida ni nn!
 
Unakuta aliyeandika hii kachezea mb kama 10 hivi mpaka anaolewa😂
 
Mimi sikubaliani na mzee wako rafiki, Mtu anatembea na mke/mume wa mtu miaka na miaka asijue huyu kaoa au huyu kaolewa? Bwana sio kweli. Mtu kama huyu hatakiwi kuachwa aende…. atazoea. Wacha na yeye apewe funzo ili siku nyingine afanye background check vizuri kabla hajaingia kwenye mahusiano na mtu.

Kisasi kipo kuiweka dunia kwenye balance.
 
Daah! Mke afanyiwe FGM😀
Ngoja wanisikie watu wa haki za binadamu 😂

Unajua inakwaza, kawaida kufanya kitu behind someone’s back ni kwamba unajiamini kuwa mwenzio ni mjinga hatakaa ajue…. We unajisikiaje mtu akikuchukulia mjinga/boya fulani hivi.

I’m not trying to act holly, na mimi nikifumwa nifanyiwe FGM tu!
 
Sio justification ni uhalisia best. Men and women are wired differently in terms of how they react to sexual stimuli.
Beshtie, wired differently or not……. Matokeo ya usaliti ni yale yale, what do you learn from this?
 
Bila shaka alienda kuoa mbali maana kama wanawake walisikia hicho alichomfanyia mke wake sijui kama wangekubali kuolewa naye. 😂
 
Kuna dogo huyo nilikua nakula..
Ila nikichapiwa tu nilikua najua an

Maana atakuja kunisifia sifa kibao
Mara amenimiss
Mara amemiss maumbile yangu
Mara sijui show zangu kali

Hapo najua tayar kashaenda kuyavagaa sehemu....
 
Mzigo unakula
 
Hujisikii hatia yoyote kwa ulichomfanyia huyo jamaa?..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…