ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
NdiyoMipango ya muda mrefu au mfupi siyo
Hii hatari sanaJamaa ana roho mbaya
Hicho kitendo ni zaidi ya ubabeKwann
🤗Mimi sikusubiria aliwe nilikuta sms ndo wanachati na jamaa yani wanatongozana sikuiyo iyo nilimfukuza akaenda kwao tangu mwaka 2018 hadi leo ni single mama aliyekubuhu na hajaolewa anagawa utamu tu uko mimi nilioa mda sana
Kwanini umwone jamaa mbaya akati kakusaidia kukuonesha mkeo mtarajiwa alivyo.Kuna huyo mmoja kanilia manzi angu ilikuwa mwaka huu niivute ndani, alivyona dharau kaibwaga baada ya miezi tu na ujauzito juu. Nimeenda mpaka kwa mwanasaikolojia kisa mapenzi, hakika atalipa na atajua kuna wengine hatugusiki labda aje kiroho tu
Siku anaingia kwenye 18 hataamini na atajuta kujua mi ni nani na kama angejua basi asingethubutu hata kumuongelesha neno huyo manzi
Bro Sija kuelewa yani demu huja muoa na bado UNATAKA kumdhuru mtu achana nae pita hivi, mi nomehudumia mademu kibao kutoboka pesa mingimingi na sikupiga, waliliwa na wengine na maisha bado yana songa bro, alafu ndo nakutana na vyombo sasa asikwambie mtu, wale wa zamani ssitaji hata stori naoKuna huyo mmoja kanilia manzi angu ilikuwa mwaka huu niivute ndani, alivyona dharau kaibwaga baada ya miezi tu na ujauzito juu. Nimeenda mpaka kwa mwanasaikolojia kisa mapenzi, hakika atalipa na atajua kuna wengine hatugusiki labda aje kiroho tu
Siku anaingia kwenye 18 hataamini na atajuta kujua mi ni nani na kama angejua basi asingethubutu hata kumuongelesha neno huyo manzi
Kuna huyo mmoja kanilia manzi angu ilikuwa mwaka huu niivute ndani, alivyona dharau kaibwaga baada ya miezi tu na ujauzito juu. Nimeenda mpaka kwa mwanasaikolojia kisa mapenzi, hakika atalipa na atajua kuna wengine hatugusiki labda aje kiroho tu
Siku anaingia kwenye 18 hataamini na atajuta kujua mi ni nani na kama angejua basi asingethubutu hata kumuongelesha neno huyo manzi
Nimewaza hivyo piaBro Sija kuelewa yani demu huja muoa na bado UNATAKA kumdhuru mtu achana nae pita hivi, mi nomehudumia mademu kibao kutoboka pesa mingimingi na sikupiga, waliliwa na wengine na maisha bado yana songa bro, alafu ndo nakutana na vyombo sasa asikwambie mtu, wale wa zamani ssitaji hata stori nao
Unamkumbuka yule aliyemnyoosha ba mkwe mpaka akataka jinyonga? Aisee🙆🏽♀️Wanaume wameumbwa
Matesooo
Matesoo
Kuhangaika
Inasikitisha sana! Story yake imenikumbusha ya yule dada aliyeanikwa siku ya mahali! Kijana alitaka kumzimisha mpaka ba mkwe🤦🏽♀️mambo ya humu duniani yamekuwa mengi mno kwa hakika, huyo kaka hawezi kuwa sawa maisha yake yote mpaka anaingia kaburini..!🙌🏾
Ipoje story yakeUnamkumbuka yule aliyemnyoosha ba mkwe mpaka akataka jinyonga? Aisee🙆🏽♀️
wewe ni mjinga na ulistahili kkutombewa demu hujamuoa unaleta ujinga, kwani wewe ulimkuta bikiraKuna huyo mmoja kanilia manzi angu ilikuwa mwaka huu niivute ndani, alivyona dharau kaibwaga baada ya miezi tu na ujauzito juu. Nimeenda mpaka kwa mwanasaikolojia kisa mapenzi, hakika atalipa na atajua kuna wengine hatugusiki labda aje kiroho tu
Siku anaingia kwenye 18 hataamini na atajuta kujua mi ni nani na kama angejua basi asingethubutu hata kumuongelesha neno huyo manzi
Dah wewe ukasome! Ngoja nakutag!Ipoje story yake
NitashukuruDah wewe ukasome! Ngoja nakutag!
Dahwewe ni mjinga na ulistahili kkutombewa demu hujamuoa unaleta ujinga, kwani wewe ulimkuta bikira
uliyemfanyizia kisasi..Kaka yupi unaemzungumzia? Labda huyo aliyetembea na mke wangu. Kama ni mimi haitokaa itokee, nasherehekea ushindi kabisa
Huwezi kunielewa sababu wengi kati ya hao uliokula ulitanguliza nyege baadala ya hisia, huyu mimi niliwekeza kila kitu kwake kihisia, kimwili, kiuchumi mpaka kiroho, sio mtu niliyefahamiana naye jana hapana tulishakuwa na mipango ya muda mrefuBro Sija kuelewa yani demu huja muoa na bado UNATAKA kumdhuru mtu achana nae pita hivi, mi nomehudumia mademu kibao kutoboka pesa mingimingi na sikupiga, waliliwa na wengine na maisha bado yana songa bro, alafu ndo nakutana na vyombo sasa asikwambie mtu, wale wa zamani ssitaji hata stori nao