Najua umefikiria ukukuta huna jibu 😂 😂, zaidi ya kuongelea watu hamnaga cha kuongealeaAhhhh kumbe! Haya,hongera
Nimegundua wote hamna jibu la hili swali, si mjibu 😂 😂Ngoja tukuache hapohapo. Maana unasafari ndefu sana
Vipi wewe ni bora au unajificha kwa mkeo wa darasa la Saba ambaye hata yakifanyika madudu yeye sawa tu anaitika anadanganywa anakubali tu!!!Kuoa mke wa darasa la saba drop-out kunahitaji uwe na high emotional intelligence, hao ma bint ni wataamu ukimpata kama sio singo maza na hajakaa sanaa mtaani ni watiifu sana wasafi wanajituma, na ni wakweli kwenye mapenzi hawadanganyi hawako polluted sanaa kama hao wasomi wetu, kikubwa zaidi wanashirikiana na jamii ilio tuzunguka katika misiba wagonjwa shughuri vikao vya serikali za mitaa anakuakilisha ipasavyo na anakupa tarifa zote za mtaani, mimi sijuitii kuoa darasa la saba drop-out
Ila pia wana mapungufu katika kufanya maamuzi, kutoa ushauri na katika ugomvi ukitokea mimi ni mwaka wa 10, sijajutia navuna watoto walio lelewa na mama na baba mapishi ya bei ya chini na mazuri hawana makuu, kwasasa sms zake ni nzuri zina kiingereza na kiswahili kama swaga, anajua utani ni mkarimu kwa wageni wetu nikikasirika ana nielewa.
Wewe kama ni mtu wa kupenda maisha ya ndoa think twice hao ma graduate ni vichomi wanao taka haki sawa na mchango wao katika familia haonekani ni kukupa stress tupu kufikilia lini unakufa aongoze familia yako, wanapenda showoff za kijinga expensive life wakati hawana pesa.
Na waliowengi waliofika level hiyo ya elimu wana maambukizi ya ukimwi.Wengine tunahitaji
1. Mwanamke mzuri
2. Mwenye elimu kuanzia Diploma
3. Mwenye uwezo wa kujitegemea kiuchumi hata siku tukiachana iwe kwa talaka au kifo.
4. Mwanamke mwenye Imani.
Chochote kikipungua hapo anakosa sifa ya kuwa Mke kwa upande wetu. Hii ni kutokana na karne tuliyonayo.
Hatuoi Elimu ya darasani tunaoa mke. Wangu huwezi jua kama sio msomi mama manka wa watu.STD VII
Wachache sana wengi ndoa zimewashinda, fuatiliaPana wanawake Wana PhD,Wana pesa kuliko waume zao na wao ndio usimamia familiar lakini wanawaheshimu na kujua nafasi ya mume ni ipi kwa faida ya watoto.
Ukubwa wao wanauacha nje ya geti
Wenyewe wanataka asiye na maamuzi ili hata wakiachana aende na kurudi maana hana cha kufanya huko, hivyo mke anakuwa mtii hata kwenye maumivu sasa ataenda wapi na ameshazalishwa watoto !
Wenyewe wanataka asiye na maamuzi ili hata wakiachana aende na kurudi maana hana cha kufanya huko, hivyo mke anakuwa mtii hata kwenye maumivu sasa ataenda wapi na ameshazalishwa watoto !
Kwa Ufupi tu ni kuwa 75% ya wanawake wasome hawafai kuwa Wake..period!Kuoa mke wa darasa la saba drop-out kunahitaji uwe na high emotional intelligence, hao ma bint ni wataamu ukimpata kama sio singo maza na hajakaa sanaa mtaani ni watiifu sana wasafi wanajituma, na ni wakweli kwenye mapenzi hawadanganyi hawako polluted sanaa kama hao wasomi wetu, kikubwa zaidi wanashirikiana na jamii ilio tuzunguka katika misiba wagonjwa shughuri vikao vya serikali za mitaa anakuakilisha ipasavyo na anakupa tarifa zote za mtaani, mimi sijuitii kuoa darasa la saba drop-out
Ila pia wana mapungufu katika kufanya maamuzi, kutoa ushauri na katika ugomvi ukitokea mimi ni mwaka wa 10, sijajutia navuna watoto walio lelewa na mama na baba mapishi ya bei ya chini na mazuri hawana makuu, kwasasa sms zake ni nzuri zina kiingereza na kiswahili kama swaga, anajua utani ni mkarimu kwa wageni wetu nikikasirika ana nielewa.
Wewe kama ni mtu wa kupenda maisha ya ndoa think twice hao ma graduate ni vichomi wanao taka haki sawa na mchango wao katika familia haonekani ni kukupa stress tupu kufikilia lini unakufa aongoze familia yako, wanapenda showoff za kijinga expensive life wakati hawana pesa.
Acha uongo bro. Utakuwa unadanganywa na mitandaoPana wanawake Wana PhD,Wana pesa kuliko waume zao na wao ndio usimamia familiar lakini wanawaheshimu na kujua nafasi ya mume ni ipi kwa faida ya watoto.
Ukubwa wao wanauacha nje ya geti
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ah kumekucha
Watu wakorofi 🤣🤣🤣🤣 ila somehow ni kweli. Hivi mimi niolewe na mpenda politics tutaongea nini? Atanisumbua maana kwenye politics ni 3/10[emoji23][emoji23]
Wazingatie tu ili wasije kosa wake wa kuoa huko mbeleni.Yaani umeongea point sana, anaoa mke STD 7, ila Bint yake kuanzia chekechea -A' level ni St zinatembea, chakujiuliza kwanini asiwatunzie wanaume wenzie aje kuolewa akiwa darasa la 7, wenda wazimu kabisa.