Tuliowahi kuchapiwa tukutane hapa.. ulichukua maamuzi gani? Binafsi yule jamaa aliyenichapia hatokaa asahau

🤗

Ulimlipaje mkuu?
 

mwanaume yeyote anayethubutu kuchukua mke wa mtu makusudi ameonesha dharau kubwa kiwango cha sgr, hivyo basi hata ukioa mwanamke mwingine atarudi tu,
tukae mbali na wake za watu
 
Yaani ulivyomalizia the Good thing
Hahaha
 
Aise pole sana mkuu japo habari imeishia vibaya kwani huyo 'umemuingiza kwenye ushetani pengine hakuwahi kujihusisha'.
Kwa upande mwingine siwezi kukulaumu kwani matukio yanayoumiza nafsi kama hili binafsi naamini litakalomjia kichwani muhusika ndilo litakalotendeka,mtendwa anaweza kukubali yaishe bila kufanya chochote kibaya kwa mshtuko tu.
Maisha yana mitihani sana haya 🙌
 
Mkuu mimi huwa naona kila mtu amalize mambo kwa namna anavyoona inamfaa yeye kumaliza sumu zake
 
Umeeleza vizuri juu ya kutulia na kutafakari kabla ya kuchukua maamuzi, hujaona mtoa mada hadi alipuuza alipoambiwa kabla?
Hii inaonyesha alimuamini mkewe,jamaa kampa adhabu kali sana lakini vipi angemtoa uhai kabisa?
Kingine mtu anayekufahamu(eneo mloishi) akikuchapia inakua ni dharau pia kaamua kukukomoa na hii inaongeza hasira kwa mwenye mke,mtu wa mbali means wife kamkubali/wamependana.
 
Aise noma sana,ila mama yake sio alikua ajuza?
Au uliuma meno tu😂
 
Nimesoma kwa kukuonea huruma kabla sijafika kwenye finishingi 😂
 
Ndugu unakosea kwani unazungumzia matokeo,mkewe ndio ilipaswa aage ili ahamie kwa mchepuko.
Hii ndio ilikua njia salama .
 
Kaka wewe ni mtu wa visiwa vya ukerewe?
Maana nao ndio mambo yao,ukimtenda ubaya hata kama hamna mazoea alijisogeza huku anakuhesabia hatua!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…