Kweli lakini wengine wanashindwa kuelewa kule ni kama huku mtaani tu. Kuna mtu mtakua mshkaji mwingine atakua beb mwingine atakua mtoto kaka dada etc na wengine pia huwez kuclick nao. Mwingine akija pm anataka mzoeane wakati wewe unaona kabisa huwezi kumfanya hata kuwa babu yako. Kuna watu wanakuja pm wanachat kishkaji kabisa hamna hata kuombana namba
Napenda kukuita SuzanSuzan ndo nani mkuu?
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]. Aiseeee.Njoo pm emmyta
ngoja nijifunze, niliwai kutumia ila siielewi elewi....sometimes nakuta msg ya mtu imetumwa mda mrefu ila sikuiona wabadilishe huu mfumo aisee mm unanipa shidaNa wewe kwanini usijifunze lakini? Unafeli
Kuna watu huku nataniana nao hata pm hawajawahi kuja. Watu kama hao hata wakija pm ndo utafiki utaendelezwa hapo.Umeonaeee. Kweli kabisa.
Na unaweza kuta mtu hata namba yake huna ila mmezoweana kama mshawahi onana vile.
[emoji2] [emoji2] usijali Kaka.Asantee [emoji2][emoji4][emoji2][emoji4]
nakujaHahahhaha poleeee, mie sina hamu na PM
Ilishanifanya nikakesha hadi kunakucha. .....
Ilishanifanya nikashinda njaa kutwa nzima.....
Ilishanifanya nikachelewa mahali.....
Sina hamu na PM....
Ngoja waje walionisababishia yote haya kama watajitaja. Tatizo langu ni kuwa napenda sana kuongea siwezi kuacha kuongea.
Lovely mum unajua nimekumissSema ukwel wako
Na mimi nitafunza kupitia kwako mkuungoja nijifunze, niliwai kutumia ila siielewi elewi....sometimes nakuta msg ya mtu imetumwa mda mrefu ila sikuiona wabadilishe huu mfumo aisee mm unanipa shida
Vipi yako nawe maana saivi pm. Ni paka na panya kwangu[emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mke wa mtu binti?Kuna binti mmoja mke wa mtu ndio nilikuwa nachat nae sana pm lkn toka anitamkie maneno mabaya sitaki hata kumuona [emoji16][emoji16]
sawaNa mimi nitafunza kupitia kwako mkuu
Ndio,binti mbichi hivi ana macho ya kurembuaMke wa mtu binti?
[emoji23][emoji23][emoji23] poleeeeNdio,binti mbichi hivi ana macho ya kurembua