Mchagah
JF-Expert Member
- Sep 8, 2021
- 488
- 935
Hii ni chai ya waziwazi........., kusokota bangi yenyewe ina ufundi kama hujakaa na wavuta bangi sana huwezi kuisokota maisha....... zaidi utaishia kuimwaga yote au kuchana rizla
Watu wanasema washavuta ila kuna style ya kuvuta la sivyo itakupalia au uvute uicha mdomoni halafu utoe moshi hapo hujavuta ila umechezea.....
Kwanza mwandishi hata stimu ya sigara inaonyesha haiwezi halafu anakuja kuleta upuuzi huku kutafuta kiki kwa vitu vya ajabu..