Tuliowahi kuoa wa darasa la saba na kufanikiwa hali ya kuwa siye ni graduates njooni tupeane uzoefu

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Umetusagia kunguni sana mkuu.

Enjoy!!
 
siri ya hayo yote ni nini?
 
siri ya hayo yote ni nini?
Ukisoma saaana unajitambua(unajipata) wazungu wanasema self actualization,na usiposoma naturally unakuwa submissive,unakubali kuongozwa,

Ila ukisoma kidogo usimalize visomo(half cooked) Sio moto wala sio baridi (elimu za hapo katikati) ndio zinaletaga kiburi na ujuaji

Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
 
Wanaume mnapenda sana kujitoa kwenye shida ya kuharibu ndoa, mbona wapo wanaume wengi sana unakuta anamke mzuri tu kitabia lakini anamharibu mwenyewe siku mke akichoka ndiyo utaanza kimsikia analalamika mke mkorofi ukifuatilia yeye ndiyo chanzo, msiwatwishe wanawake mizigo mikubwa wakati ni yenu!

Halafu swala la STD 7 wakati mwingine sio shida mwingine anakuwa alikosa msaada na sio kwamba hana uelewa anao sana.,hongera kwakupata mke mwema
 
Nimekuelewa vyema kabisa mkuu
 
Kwahiyo unataka anaitika kwa kila kitu maana anaishi kama mkimbizi hakuna kujadiliana ni amri moja tu!
 
Kweli mkuu niwe mkweli unaoa mke wa PHD mwenye umri wa miaka 45, average unatafuta nini? Unajua raha ya ndoa kweli? kwenye kitanda huyu anaweza ku scream kweli kwa dhati au faking? Hapana sio kila mwanamke ni ws kuoa.
Mpaka ukaoe mwenye 45 wewe unakuwa na umri gani sasa?
 
Wenyewe wanataka asiye na maamuzi ili hata wakiachana aende na kurudi maana hana cha kufanya huko, hivyo mke anakuwa mtii hata kwenye maumivu sasa ataenda wapi na ameshazalishwa watoto !
 
Pana wanawake Wana PhD,Wana pesa kuliko waume zao na wao ndio usimamia familiar lakini wanawaheshimu na kujua nafasi ya mume ni ipi kwa faida ya watoto.
Ukubwa wao wanauacha nje ya geti

Kati ya 10 ni 1
 
Mimi nikioa sio kwamba natafuta bussiness partner nahitaji na huduma za mke hujulikana, kama nataka kujenga biashara ntatafuta bussiness partner au economic consultant au taenda benki wanipe ushauri, hiyo sio kazi ya mke.

Kutokana na uoga wa maisha kwa vijana wengi wa kiume ,siku hz wanaoa mwanamke kwa kuangalia vigezo kama elimu,ajira na fedha badala ya sifa za kua mke.
 
Safi sana. Na ili tutengeneze jamii yenye wake bora hebu chukueni hatua kwa kutopeleka watoto wenu wa kike shule. Au wakiishia la nne itapendeza zaidi.
Yaani umeongea point sana, anaoa mke STD 7, ila Bint yake kuanzia chekechea -A' level ni St zinatembea, chakujiuliza kwanini asiwatunzie wanaume wenzie aje kuolewa akiwa darasa la 7, wenda wazimu kabisa.
 
Kuoa ni bahati na sio ishu ya elimu
Mbona wapo wengi tu wanajuta ndoano kwa kuoa haohao la Saba.
Wakajazibukia ndoani shughuli pevu.
Mkuu lkn lazima tukubali huwezi kuishi na Hawa wenye PhD. Hasa hizi za michongo michongo zinazowafanya kua feminists.
Halafu ukute Kuna kamfereji ka hela za wizi kazini kwake ndio kabisa anataka utandike kitanda alale.
Fomfoo na chuo kidogo ili aweze ku manage kusoma maelekezo ya dawa za watoto anatosha.
Why bring competition in your own house?
 
Sasa angekuwa anajielewa wala asingewasikiliza hao majirani zake, sasa kwasababu hamna ajuacho wewe Umemfanya kuwa kila kitu ndiyo Mme wangu , madhara yake ndiyo hayo.
 
Ndugu Covax naunga mkono hoja.
[emoji23][emoji23] huwa naendaga kwa uncle yangu bunju mwaka wa nane mke wake ni Darasa la saba ile submission kwa Mme wake ni level nyingine.
japo wanaume muda mwingine wanawanyanyasa.
Hilo lakuwanyanyasa ndiyo hutaka hivyo anaweza kwenda huko akalala anamdanganya nimelala kazini kulikuwa na mkutano kumbe kalala mtaa wapili kwa msomi mwenzie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…