[emoji23] [emoji23] [emoji23] pm kuna mambo...kuna watu ni wasumbufu yaani we acha tu. Wapo wale anakuja anakutumia pm ya kwanza kukusalimia ukimjibu meseji ya pili anataka kujua unapatikana wapi, ya tatu anaomba namba ya simu...ukishafika hapo nakupotezea sikujibu tena
Teh teh[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Kuna raha gani sasa huko pm zaidi ya kuja kusalimiwa tu kwa siku hata mara 10 mtu akitoka akija ye salaam tu
Kumbe ndio maana sikufanikiwa [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kuna watu machizi kweliKuna mmoja kaja juzi bila hata salamu eti demi nakutaka. Kha! Nikaishia kucheka tu
Upite na ya kwang uache hapo
Usser[emoji8] [emoji8]Inna[emoji8]
Hahaaaaa. Sawa.Upite na ya kwang uache hapo
Japo Salam tu pale mlangon
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Kuna mmoja kaja juzi bila hata salamu eti demi nakutaka. Kha! Nikaishia kucheka tu
Mimi na wewe hatujawahi kupishana mkuu.Vipi yako nawe maana saivi pm. Ni paka na panya kwangu[emoji23]
Asante sana
Kmy kmy lkn kama mtego waNitakufungulia
[emoji23] [emoji23] acha kabisaHahahaha mule mule,yaan wapo waliokaa kifacebook pyuuaaa
Na wewe nilikuwa na kampango kakuja naona na wewe ndio hivyo tena njoo pm nikufundishe [emoji23] [emoji23]Mi naomba tu mtu anielekeze kufunga pm
Itakua hujui tu kutumia mkuuMgosi pm yako kila nikijaribu naona imefungwa,au ndio sijui namna ya kuitumia hiyo pm!
Kumbe wanatia kihisia. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]. Ila huyu aliniacha hoi. Yule dada kila nikiona comment yake nawaza yule kaka alivyoandika.wengi Huwa wanatiaga kimoyomoyo halafu wanajiaminisha kuwa wametia physically
Ina nini tena Shouger sababu sio kwa kicheko hiko. [emoji23] [emoji23] [emoji23]Aaaahh PM [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukiona utachelewa pititshaHahaaaaa. Sawa.
I miss youUsser[emoji8] [emoji8]
Kiukweli mitihani Wa ustaarabu nilizungusha zero ngoja nisubiri wageni Wa jf najua wao hawajui kufuliYaan wewe ndo kabisaaa naongeza kufuli