Tuliowahi kuteswa na marejesho ya mkopo tukutane hapa

Pole sana, Maafisa Mkopo wakiona unasuasua wanatafuta mteja wa kumuuzia dhamana yako badala ya kukupa option ya kulegeza maumivu ya deni! Wengi ni wezi tu hawafanya kazi professional! Na huwa wanashirikiana na mameneja wa benki especially ogopa sana hizi benki ambazo hazina majina makubwa!
 
Acha huu mchezo
 
Taratibu aisee yaani umefanya moyo ulipuke puuuh..!

Yaani hawa platinum credit wataua raia huku....jamani msipende kuchoma mikuki ya moto rohoni yaani ata ni vigumu kuelezea
Hahaaa Platnum na wao wamefanyaje tena?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Project za serikali ni pasua kichwa sana, shift ya kutoka kwa JK to JPM imefanya makandarasi wengi kuwa maskini. Kukopea hela mradi wa serikali pasua kichwa, labda uingie ubia na bank katika mradi husika inaweza pona pona yako
Mkuu kwani si kuna kuna kufunga mikataba ? Mbona kampuni za nje ziki dhurumiwa na Serikali zina ishtaki serikali na serikali inalipa gharama zote, sasa inakuwaje kampuni za wazawa zina shindwa kuishtaki serikali ?

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…