Mnyiramba
JF-Expert Member
- Jun 19, 2022
- 1,141
- 3,119
Watu comedy [emoji38][emoji38][emoji38]
[emoji28]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu comedy [emoji38][emoji38][emoji38]
ChaiNikiwa nimeachowa nyumba na wadogo zangu wazee walikuwa wameenda msiban. niIiwasikia mapema wakiwa huko nje nikaenda kujibanza nyuma ya mlango nikafungua komeo taratiibu. Ile wanahesabu 1, 2,3 nikafungua mlango paap jiwe likapitiliza. Aisee walikimbia balaa.
😂😂😂Huku hakuna tozo kabisa kila kitu bure!,lkn wale mabikra 72 sio kweli [emoji28]ni mwenye wakutulia tu na genye zako!
Bro ungeniwekea kiplot nipate pa kufikia siku nikija huko😂😂😂Huku hakuna tozo kabisa kila kitu bure!,lkn wale mabikra 72 sio kweli [emoji28]ni mwenye wakutulia tu na genye zako!
Nadhani yalihisi ni mchawi.....Yalijua mchawi au?:
Du na bado unaishi mtaani hapo? Una roho ngumu. Mimi ningehamia Zimbabwe.Hao walionivamia baadae nilijua ni masela wa kitaa wasiopenda kujituma,nilimtafuta mmoja wao nilimpa kipondo mpaka akalia kama mbuzi meeeemeee
Sawa mkuu
Bro ungeniwekea kiplot nipate pa kufikia siku nikija huko[emoji23][emoji23][emoji23]
Si umesema usharudi😂Njoo tu Pm uniambie kabisa unataka ukubwa gani nikuwekee bure kabisa [emoji28]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kule arusha kuna mitaro ya maji nilikuwa namdumbukiza akiibuka namzamisha,nilipomtoa tu akaanza kulia meeemeeemeee
Mkuu we kiboko aiseeMimi nakumbuka miaka ya nyuma nimemaliza kidato cha sita, nimetoka kwenye mishe zangu usiku saa tisa, halafu napita eneo la makaburini. Ghafla kwa mbali nikawa nasikia harufu ya moshi wa sigara mchanganyiko na bangi, kucheki naona kundi la watu wanapuliza wamekaa juu ya makaburi. Kipindi hicho watu walikuwa wanapigwa sana na nondo, na wiki kadhaa nyuma kuna jirani yetu aliuawawa. Kurudi nilikotoka njia ni ndefu mno, na kwenda mbele lazima yale manjemba yangenifanya kitu mbaya.
Ile akili sijui hata ilitoka wapi, sijui ni mihadarati. Nilichofanya ni kuvua nguo zote na kuzishika kwa nyuma halafu nikaanza kuelekea usawa wao, niko uchi wa mnyama. Uzuri kulikuwa na mbalamwezi. Jamaa walivyoniona wakaanza kuuliza kwa mbali, wee nani. Mimi kimya nasonga mbele tu, ile kunisogelea na marungu yao na kuniona vizuri kuwa niko uchi, jamaa walipigwa na ganzi. Kilichofuata ni kutukana na kuanza kukimbia vibaya mno kila mtu njia yake.
Kila nikikumbuka huwa najionea sana huruma na kuwaza endapo kama yale manjemba yasingekimbia.
Hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.......
Mkuu ni za kichwa tuSikuiyo sikutaka kujua kama baadae wanajf watasema ni chai...mi niltembeza za kichwa tu
Sjui na gari ni za kichwa tuYan mi skutaka kuwauliza wamelibebaje...ni za kichwa tu
Ni za kichwa tu hamna vuruguMi nlipoona wanahangaika na mlango, nikalala chini huku nau'face mlango.kimyaaa!! tuliii!!
ile wamefanikiwa tu..nikaanza kuimba nao za kichwa tu
Ukatembea ukuni nje broMimi nakumbuka miaka ya nyuma nimemaliza kidato cha sita, nimetoka kwenye mishe zangu usiku saa tisa, halafu napita eneo la makaburini. Ghafla kwa mbali nikawa nasikia harufu ya moshi wa sigara mchanganyiko na bangi, kucheki naona kundi la watu wanapuliza wamekaa juu ya makaburi. Kipindi hicho watu walikuwa wanapigwa sana na nondo, na wiki kadhaa nyuma kuna jirani yetu aliuawawa. Kurudi nilikotoka njia ni ndefu mno, na kwenda mbele lazima yale manjemba yangenifanya kitu mbaya.
Ile akili sijui hata ilitoka wapi, sijui ni mihadarati. Nilichofanya ni kuvua nguo zote na kuzishika kwa nyuma halafu nikaanza kuelekea usawa wao, niko uchi wa mnyama. Uzuri kulikuwa na mbalamwezi. Jamaa walivyoniona wakaanza kuuliza kwa mbali, wee nani. Mimi kimya nasonga mbele tu, ile kunisogelea na marungu yao na kuniona vizuri kuwa niko uchi, jamaa walipigwa na ganzi. Kilichofuata ni kutukana na kuanza kukimbia vibaya mno kila mtu njia yake.
Kila nikikumbuka huwa najionea sana huruma na kuwaza endapo kama yale manjemba yasingekimbia.
Hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.......
Waarabu walitokea wapi vileL
Eeeeh pole sana man.....mim walitakaga kunivamia nipo maskani peke nyeke kina maza wamekwenda mkoa acha kabisa klichonisaidia lile geti dogo la mlangoni lilikua imara hapo ndani nishajikojolea nishalia nishaomba Mungu nampgia maza cm hata hapokei
Kuna jirani yetu mmja alikua ni tajiri mtaa mzima alisikia kelele basi bn alipiga risasi mbili sijui ni baruti zile uwanjani kwake wahuni wote wakatoka mkuku
Baada ya muda ndio majirani wanasogea hapo nishalia kama zombie wakaja majirani wengine kurekebisha rekebisha getini wakabaki wawili mmja wa kike mwingine brother hivi akalala na panga hapo ndani
Ya pili ilitokea nikiwa na sister angu yani milango ya home kwetu nahisi ni ya mkoloni miguu balaa
Tumelala usiku sa tisa mara tunasikia mlango wa sebuleni na mlango wa jikoni unagongwa kwa nguvu na kutikiswa sister angu akaniamsha vaa suruali nkavaa a buti chini yani wakiingia ndani nashawaza kabisa hapo ntakimbia kama chizi hadi nyumbani kwa Diwani basi sister angu alikua na Bwana ake mwarabu mmja mgumu kinoma kwanza anaendesha Subaru yule msela akatoka ndani na wenzie kama kumi na usher nilijiuliza sana hawa waarabu hapo ndani wanalala vip maan sio kwa idadi hyo.........Mwizi mmja alikamatwa walichomfanya wakaenda mchomea moto katikati ya barabara polisi tunawapgia simu wanasema ety mmalizieni kabisa walikuja kubeba nyama choma
UvunguniWaarabu walitokea wapi vile
Balaa na bwana wa sister ako jeUvunguni